Mwenye kujua Sera ya CHADEMA atuwekee hapa

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Salaam kwenu,

Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila nimeangalia zaidi kwa upinzani, ili tupate mwanga wa nini kinaendelea ndani ya vyama vyetu.

Katika kitu ambacho sahizi kinasumbua watu wengi hasa wasomi ni sera na falsafa ya maendeleo ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Sera inaweza kuwa ya muda mfupi na muda mrefu. Maranyingi sera za muda mrefu ndo zinazosaidia sana kukuwa kwa chama na kukuza makada wa chama. Hii ina maana kuwa hakuna kiongozi au mwanachama atasimama bila kuongea hicho kinacholengwa na chama.

Ninavyoona kwa sasa, sijaona hicho na hivyo vyama vyote vimekosa falsafa ya taifa.

Pili ni sera za muda mfupi. Hizi utekelezaji wake huwa wa muda mfupi na unatekelezwa kwa wakati. Hii pi imeonekana kabisa kuwa vyama vyetu vimekosa sera hizi.

Zaidi ya yote, imefanya vyama hivi vionekane havipo. Matokeo ya kuzidi kuporomoka kwa Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA imeanzia hapa.

Sera za muda mfupi za chama zimekufa. Wanategemea matukio ya JPM ndo wao wasema chochote. Lakini ukiangalia majukwa yanayotumika kuyasema ya JPM yangfaa sana kuelezea yale wanayolenga.

Hapa ndo penye utata. Kila mtu amekuwa akiongea kwa jinsi anavyotaka. Mbowe amepotea sana kwa siku hizi na zaidi akipata muda analalamika zaidi kuliko kuelezea sera mbadala ya kinachoendelea.

Kuna watu wanasema, mikutano ya kisiasa ni sera ya chama. Si kweli, HAKI na inaweza kudaiwa kwa namna yoyote ila na ikawa wasimamie wanachoamini na wapeleke mahakamani. Cha ajabu ni pale wanapotishia kwenda mahakamani harafu hawaendi.

Hebu tuelezane, kuna mwenye kujua sera ya CHADEMA?????
 
Mawazo ya kijinga kabisa kuwahi kutolewa, watu wakikusanyika ofisini kwao mnawakamatwa(Geita), mikutano mmewakataza, wafanye kazi gani sasa? alafu unakuja unasema chama kimeshuka.
 
Mkuu, nasikitika kuwa hautajibiwa ulichouliza. Sana sana utaambulia matusi kama ambavyo ashaanza mchangiaji wa kwanza hapo juu. Hata hivyo usihuzunike wala usikate tamaa kuibua hoja zinazofikirisha. Hao ndio watu wetu, ndivyo walivyo lakini ndio wetu, inabidi kwenda nao tu hivyo hivyo.
 
Salaam kwenu,

Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila nimeangalia zaidi kwa upinzani, ili tupate mwanga wa nini kinaendelea ndani ya vyama vyetu.

Katika kitu ambacho sahizi kinasumbua watu wengi hasa wasomi ni sera na falsafa ya maendeleo ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Sera inaweza kuwa ya muda mfupi na muda mrefu. Maranyingi sera za muda mrefu ndo zinazosaidia sana kukuwa kwa chama na kukuza makada wa chama. Hii ina maana kuwa hakuna kiongozi au mwanachama atasimama bila kuongea hicho kinacholengwa na chama.

Ninavyoona kwa sasa, sijaona hicho na hivyo vyama vyote vimekosa falsafa ya taifa.

Pili ni sera za muda mfupi. Hizi utekelezaji wake huwa wa muda mfupi na unatekelezwa kwa wakati. Hii pi imeonekana kabisa kuwa vyama vyetu vimekosa sera hizi.

Zaidi ya yote, imefanya vyama hivi vionekane havipo. Matokeo ya kuzidi kuporomoka kwa Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA imeanzia hapa.

Sera za muda mfupi za chama zimekufa. Wanategemea matukio ya JPM ndo wao wasema chochote. Lakini ukiangalia majukwa yanayotumika kuyasema ya JPM yangfaa sana kuelezea yale wanayolenga.

Hapa ndo penye utata. Kila mtu amekuwa akiongea kwa jinsi anavyotaka. Mbowe amepotea sana kwa siku hizi na zaidi akipata muda analalamika zaidi kuliko kuelezea sera mbadala ya kinachoendelea.

Kuna watu wanasema, mikutano ya kisiasa ni sera ya chama. Si kweli, HAKI na inaweza kudaiwa kwa namna yoyote ila na ikawa wasimamie wanachoamini na wapeleke mahakamani. Cha ajabu ni pale wanapotishia kwenda mahakamani harafu hawaendi.

Hebu tuelezane, kuna mwenye kujua sera ya CHADEMA?????
Sera ya ccm ni maneno yatokayo mdomoni mwa Mkuu wa nchi na si ilani inadiwayo.
 
Sera kuhusiana na nini?
 
Chadema ni kupiga ruzuku, mchango na deal wakipata fursa, kama parking system ya Dar na Moshi kuwapa wa Kenya utafikiri hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuendesha , wamepiga % yao maisha yaendelee.
 
Hii mada hii.
Wanakuja wenyewe mkuu mi sitaki kuitwa mchochezi.
Nilisikia kazi ya chama pinzani ni kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali.
Pia nikasikia kazi ya serikali ni kuwadhibiti wapinzani kila kukicha[emoji23]
Ndio maana siwezi kua mwanasiasa, uvumilivu wangu ni mdogo sana ntanyongwa bure maana siwezi kua mnafiki ili kumfurahisha mtu.
 
Sera ya cdm ni viwanda ila sio vya kushona na kufunga ubuyu kma mwijage
 
Salaam kwenu,

Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila nimeangalia zaidi kwa upinzani, ili tupate mwanga wa nini kinaendelea ndani ya vyama vyetu.

Katika kitu ambacho sahizi kinasumbua watu wengi hasa wasomi ni sera na falsafa ya maendeleo ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Sera inaweza kuwa ya muda mfupi na muda mrefu. Maranyingi sera za muda mrefu ndo zinazosaidia sana kukuwa kwa chama na kukuza makada wa chama. Hii ina maana kuwa hakuna kiongozi au mwanachama atasimama bila kuongea hicho kinacholengwa na chama.

Ninavyoona kwa sasa, sijaona hicho na hivyo vyama vyote vimekosa falsafa ya taifa.

Pili ni sera za muda mfupi. Hizi utekelezaji wake huwa wa muda mfupi na unatekelezwa kwa wakati. Hii pi imeonekana kabisa kuwa vyama vyetu vimekosa sera hizi.

Zaidi ya yote, imefanya vyama hivi vionekane havipo. Matokeo ya kuzidi kuporomoka kwa Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA imeanzia hapa.

Sera za muda mfupi za chama zimekufa. Wanategemea matukio ya JPM ndo wao wasema chochote. Lakini ukiangalia majukwa yanayotumika kuyasema ya JPM yangfaa sana kuelezea yale wanayolenga.

Hapa ndo penye utata. Kila mtu amekuwa akiongea kwa jinsi anavyotaka. Mbowe amepotea sana kwa siku hizi na zaidi akipata muda analalamika zaidi kuliko kuelezea sera mbadala ya kinachoendelea.

Kuna watu wanasema, mikutano ya kisiasa ni sera ya chama. Si kweli, HAKI na inaweza kudaiwa kwa namna yoyote ila na ikawa wasimamie wanachoamini na wapeleke mahakamani. Cha ajabu ni pale wanapotishia kwenda mahakamani harafu hawaendi.

Hebu tuelezane, kuna mwenye kujua sera ya CHADEMA?????
  1. Kutetea kikundi cha itikadi kali (UAMSHO)
  2. Kuwatukana viongozi, Mfano ni Halima Mdee alimtukana Spika na sasa kamtukana Raisi wa nchi
  3. Kuhamasisha baadhi ya watanzania wawe moto
  4. Kupiga kula ya hapana kwenye kila kitu, ikiwemo bajeti ya afya ambayo malengo yake ni kuokoa maisha ya mamilioni
 
Kama JPM alizuia mikutano ya siasa kupitia mdomo,basi atairudisha kupitia sehemu yeyote palipo wazi!
 
Salaam kwenu,

Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila nimeangalia zaidi kwa upinzani, ili tupate mwanga wa nini kinaendelea ndani ya vyama vyetu.

Katika kitu ambacho sahizi kinasumbua watu wengi hasa wasomi ni sera na falsafa ya maendeleo ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Sera inaweza kuwa ya muda mfupi na muda mrefu. Maranyingi sera za muda mrefu ndo zinazosaidia sana kukuwa kwa chama na kukuza makada wa chama. Hii ina maana kuwa hakuna kiongozi au mwanachama atasimama bila kuongea hicho kinacholengwa na chama.

Ninavyoona kwa sasa, sijaona hicho na hivyo vyama vyote vimekosa falsafa ya taifa.

Pili ni sera za muda mfupi. Hizi utekelezaji wake huwa wa muda mfupi na unatekelezwa kwa wakati. Hii pi imeonekana kabisa kuwa vyama vyetu vimekosa sera hizi.

Zaidi ya yote, imefanya vyama hivi vionekane havipo. Matokeo ya kuzidi kuporomoka kwa Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA imeanzia hapa.

Sera za muda mfupi za chama zimekufa. Wanategemea matukio ya JPM ndo wao wasema chochote. Lakini ukiangalia majukwa yanayotumika kuyasema ya JPM yangfaa sana kuelezea yale wanayolenga.

Hapa ndo penye utata. Kila mtu amekuwa akiongea kwa jinsi anavyotaka. Mbowe amepotea sana kwa siku hizi na zaidi akipata muda analalamika zaidi kuliko kuelezea sera mbadala ya kinachoendelea.

Kuna watu wanasema, mikutano ya kisiasa ni sera ya chama. Si kweli, HAKI na inaweza kudaiwa kwa namna yoyote ila na ikawa wasimamie wanachoamini na wapeleke mahakamani. Cha ajabu ni pale wanapotishia kwenda mahakamani harafu hawaendi.

Hebu tuelezane, kuna mwenye kujua sera ya CHADEMA?????

Una mawazo mazuri ila yamepotea njia. Maswali yako yote jaribu kuyaelekeza upande wa pili. Achana na habari za akina Magufuli na akina Mbowe maana hawa ni viongozi leo lakini kesho wapo nje. Angalia misimamo ya vyama kwa ujumla utagundua hakuna chama kilicho salama kwa sasa. Na kama upo makini zaidi utagundua kuwa CCM ndicho chama kinachokabiliwa na wakati mgumu zaidi kuliko chama kingine chochote.
 
Pumbavu wewe unataka Sera ya Chadema ili iweje? Sasa ngoja nikusaidie Sera za Chadema ni hayo yote unayo yaona mungu wako Wa magogoni anayatekeleza kaya toa Chadema na ndiyo Chadema imekuwa ikiyapigania toka 1992 ilipoanzishwa
 
ok.. sasa mbona anapoyatekeleza wanampinga na wengine wanaenda mbali kusema afungwe break????
 
Tunatakiwa kuwa na sera ya nchi kwani Sera za vyama haziwezi kuleta maendeleo. Sera za CCM mpaka sasa zimesaidia nini?
 
Mkuu nashukuru. Hapa kilichopo ni kuwa vyama vyote havina njia.

