Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,661
- 15,026
Wakurugenzi wa mashirika ya uma wengi wamelala isipokuwa mkurugenzi wa shirika la reli TRC mh Masanja Kungu Kadogosa.
Kutokana na maandalizi ya sikukuu za mwisho wa mwaka jana Masanja Kadogosa amesafiri kwa Treni kutoka Dar hadi Arusha ili kukagua na kuhamasisha matumizi ya usafiri wa treni nchini.
Anavyoongea na anavyolisimamia shirika la reli hakika Kadogosa ni tofauti sana na wakurugenzi wengi wanaojali matumbo yao.