Ombi: Rais Samia wafikirie Walimu walioondolewa kazini kwa kubainika na vyeti feki

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Dec 17, 2015
795
479
Mh Mama yetu kipenzi na Rais wetu nakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya kuiletea nchi yetu ya Tanzania maendeleo. Lakini kwangu naomba nichukue moja ambalo ninalichukua kurudia kukupongeza kwalo ambalo ni ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Kuna baadhi ya watu ambao wanabeza kuwa unakopa eti nchi itauzwa bila kukumbuka kuna bomu lilikuwa limeandaliwa la kundi kubwa la wanafunzi wanaitwa wa Elimu bure ili likulipukie ili maneno yawe mengi zaidi ya kwamba watoto wamemaliza Elimu ya Msingi wamekosa nafasi ya kuendelea na masomo kutokana na ukosefu wa vyumba vya madarasa.

Ulichokifanya ni kikubwa na sidhani kama mbeleni tutakuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa sekondari maana wanafunzi wanaofuata baada ya hawa wa mwaka huu takwimu zao zinapongua.

Hili lilikuwa ni gumu na kama mama umejiongeza pakubwa sana kunusuru wanao wasife njaa. Hakika nani kama mama.
Baada ya kusema hayo nina ombi moja.

Mimi ni miongoni mwa Walimu niliondolewa kazini kutokana na changamoto ya vyeti. Kama unavyojua mama yetu watu wengi tena wengine walikuwa watendaji wazuri kazini walikumbwa na shida hiyo ambayo ilipelekea familia zetu kuyumba, watoto kushindwa kuendelea na masomo na baadhi yetu kupata magonjwa ya moyo hata vifo hasa ukizingatia tulivyoondolewa ghafla bila hata ya kujua wapi pa kuelekea.

Sasa wewe kama mama najua unajua uchungu wa mwana na unajua furaha ya mwana maana nilikusikia siku ya kuzaliwa kwako unasema ukipata msongo wa mawazo unawaita wajukuu Ikulu unacheza nao wanakupa furaha.

Naomba ufikirie kuturejesha kazi au kutulipa mafao yetu kwa pale tulipotumika ili walau uturejeshee furaha sisi na familia zetu.
Najua watu watakubeza kwa hili lakini najua utakuwa umegusa na kufuta machozi ya watu wengi.

NB: Jaribu kufuatilia kwa kutumia vyombo vyako vya usalama utabaini waliondolewa kazini wengi walikuwa wachapakazi na tegemeo kubwa.

Mungu akuongoze kwa hili na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.
 
Kwani kuna mwalimu nchi hii ana cheti halali? Ili kuwa mwalimu sifa kubwa LAZIMA AWE AMEFELI. Sasa Kwa muktadha huo Kuna mwalimu mwenye cheti halali kweli?

Wakati mleta mada unatoa ombi kwa rais ili awarudishe walimu unaosema Wana vueti fake, mm natamani mhe rais AWAFUTE KAZI walimu wote nchini kisha wapelekwe mahakamani kwa kosa la kufundisha wakati hawana sifa
 
Wee acha kutukana watu nani kafeli?!!kua na adabu!!!sijafeli Mimi!
 
Kaka!kwa nini ulikua na cheti feki?hebu eleza shida yako ?na kama kweli ulifoji cheti,pambana tu kivingine!au nenda jeshini hukoo ndo hawakuguswa ila kwenye ualimu kuwa na cheti cha kufoji hustahiki
Kwanza nyie ndo mlikua wasaliti yaani naunga mkono woote mliotumbuliwa kwa vyeti vyake!
 
Mh Mama yetu kipenzi na Rais wetu nakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya kuiletea nchi yetu ya Tanzania maendeleo. Lakini kwangu naomba nichukue moja ambalo ninalichukua kurudia kukupongeza kwalo ambalo ni ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Kuna baadhi ya watu ambao wanabeza kuwa unakopa eti nchi itauzwa bila kukumbuka kuna bomu lilikuwa limeandaliwa la kundi kubwa la wanafunzi wanaitwa wa Elimu bure ili likulipukie ili maneno yawe mengi zaidi ya kwamba watoto wamemaliza Elimu ya Msingi wamekosa nafasi ya kuendelea na masomo kutokana na ukosefu wa vyumba vya madarasa.

Ulichokifanya ni kikubwa na sidhani kama mbeleni tutakuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa sekondari maana wanafunzi wanaofuata baada ya hawa wa mwaka huu takwimu zao zinapongua.

Hili lilikuwa ni gumu na kama mama umejiongeza pakubwa sana kunusuru wanao wasife njaa. Hakika nani kama mama.
Baada ya kusema hayo nina ombi moja.

Mimi ni miongoni mwa Walimu niliondolewa kazini kutokana na changamoto ya vyeti. Kama unavyojua mama yetu watu wengi tena wengine walikuwa watendaji wazuri kazini walikumbwa na shida hiyo ambayo ilipelekea familia zetu kuyumba, watoto kushindwa kuendelea na masomo na baadhi yetu kupata magonjwa ya moyo hata vifo hasa ukizingatia tulivyoondolewa ghafla bila hata ya kujua wapi pa kuelekea.

Sasa wewe kama mama najua unajua uchungu wa mwana na unajua furaha ya mwana maana nilikusikia siku ya kuzaliwa kwako unasema ukipata msongo wa mawazo unawaita wajukuu Ikulu unacheza nao wanakupa furaha.

Naomba ufikirie kuturejesha kazi au kutulipa mafao yetu kwa pale tulipotumika ili walau uturejeshee furaha sisi na familia zetu.
Najua watu watakubeza kwa hili lakini najua utakuwa umegusa na kufuta machozi ya watu wengi.

NB: Jaribu kufuatilia kwa kutumia vyombo vyako vya usalama utabaini waliondolewa kazini wengi walikuwa wachapakazi na tegemeo kubwa.

Mungu akuongoze kwa hili na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.
Kuwa na vyeti feki ni uhaini wahi kituo cha polisi kilichokaribu yako kama unavyeti feki.
 
Kwani kuna mwalimu nchi hii ana cheti halali? Ili kuwa mwalimu sifa kubwa LAZIMA AWE AMEFELI. Sasa Kwa muktadha huo Kuna mwalimu mwenye cheti halali kweli?

Wakati mleta mada unatoa ombi kwa rais ili awarudishe walimu unaosema Wana vueti fake, mm natamani mhe rais AWAFUTE KAZI walimu wote nchini kisha wapelekwe mahakamani kwa kosa la kufundisha wakati hawana sifa
Kwahiyo waliokufundisha had Leo hii unajua kuhara hapa jf walifeli?
Waliokufundisha primary walifeli ,form four walifeli ,advance walifeli ,chuo kikuu walifeli na ajabu unatamba mtaan kwa kujiita msomi na huku ukiwa umepita kwenye mikono ya waliofeli ,Sasa Kama umepata hiyo Elimu kwa waliofeli wewe utakua mtu wa Aina gani Kama sio zero brain?
 
Halafu wakikata rufaa wanalalamika saaana wakipigwa chini wakati walipewa muda wa kuwasilisha cheti HALALI
 
Mh Mama yetu kipenzi na Rais wetu nakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya kuiletea nchi yetu ya Tanzania maendeleo. Lakini kwangu naomba nichukue moja ambalo ninalichukua kurudia kukupongeza kwalo ambalo ni ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Kuna baadhi ya watu ambao wanabeza kuwa unakopa eti nchi itauzwa bila kukumbuka kuna bomu lilikuwa limeandaliwa la kundi kubwa la wanafunzi wanaitwa wa Elimu bure ili likulipukie ili maneno yawe mengi zaidi ya kwamba watoto wamemaliza Elimu ya Msingi wamekosa nafasi ya kuendelea na masomo kutokana na ukosefu wa vyumba vya madarasa.

Ulichokifanya ni kikubwa na sidhani kama mbeleni tutakuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa sekondari maana wanafunzi wanaofuata baada ya hawa wa mwaka huu takwimu zao zinapongua.

Hili lilikuwa ni gumu na kama mama umejiongeza pakubwa sana kunusuru wanao wasife njaa. Hakika nani kama mama.
Baada ya kusema hayo nina ombi moja.

Mimi ni miongoni mwa Walimu niliondolewa kazini kutokana na changamoto ya vyeti. Kama unavyojua mama yetu watu wengi tena wengine walikuwa watendaji wazuri kazini walikumbwa na shida hiyo ambayo ilipelekea familia zetu kuyumba, watoto kushindwa kuendelea na masomo na baadhi yetu kupata magonjwa ya moyo hata vifo hasa ukizingatia tulivyoondolewa ghafla bila hata ya kujua wapi pa kuelekea.

Sasa wewe kama mama najua unajua uchungu wa mwana na unajua furaha ya mwana maana nilikusikia siku ya kuzaliwa kwako unasema ukipata msongo wa mawazo unawaita wajukuu Ikulu unacheza nao wanakupa furaha.

Naomba ufikirie kuturejesha kazi au kutulipa mafao yetu kwa pale tulipotumika ili walau uturejeshee furaha sisi na familia zetu.
Najua watu watakubeza kwa hili lakini najua utakuwa umegusa na kufuta machozi ya watu wengi.

NB: Jaribu kufuatilia kwa kutumia vyombo vyako vya usalama utabaini waliondolewa kazini wengi walikuwa wachapakazi na tegemeo kubwa.

Mungu akuongoze kwa hili na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.

Yaani wewe ni mwalimu wa vyeti feki. Maana yake huna kiwango cha kuwa mwalimu sasa unataka urudishwe kufundisha watoto wakati una vyeti fake😂 wewe mtoto wako unaweza kumlipa ada kwa walimu fake kweli. Inabidi ukasome au tafuta kazi nyingine
 
Mh Mama yetu kipenzi na Rais wetu nakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unazozifanya kwa ajili ya kuiletea nchi yetu ya Tanzania maendeleo. Lakini kwangu naomba nichukue moja ambalo ninalichukua kurudia kukupongeza kwalo ambalo ni ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Kuna baadhi ya watu ambao wanabeza kuwa unakopa eti nchi itauzwa bila kukumbuka kuna bomu lilikuwa limeandaliwa la kundi kubwa la wanafunzi wanaitwa wa Elimu bure ili likulipukie ili maneno yawe mengi zaidi ya kwamba watoto wamemaliza Elimu ya Msingi wamekosa nafasi ya kuendelea na masomo kutokana na ukosefu wa vyumba vya madarasa.

Ulichokifanya ni kikubwa na sidhani kama mbeleni tutakuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa sekondari maana wanafunzi wanaofuata baada ya hawa wa mwaka huu takwimu zao zinapongua.

Hili lilikuwa ni gumu na kama mama umejiongeza pakubwa sana kunusuru wanao wasife njaa. Hakika nani kama mama.
Baada ya kusema hayo nina ombi moja.

Mimi ni miongoni mwa Walimu niliondolewa kazini kutokana na changamoto ya vyeti. Kama unavyojua mama yetu watu wengi tena wengine walikuwa watendaji wazuri kazini walikumbwa na shida hiyo ambayo ilipelekea familia zetu kuyumba, watoto kushindwa kuendelea na masomo na baadhi yetu kupata magonjwa ya moyo hata vifo hasa ukizingatia tulivyoondolewa ghafla bila hata ya kujua wapi pa kuelekea.

Sasa wewe kama mama najua unajua uchungu wa mwana na unajua furaha ya mwana maana nilikusikia siku ya kuzaliwa kwako unasema ukipata msongo wa mawazo unawaita wajukuu Ikulu unacheza nao wanakupa furaha.

Naomba ufikirie kuturejesha kazi au kutulipa mafao yetu kwa pale tulipotumika ili walau uturejeshee furaha sisi na familia zetu.
Najua watu watakubeza kwa hili lakini najua utakuwa umegusa na kufuta machozi ya watu wengi.

NB: Jaribu kufuatilia kwa kutumia vyombo vyako vya usalama utabaini waliondolewa kazini wengi walikuwa wachapakazi na tegemeo kubwa.

Mungu akuongoze kwa hili na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.
Taahira wewe! Umeshajua huyo bibi yenu anasikiliza kila aina ya upuuzi ndo maana unaleta ngonjera hizi! Huwezi kuishi bila kufanya kazi serkalini wewe kichwa panzi!
 
Kwahiyo waliokufundisha had Leo hii unajua kuhara hapa jf walifeli?
Waliokufundisha primary walifeli ,form four walifeli ,advance walifeli ,chuo kikuu walifeli na ajabu unatamba mtaan kwa kujiita msomi na huku ukiwa umepita kwenye mikono ya waliofeli ,Sasa Kama umepata hiyo Elimu kwa waliofeli wewe utakua mtu wa Aina gani Kama sio zero brain?
Mm nimesomea "mbele". Sijafundishwa na hawa wenye vyeti batili. Kule mwalimu mwalimu kweli.
 
Forgery is a criminal offence and once found guilt you will go to jail for not less than 7 years without option of fine
 
Back
Top Bottom