Ila naona wanaoathirika zaidi ni Upinzani kwa vile hawana dola. Ndo maana nimeona hili tuangalie kama kweli kuna kinachoweza kuwa mbadala wa mawazo ya CCM.
Una mawazo mazuri ila yamepotea njia. Maswali yako yote jaribu kuyaelekeza upande wa pili. Achana na habari za akina Magufuli na akina Mbowe maana hawa ni viongozi leo lakini kesho wapo nje. Angalia misimamo ya vyama kwa ujumla utagundua hakuna chama kilicho salama kwa sasa. Na kama upo makini zaidi utagundua kuwa CCM ndicho chama kinachokabiliwa na wakati mgumu zaidi kuliko chama kingine chochote.
 
Uwezo wako mkubwa ni kutukana. Na hizi ndo akili za wajuaji wanaokuwa wapumbavu sana. We ukiona si kile unachopenda tulia.
Pumbavu wewe unataka Sera ya Chadema ili iweje? Sasa ngoja nikusaidie Sera za Chadema ni hayo yote unayo yaona mungu wako Wa magogoni anayatekeleza kaya toa Chadema na ndiyo Chadema imekuwa ikiyapigania toka 1992 ilipoanzishwa
 
Pamoja na sera za nchi, lazima unayetaka kuwa mtawala uwe na sera kinzani. Huwezi ukakuta kila kitu kiko kama unavyotaka.

Hata Trump unaona anabadilisha vitu kwa vile alikuwa na mawazo mbadala na aliyasema. Sasa sisi yasiyosemwa yatakuwaje?

Hii ndo hoja mkuu.
Tunatakiwa kuwa na sera ya nchi kwani Sera za vyama haziwezi kuleta maendeleo. Sera za CCM mpaka sasa zimesaidia nini?
 
Salaam kwenu,

Kila mtu anajua siasa ila si wote wanatambua mahitaji ya siasa za upinzani. Nimesema hili ili kila mtu atoe anavyoona juu ya hili. Sijaandika ili kufanya siasa za upande ila nimeangalia zaidi kwa upinzani, ili tupate mwanga wa nini kinaendelea ndani ya vyama vyetu.

Katika kitu ambacho sahizi kinasumbua watu wengi hasa wasomi ni sera na falsafa ya maendeleo ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Sera inaweza kuwa ya muda mfupi na muda mrefu. Maranyingi sera za muda mrefu ndo zinazosaidia sana kukuwa kwa chama na kukuza makada wa chama. Hii ina maana kuwa hakuna kiongozi au mwanachama atasimama bila kuongea hicho kinacholengwa na chama.

Ninavyoona kwa sasa, sijaona hicho na hivyo vyama vyote vimekosa falsafa ya taifa.

Pili ni sera za muda mfupi. Hizi utekelezaji wake huwa wa muda mfupi na unatekelezwa kwa wakati. Hii pi imeonekana kabisa kuwa vyama vyetu vimekosa sera hizi.

Zaidi ya yote, imefanya vyama hivi vionekane havipo. Matokeo ya kuzidi kuporomoka kwa Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA imeanzia hapa.

Sera za muda mfupi za chama zimekufa. Wanategemea matukio ya JPM ndo wao wasema chochote. Lakini ukiangalia majukwa yanayotumika kuyasema ya JPM yangfaa sana kuelezea yale wanayolenga.

Hapa ndo penye utata. Kila mtu amekuwa akiongea kwa jinsi anavyotaka. Mbowe amepotea sana kwa siku hizi na zaidi akipata muda analalamika zaidi kuliko kuelezea sera mbadala ya kinachoendelea.

Kuna watu wanasema, mikutano ya kisiasa ni sera ya chama. Si kweli, HAKI na inaweza kudaiwa kwa namna yoyote ila na ikawa wasimamie wanachoamini na wapeleke mahakamani. Cha ajabu ni pale wanapotishia kwenda mahakamani harafu hawaendi.

Hebu tuelezane, kuna mwenye kujua sera ya CHADEMA?????
Ikiwekwa hapa mkuu wa wilaya anaweza kuamuru mtu akamatwe na kuwekwa ndani.
 
Back
Top Bottom