Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws...
Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa...
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT.
Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza...
Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika.
Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19...
Leo Februari 02, 2022 katika ukumbi wa Chinangali Park, Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini akiwa kama Mgeni Rasmi.
Kauli Mbiu ni...
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini...
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati...
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya.
Kwa hali ilipofikia si...
Hakuna mahali popote katika historia ya nchi hii, kabla ya ukoloni, kwamba palikuwa na machifu.
Machifu ni watawala wa mkoloni waliosimikwa kwa ajili ya kazi ya mkoloni. Divide and Rule tactics...
Rais wa JMT mh Samia amesema serikali haiwezi kuiingilia mahakama na kwamba wao hutegemea mahakama katika maswaka yaliyopo mahakamani.
Ikumbukwe kuwa aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto...
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na...
Akiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka...
1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao.
2...
Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa...
UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI
UKIUKAJI:
Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo.
Mosi, wakati...
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako...
Ubia katika kuendeleza mji wa Kigamboni
NSSF iliiingia ubia na Kampuni ya Azimio Housing Estate.Katika mkataba huo Azimio ilitakiwa kuendeleza ekari 20,000 za ardhi iliyopo Kigamboni ambapo kwa...
Nimefuatilia taarifa zinazosambaa kwamba Zuhura Yunus ni raia wa Uingereza nachelea kuziamini na kama Zina ukweli basi atakuwa ameupata huo Uingereza Kwa Siri sana. Nafasi aliyopewa lazima...
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.