Rais Samia usifungue milango ya uchawi: Uchifu ni mamlaka za shetani

Lorenzo Samike

JF-Expert Member
Jun 18, 2021
1,188
1,912
Hakuna mahali popote katika historia ya nchi hii, kabla ya ukoloni, kwamba palikuwa na machifu.

Machifu ni watawala wa mkoloni waliosimikwa kwa ajili ya kazi ya mkoloni. Divide and Rule tactics. Hawa ndio waliohusika kuwauza wenzao utumwani.

Neno lenyewe ni la Kiingereza "CHEIF".

Baada ya ukoloni, machifu hawa walipotea. Tukawa na serikali za kidemokrasia maana hawakuhitajika tena.

Kwahiyo, uchifu haukuwa uongozi wa kimila, ni uongozi wa kikoloni. Tuweke rekodi sawa.

Hawa walioibuliwa na Samia wanaoitwa "machifu", kiuhalisia ni makundi ya viongozi wa WACHAWI nchini ambao wanamsimika Hangaya kama mkuu wao. Hii ni POWER TRANSFER katika mamlaka za kichawi na za kishetani. Ni protocal.

Ni vizuri wananchi wakaambiwa ukweli. Kwamba nchi hii imekabidhiwa kwa MIUNGU, na kwamba, hawa wanaoitwa machifu ni makuhani katika madhabahu za Miungu hiyo.

Mmemuacha MUNGU mkajikabidhi kwa mizimu na mashetani. Mwisho wake ni kuangamia tu. Shetani hana ndugu wala rafiki.

Mrudieni MUNGU, mtubu na muirudishe nchi kwenye mstari wake. Nchi hii sio milki ya mashetani, ni milki ya yule muumbaji wa mbingu na ardhi.

MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, huwaangamiza na kuwashusha wote wajiinuao juu yake.

FB_IMG_16428739625950843.jpg
 
Urais hauna dini japo Rais anaweza kuwa na dini yake

Waabudu Mashetani nao ni Raia na wana haki sawa na Wachamungu kwny Nchi
Rais ni malango ya kiroho ya nchi.

Lolote analolifanya, analifanya kwa niaba ya / Kwa ajili ya nchi. KIROHO.

Ukiyafungulia mashetani kupitia Rais, umeyafungulia juu ya nchi.

Rais sio mtu tu. Ni mamlaka inayowakilisha nchi.
 
Hakuna mahali popote katika historia ya nchi hii, kabla ya ukoloni, kwamba palikuwa na machifu.

Machifu ni watawala wa mkoloni waliosimikwa kwa ajili ya kazi ya mkoloni. Divide and Rule tactics. Hawa ndio waliohusika kuwauza wenzao utumwani...
We mjinga sana.

Mila za kwenu unaziita uchawi na ushirikina.

Kuabudu mizimu yes si ya kuigwa, bali heshima ,utamaduni, ngoma, maisha ya jamii huwezi kuita uchawi.

Lazima una upunguani wewe.

Leo Ulaya/Marekani wanaume wanaozwa makanisani kwa wanaume, uchafu huo Afrika hakuna.

Mila zetu haziruhusu.
 
We mjinga sana.
Mila za kwenu unsita uchawi na ushirikina.
Kuabudu mizimu yes si ya kuigwa, bali heshima ,utamaduni, ngoma, maisha ya jamii huwezi kuita uchawi.
Lazima una upunguani wewe.
Leo Ulaya/Marekani wanaume wanaozwa makanisani kwa wanaume, uchafu huo Afrika hakuna.
Mila zetu haziruhusu.
Andika kwa nukta.

Mimi sio mlevi mwenzio.
 
Si Mara ya kwanza Rais kuhudhuria shughuli za kitamaduni,Kikwete aliwahi kuhudhuria kusimikwa kwa Chief Abdul chifu wa wahehe,Nyerere alikua chifu kwenye kabila lao,Chenge alikua mtemi kwao.Muhimu ni kutowapa nguvu za kiserikali au kufanya iwe ndio nguzo au kuwapa nguvu kwa kisingizio cha ya kuunganisha kabila lake maana kika kabila likifufunua Mambo ya machifu tunaweza kutoka nje ya mstari.Ibaki tu Kama sehemu ya Mila na desturi na kudumisha Mila na desturi haina uhusiano na ueshetani tusije tukajidharau kiasi hicho.
 
Mambo ya machifu tunaweza kutoka nje ya mstari.Ibaki tu Kama sehemu ya Mila na desturi na kudumisha Mila na desturi haina uhusiano na ueshetani tusije tukajidharau kiasi hicho.

Machifu sio viongozi wa kimila. Ni viongozi wa kikoloni.

Hapajawahi kuwa ni chifu nchi hii isipokuwa wale tu waliosimikwa na mkoloni kwa ajili ya kazi za mkoloni.

Neno lenyewe ni CHEIF. Kiingereza hicho, sio kinyakyusa.

Ukiwa na akili timamu utakuwa umeshaelewa MACHEIF walitoka wapi.
 
Back
Top Bottom