Mama Regina Lowassa: Kwa hili UMENIGUSA SANA!

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
178,198
1,077,331
Ushabiki wa siasa pembeni lakini huyu mama ana mvuto sana na tayari anaonekana kama first lady tayari. Hii ni leo akiwa Kahama na mumewe. Mimi ni Msukuma na nayajua madhila ya vikongwe hawa anaoongea nao.
Wengi wanahisi kuwa jamii imewatenga na wanaishi kwa hofu ya kuuawa kwa tuhuma za uchawi.

Japo najua kuwa pengine mumewe hatashinda na kuwa rais lakini kwa hili tu amenivutia sana.
Asante mama Lowassa kwa hili.
Umetonesha milizamu za macho yangu na Mungu Akubariki whether ukiwa first lady ama la!

Mama Lowassa via Rahatupu.Blogspot (1).jpg Mama Lowassa via Rahatupu.Blogspot (2).jpg Mama Lowassa via Rahatupu.Blogspot (3).jpg Mama Lowassa via Rahatupu.Blogspot (4).jpg
 
Yeye na mumewe walikutana chuoni wakati wanasoma usanii; lazima walikuwa wanafunzi wazuri pia maana hizi perfomances zao nimezivulia kofia.

Mama ajawahi kuchangia ata senti ya msaada na utajiri wao wote mara tu anajali matatizo ya akina mama.
 
Happy Feet - sidhani kama unamuelewa huyu mama, tusiandikie mate hebu mgugo(google) kidogo halafu urudi hapa ukanushe kauli yako.
 
Mbona haueleweki naona kama upo unakunya tu maana hakuna unachowaza zaidi ya kupanic.
 
Happy Feet - sidhani kama unamuelewa huyu mama, tusiandikie mate hebu mgugo(google) kidogo halafu urudi hapa ukanushe kauli yako.
Ushiriki wake kwa namna ya campaign za changamoto za jamii unaishia kwenye red carpets kunywa champaign na kujulikana kama mlezi lakini ajawahi kuchangia nyumba za yatima ata senti tano yake wala kwenye zahanati zinazosaidia wamama na watoto.

The lady is not know for her philanthropy attributes; kuna watu tunajua kama akina mengi ni watu wakujitolea bila ya kujali juu ya mapungufu yao sanasana kwenye issue za elimu. Anashindwa na wasichana wadogo wenye mapato yao ya kuuza maduka na malipo ya kuimba tu kwenye kuchangia directly wao wenyewe.

Lakini si Regina Lowassa ana hiyo rekodi ata kusema awachangishea kupitia matajiri wenzake wakina mama kwenye issue za watoto na wazazi na wala ajali zaidi ya kuendeleza sanaa tu.
 
Ushiriki wake kwa namna ya campaign za changamoto za jamii unaishia kwenye red carpets kunywa champaign na kujulikana kama mlezi lakini ajawahi kuchangia nyumba za yatima ata senti tano yake wala kwenye zahanati wamama na watoto.

The lady is not know for her philanthropy attributes; kuna watu tunajua kama akina mengi ni watu wakujitolea bila ya kujali juu ya mapungufu yao sanasana kwenye issue za elimu.

Lakini si Regina Lowassa ana hiyo rekodi ya ata kuchangisha wakina mama kwenye issue za watoto na wazazi na wala ajali zaidi ya kuendeleza sanaa tu.
iwe ni sanaa au usanii kuwakumbuka hawa wazazi wetu alau mara moja moja ni thawabu kubwa kwa muumba wetu. amefanya lililo jema
ubarikiwe mama RL
 
Ushiriki wake kwa namna ya campaign za changamoto za jamii unaishia kwenye red carpets kunywa champaign na kujulikana kama mlezi lakini ajawahi kuchangia nyumba za yatima ata senti tano yake wala kwenye zahanati zinazosaidia wamama na watoto.

The lady is not know for her philanthropy attributes; kuna watu tunajua kama akina mengi ni watu wakujitolea bila ya kujali juu ya mapungufu yao sanasana kwenye issue za elimu. Anashindwa na wasichana wadogo wenye mapato yao ya kuuza maduka na malipo ya kuimba tu kwenye kuchangia directly wao wenyewe.

Lakini si Regina Lowassa ana hiyo rekodi ata kusema awachangishea kupitia matajiri wenzake wakina mama kwenye issue za watoto na wazazi na wala ajali zaidi ya kuendeleza sanaa tu.

Huyu mama Regina lowasa anajitoleaga Sana tofauti yake ni kuwa haitagi wala kwenda na media Kama hao watu wengine kila kitu kionekane kwenye TV au radio
 
iwe ni sanaa au usanii kuwakumbuka hawa wazazi wetu alau mara moja moja ni thawabu kubwa kwa muumba wetu. amefanya lililo jema
ubarikiwe mama RL
Huko sasa ndio kuwakumbuka au kuwatapeli waipigie kura familia yao kwa kujifanya anawajali.
 
Ushiriki wake kwa namna ya campaign za changamoto za jamii unaishia kwenye red carpets kunywa champaign na kujulikana kama mlezi lakini ajawahi kuchangia nyumba za yatima ata senti tano yake wala kwenye zahanati zinazosaidia wamama na watoto.

The lady is not know for her philanthropy attributes; kuna watu tunajua kama akina mengi ni watu wakujitolea bila ya kujali juu ya mapungufu yao sanasana kwenye issue za elimu. Anashindwa na wasichana wadogo wenye mapato yao ya kuuza maduka na malipo ya kuimba tu kwenye kuchangia directly wao wenyewe.

Lakini si Regina Lowassa ana hiyo rekodi ata kusema awachangishea kupitia matajiri wenzake wakina mama kwenye issue za watoto na wazazi na wala ajali zaidi ya kuendeleza sanaa tu.

21 December 2013
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu--katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo Monduli wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na kula nao chakula cha mchana
 
Attachments

  • 1442264358448.jpg
    1442264358448.jpg
    34.6 KB · Views: 927
  • 1442264369644.jpg
    1442264369644.jpg
    33.2 KB · Views: 881
21 December 2013
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu--katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo Monduli wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na kula nao chakula cha mchana
Kila mtu during the festive season anakuwa na moyo huo sio pekee yake; onyesha akishiriki siku za kawaida.

Isitoshe kusaidia maana yake ni kujulikana ethically kwenye hiyo misimamo hakuna mtu asiejua 'Reginald Mengi' ni mdau mkubwa wa elimu ya primariy na secondary, Joyce Kiria anaguswa sana unyanywasaji wa wanawake wenzake, Jakaya Kikwete anaguswa na misiba ya jamii na kila wanapopata nafasi awasiti kutoa michango yao kwa namna wazijuazo be it mmoja through finance support, mwingine kupitia unaharakati usiyoyumba na JK kufika mwenyewe.

Huyu mama hizo attributes hanazo kwenye kupigana na umaskini anachofanya kwenye hiyo picha ni thousands if not millions of Tanzanians do it every festive period hila awapigwi picha tu.
 
Back
Top Bottom