Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,379
138,545
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.

Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.

Source: ITV habari
 
Zito anawapenda sana Kikwete na Makamba.

Yuko tayari kutetea kila aina ya ujinga na kujitoa fahamu..

Kwa nini wasikubali tu kwamba wameshindwa kuvaa viatu vya Magufuli?
Mbona Samia amekubali hadharani na hamna aliyemshangaa
 
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.

Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.

Source: ITV habari
Maharage Chande ndio aliifilisi kabisa NBC sasa kaingiaTanesco
 
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.

Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.

Source: ITV habari

Utapeli mtupu toka serikali ya majizi ya kura.
 
Jina lenyewe anaitwa maharage....siku zote maharagwe yanaiva kwa kuni na mkaaa hivyo hawezi ona umuhimu wa umeme.
 
83AB688A-E5CD-43DC-B6EA-8937BC49D5CF.jpeg
 
Tanesco watakuja kutatua tatizo Kwa kuomba number za simu na location...
 
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.

Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.

Source: ITV habari
hawaogopi kusema uongo?
 
Tindo unatesekea wap awamu ya 6? Nakumbuka post zako awam ya tano..yaan ni shoody mwanzo mwishooo....awam hii unakosa umeme unakosa maji..yaan hakuna pakutokea...ngoshaa babaaaa

Bora nisiwe na umeme ama maji ya bomba kuliko kutawaliwa na mtu muovu.
 
Kwenye hii issue ya umeme nitakataa kila kauli inayotoka kwa wanasiasa wetu Hawa.... Mheshimiwa Rais ifikie hatua ajue kwamba yeye sio msemaji wa kila kitu....na hotuba zake zisilenge kuwatetea watendaji wake. Huku chini WANANCHI tunateseka Sana maana tuliowategemea japo kukemea wametetea.

WANANCHI tunataka huduma za msingi Kama vile maji na umeme. Kumbuka mlituwekea tozo nyingi kwa kutuaminisha kuwa zinaenda kutusaidia kwenye social services.....
We need water.
We need electricity.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom