Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawajachanja. Pia, imesema...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania . Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS...
20 Reactions
87 Replies
10K Views
Tunaweza kushangazwa na uhusika wa CCM kila janga linapotokea, pengine inaweza kufikiriwa kwamba kwa sababu ndio ina serikali hivyo haina budi kuonesha uhusika wake au wengine wanaweza kusema ni...
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia...
23 Reactions
86 Replies
10K Views
Kabla sijapanda kitandani kumkumbatia Mama yenu usku wa leo tumekubaliana niwapongeze watajwa hapo juu sababu ni zifatazo. Maria Sarungi nampongeza kwa kuanzisha mjadara mzuri kupitia space huko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri Lukuvi amesema kuanzia sasa Madalali wa nyumba na viwanja watapewa vitambulisho maalumu kwa ada ya tsh 20,000 kila mwaka na watasajiliwa na halmashauri za wilaya Lukuvi amesema dalali...
12 Reactions
100 Replies
8K Views
POSTA MUWE KINARA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI NCHI NZIMA ◊ Anwani za Makazi ni Msingi wa Posta ya Kidijitali Prisca Ulomi na Loema Joseph, Dodoma Serikali imelielekeza Shirika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 20/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. Kujua kesi ilipoishia soma...
9 Reactions
45 Replies
8K Views
Dalili za mvua ni mawingu. Kwa sasa ACT wazalendo hawana ajenda yoyote zaidi ya kutembelea nyota ya CCM na ifikapo 2025 ni lazima Zitto Kabwe na wafuasi wake waunge mkono juhudi maana hakuna...
4 Reactions
11 Replies
944 Views
IGP Sirro katika press conference aliyofanya mwezi August last year, juu ya kukamatwa kwa Freeman Mbowe, alisema wanao ushahidi juu ya FAM kupanga njama za Kulipua visima vya mafuta na kudhuru...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall...
16 Reactions
72 Replies
5K Views
Kulitokea ajali mwanza ya waandishi wa habari na watu wengine, ajali ilibeba simanzi na huzuni nchi nzima. Waziri mwenye dhamana Nape nae hakua nyuma kushiriki bega kwa bega kuiwakilisha...
2 Reactions
10 Replies
934 Views
Humu kuna thread inasema "Rais Samia atoa shilingi bilioni 300 kukamilisha ujenzi majengo ya Serikali Dodoma". Hii ilishamiri zaidi kuanzia awamu ya tano na hii ya sita ninaona kama inaendeleza...
18 Reactions
43 Replies
3K Views
CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo...
24 Reactions
233 Replies
23K Views
Za usiku ? Nimefatilia mazungumzo ya Rais na Machinga Ikulu leo nimesikia akiwasifia wakuu wa Wilaya kwa ujenzi wa madarasa kwa kuwa Rais ni Taasi Nina wasi wasi yakuwa Mh Rais wetu kama mtu...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais Mobutu Seseko, wakati fulani askari wake walipoilalamikia serikali kuwa mishahara wanayolipwa ni midogo, aliwajibu kuwa anashangaa askari kulalamikia mishahara midogo wakati Serikali imewapa...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Machinga sio kikundi cha watu ambao ukishawasikiliza wao na kuwatekelezea kilio chao basi umemaliza, hapana. Watu wanaweza kudhani kuwa machinga ni vijana tu, hapana, ndani ya machinga kuna...
2 Reactions
8 Replies
958 Views
Back
Top Bottom