Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jambo la kuweza kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan inaonesha dhahiri ni mpole sana na ni rais asiyependa makuu kwa viongozi wa chini yake anaowaongoza hili...
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania, umesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza sherehe za Siku ya Sheria Februari 2, Chinagali jijini Dodoma, badala ya Februari Mosi, 2022. Hatua ya...
0 Reactions
7 Replies
798 Views
Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake...
72 Reactions
661 Replies
32K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema bunge linapotangaza kupokea muswaada na kuhitaji mawazo ya wananchi, ni muhimu wananachi kutumia fursa hiyo kupeleka mawazo yao. Amesema hayo...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Kama ilivyo ID yangu - yaani New Page. Baada ya JPM kuondoka niliamini tunaanza ukurasa mpya. Nilikuwa wa kwanza kwanza kuonesha kuwa hii ni Awamu ya Sita na si ya Tano, ingawa ilibishiwa sana...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
CITI BANK imeahidi kuisaidia Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka katika Benki hiyo pamoja na washirika wake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa ujenzi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na...
7 Reactions
65 Replies
47K Views
Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi...
-1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunakumbushana tu kwamba mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema na mwaka 2015 alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa JMT. Hivyo mzee Duni ana mapenzi mema na Chadema pamoja...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Sasa nimeielewa Nia ya serikali ya awamu ya 6 Chini ya mama SSH iliposema itapitia mikataba yote ya awali upya ikiwemo wa Bagamoyo na Liganga/ Mchuchuma kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa hili gazeti litaandika nini kesho ? Nakala : Pascal Mayalla
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo. VIP PROTECTOR...
4 Reactions
70 Replies
8K Views
Ombi langu kwa wanachuo mnaoenda kuanza first year na mnaoendelea na masomo jiandaeni kisaikolojia na mjipange kisawasawa kujigharamia masomo. kiukweli kwa kauli hii jamaa kamaliza. Haoni hatari...
24 Reactions
305 Replies
32K Views
Hakika aliyewaita wasukuma washamba hakukosea. Mbunge wa Geita vijijini Dr Joseoh aka Musukuma amewaomba wapiga kura wake wamoe miaka mingine 20 ya ubunge ili aibadili Geita iwe kama Dar es...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Wanabodi Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo...
40 Reactions
342 Replies
27K Views
Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi. Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano...
43 Reactions
100 Replies
9K Views
Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya...
75 Reactions
733 Replies
134K Views
Ningemshangaa sana Dr.Tulia Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania kama asingechukua fomu za kugombea kuchaguliwa kuwa Spika. Unapokuwa kwenye wadhifa Fulani wewe na wanaokuzunguka...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom