Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati...
Salaam kwenu,
Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila...
"Tunaanzisha vituo vya huduma ya pamoja katika maeneo ya Nyanda za juu kusini, katika mpaka wa Namanga pamoja na Dar es Salaam. Uanzishwaji wa vituo hivi unalenga vituo hivi unalenga katika...
Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo.
Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema...
15 January 2022
Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar .
Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika...
KWA NINI POLEPOLE HATA AKIELEWEKA HAELEWEKI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mhe Polepole anazungumza sana na watu wanamuelewa ila haeleweki. Mhe Polepole haeleweki kwa kuwa aliyoyatetea akiwa...
Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali
===========
Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo.
Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu...
Wakurugenzi wa mashirika ya uma wengi wamelala isipokuwa mkurugenzi wa shirika la reli TRC mh Masanja Kungu Kadogosa.
Kutokana na maandalizi ya sikukuu za mwisho wa mwaka jana Masanja Kadogosa...
Mh Mama yetu kipenzi na Rais wetu nakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya kuiletea nchi yetu ya Tanzania...
Ninaomba kuuliza hivi ile nafasi ya kiongozi wa chama inayoshikiliwa na Zitto Kabwe inapatikanaje kwa mujibu wa katiba yao? Maana sijawahi kusikia wakifanya uchaguzi wa hiyo nafasi.
Nawasilisha.
Nakupongeza Mh. Rais kwa kulipa umuhimu swala la mikataba. Mikataba kwa nchi hii iliturudisha nyuma hivyo ni muda sahihi kuirejea hata kama tulishakosea hapo mwanzo. Waswahili husema kutenda kosa...
Dunia ya leo inakwenda kwa kasi sana wakati sisi tunawaza either tukimbie au tutembee.
Nishati ya umeme ni eneo muhimu sana leo kiuchumi na kiusalama kwa maisha yote ya binadamu. Lakini sisi...
Hatutatoa siri ya kilichozungumzwa, bali tutawaonjesha Uhondo kidogo kwa yaliyojiri ndani ya Kikao hicho kinachodaiwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio.
Kama vyama vinavyokufa viko hivi basi kazi ipo.
Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai.
Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee...
Kila Rais (sio Chama wala Serikali wala wananchi) amekuwa na maamuzi yake mwenyewe ya kuhusu idadi ya Wizara, Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu. Hii imekuwa na...
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.
Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na...
Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za...
Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu.
Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao...