IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji.
Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na...
Salaam Wakuu,
Hussein Bashe ana malengo mazuri ya kuinua Wakulima?
Kaandika hivi;
Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project
Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara...
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa...
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro , kwamba hakuna yeyote atakayefanya Uhalifu nchini Tanzania ambaye Jeshi lake litashindwa kumdaka , imezua mjadala mkubwa mitaani...
===========
Alichoongea Bungeni Tulia Ackson wakati akiomba kuchaguliwa kuwa spika wa bunge la Tanzania
Jina langu naitwa Tulia Ackson, nami kama wagombea wengine nimekuja ili niombe ridhaa yenu...
January Makamba: Bila Magufuli CCM ilikuwa Imekataliwa na Wananchi Uchaguzi 2015
Akiongea na kituo cha Taifa cha Utangazaji(TBC),Mbunge wa Bumbuli na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Ndugu...
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini , lakini mara baada ya jina la rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,raia wa Afrika kusini...
Kwenye magazeti ya leo kuna mojawapo ya gazeti limemnukuu January Makamba akiuponda utawala uliopita kuwa ulijaa kulindana kwahiyo uwajibikaji ukashuka kwa kiwango kikubwa hasa (kaongea kweli...
Serikali imekuja na sheria zake kama za mjeremani.Sheria ambazo zilikuwa kina na sababu za babu zetu kujitoa muhanga na kutoafutiana na serikali ya mjeremani.Hizi sheria za kuweka bila kuangalia...
Na Peter mwaihola
Democratic Alliance (A.D) ndio chama cha upinzani chenye ushawishi nchini Afrika kusini katika uchaguzi mkuu wa mwisho kilifanikiwa kupata asilimia 20.77 nyuma ya chama tawala...
Shirika kubwa kama Tanesco ni sehemu ya miundombinu ya kimkakati yaani national Infrustructure strategy.
Jukumu la Serikali ni kuhakikisha miundombinu hii inalindwa na kutunzwa vizuri zaidi...
Tundu Lissu kuna wakati tuliamini kama wana CCM anatumia dawa au ngekewa kutuchezesha segere na ngoma ya mpwito Bungeni na Mahakamani kumbe ni akili kubwa tu.
Kila mtu ana mapungufu yake lakini...
Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa...
Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya...
Mama Samia
Mke wa Mzee Awadhi Hafidhi kutoka Makundi Zanzibar
Ni mama mpole, mnyenyekevu lakini mvumilivu asiyetaka makuu ni mama mwenye Upendo. (Hapa nitapingwa lakini ndivyo alivyo).
Ni kweli...
Habarini wazalendo wenzangu.
Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya?
Suala la pili ni...
Kuwawajibisha maafisa wa serikali ni kitovu cha demokrasia. Uwajibikaji wa kidemokrasia unawapa wananchi na wawakilishi wao nafasi na njia ya kutoa maoni yao na kupatiwa maelezo kuhusu utendaji...
Spika mpya Dkt. Tulia ambaye ni mwana CCC TAG mwenzangu Mungu wa mbinguni akubariki sana.
Tenda Wema kwa wabunge wote siku zote.
Usiusahau ushauri/ nasaha za mama Makinda kwamba waache wabunge...
JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.