Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeambiwa siku ya leo ya tarehe 27/01/2022 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan , ambako inatajwa kwamba ametimiza miaka 62 , na mimi kama walivyo wazalendo wengine ...
21 Reactions
92 Replies
6K Views
Mara nyingi tumekuwa tukishuudia Makamu wa Rais akiwa na majukumu mbalimbali wengine tumekuwa tulikutana nae barabarani tukutano nae uwa tunajigeuza waandishi binafis wake kwa kumtwanga PC na...
1 Reactions
0 Replies
540 Views
Ni kijana uliyeonyesha uthubutu wako bila kutetereka. Kujipambanua bila uoga na kueleza kile unachokiamini. Ingawa ni mara yako ya kwanza kuingia Bungeni na pia kujieleza mbele ya wabunge wote...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara. Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye...
10 Reactions
101 Replies
12K Views
Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46)...
9 Reactions
141 Replies
12K Views
Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo. Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya...
74 Reactions
193 Replies
14K Views
Ndugu zangu Watanzania, kuna watu bado hawajui au hawaamini kama ukoloni na ubeberu ni matokeo ya hila kubwa ya nchi za magharibi na raia wao ikiwepo marekani. Kuna ushirika mkubwa kati ya nchi...
13 Reactions
139 Replies
7K Views
Leo kwenye Maria Space iliyokuwa na mada ya mfumuko wa Bei man of the space was Lema. Ameongea mambo mazito na muhimu Kwa Taifa Leo. Moja ya jambo kubwa ninalotaka kushare na wewe ni hili: 1...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama kuna nyakati wasaniii wanaishi chini ya ndoto zao ni kipindi hiki cha awamu ya sita. Mhe Rais Samia Suluhu alihaidi kwa Wasanii kulipwa mirabaha itokanayo na kazi za kisanii. Akiwa katika...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo, 30.01.2022 Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huteremka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo ni swali na pongezi. "Serikali inapokosolewa kwa...
21 Reactions
87 Replies
7K Views
Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo...
20 Reactions
138 Replies
23K Views
Nimekuwa nawasikia watu wengi wakisema viongozi wa ju wa nchi (Rais) wanavyo ongoza nchi huathiliwa na ukanda wao, wengi wakaenda mbali kwamba Pwani na Bala Kuna haina za kiuongozi zisizo fanana...
0 Reactions
8 Replies
640 Views
Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa. Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai...
25 Reactions
111 Replies
12K Views
Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi Namuona Rais Mwinyi anafanya...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo...
63 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna mbunge mmoja ambaye kwa sasa sio mbunge tena, ambaye hali yake kiafya sio nzuri sana na ninamuombea kwa Mungu amponye apone haraka. Suala lake lilitoka mbali sana, Wala sio la Jana wala leo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Assalam alaykum! Amani iwe kwenu. Naomba niirudie mada: WATUMISHI WALIOPANDISHWA NA KISHA KUSHUSHWA MADARAJA 2016, MH. RAIS NA WIZARA YA UTUMISHI MUWAANGALIE KWA JICHO LA HURUMA. Sote...
6 Reactions
13 Replies
5K Views
John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom