Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.

1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia kumrithi Kama siku hatukuwepo - Babu Duni alikuwa muungwana na kuwataja wafuatao...Hamad Masoud Hamad, Babu Duni, Mansoor Humid, Ismail Jussa na Mazrui Ahmed.

Na kimsingi Hawa Ndio Maalim Seif aliwai kuwataja huko nyuma na si mwingine.

Baadae Zitto alivyoketi na kikao chake chenye sura yake mwenyewe, akatokea na Jina la Othaman Masoud, kwamba ndie Chaguo la Maalim (uwongo) na kusababisha ghadhabu kubwa miongoni kwa wale wazee na haswa kwa wazanzibar wengi ndani ya Chama ambao Hilo halikuwa matarajio Yao kitendo ambacho kilitaka kusababisha Chama kupasuka.

Ndipo Zitto akaona atumie fursa hii ya Uenyekiti kulipa fadhila kwa Babu Duni kutokana na ulaghai mkubwa alioyafanya wakati wa uteuzi wa Othaman Masoud.

Ijapokuwa alimpatia masharti Babu Duni kwamba, ikifika 2024, Babu ajiuzuru ili yeye aichukue nafasi ya Uenyekiti wa Chama Taifa.

2. Nafasi ya Mwenyekiti Taifa.
Zitto ambae Kikatiba, anakosa sifa za kugombea nafasi ya Kiongozi wa Chama kwa zaidi ya miaka 10, ambayo inatimia 2024, kwenye Uchaguzi rasmi wa Chama.

Anatafuta nafasi kubwa kwenye Chama ambayo anaweza kuitumia kukidhibiti Chama kwa maslahi yake.

Kwa msiofahamu ni kwamba, Katiba ya ACT imempa nguvu Mwenyekiti wa Chama kuliko viongozi wengine wote. Na hivyo Zitto anahofia maslahi yake na ya walionyuma yake (Dola) kupoteza ushawishi wake ndani ya Chama kuelekea 2025 ili kuweza kuitumia ACT kuendelea kuidhibiti Zanzibar kwa kutoruhusu Zanzibar kuwa chini ya Chama Cha Upinzani. Na hivyo mtu sahihi kwake ambae alidhani anaweza kumuondoa kiurahisi ni Babu Duni na kulingana na makubaliano Yao nilioyataja hapo juu.

3. Zuberi, Othman na Mwinyi wameingia makubaliano ya Uchaguzi wa 2025, kwamba suala la Urais pamoja na uwepo wa Uchaguzi, lkn mwinyi abakie kuwa Rais wa Zanzibar, yaani hata Kama ACT itashinda, basi Mwinyi ndio Rais na majimbo ya Pemba yataachiwa kwa ACT na kwa Unguja itategemea nguvu ya Kila Chama.

Katika kufanikisha haya, ni pamoja na kuhakikisha Mgombea wa Urais kwa upande wa ACT anakuwa Othaman (mchongo), na ili kurahisisha Hilo, Hamad Masoud hakupaswa kuwa Mwenyekiti kwasababu upepo ungeweza kubadilika na watu wakamtaka Hamad Masoud, kwahiyo kitendo Hicho kinaweza kufelisha mpango huo wa kuhujumu mpango wa kushika Dola la Zanzibar.

Hii maana yake ni kwamba, lazima Mgombea wa ACT kwenye Uchaguzi 2025 kwa Zanzibar awe Othman (mchongo).

4. Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa muktadha wa nafasi hii ya sasa, kwamba anatokea Zanzibar, Ina maana kubwa. Mtu huyo kwa utamaduni na Hali ya siasa ya ndani ya Chama ni kwamba, Mtu huyo anaweza kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar hususani anapokuwa miongoni mwa wale watano (5), Sasa ingetokea Hamad Masoud ndie Mwenyekiti, na mipango ya Zitto ikafeli ya kumpitisha Othman kuwa Mgombea, maana yake ni kwamba uwezekano wa kuhujumu matokeo au kukubali kushindwa kulingana na makubaliano ya Zuberi na Mwinyi, pia ingekuwa ngumu zaidi, na ikumbukwe kwamba, Hamad Masoud ndie anaeshikilia rekodi kubwa ya kuanika hadharani mipango karibu yote mikubwa ya ccm vipindi karibu vyote vya Uchaguzi na hususani kuhusu daftari la wapiga kura.

Lkn ni kwasababu Hata Kama Babu Duni akifanikiwa kushika nafasi ya Mwenyekiti alionayo sasa, na akashinikiza kuwa Mgombea wa Urais na akafanikiwa, hawezi kuwa Mgombea mwenye ushawishi miongoni mwa Wazanzibari hususani kwa wapiga kura wengi ambao ni Vijana, ukilinganisha na Mwinyi mbali ya uwezo wake wa kufanya kampeni kubwa kulingana na afya yake ambayo inafichwafichwa tu.

Na hili linapata nguvu kwasababu, moja ya sababu ya Babu Duni kutokuwa Mgombea mwenza wa Urais 2020, ni kutokana na kuzorota kwa afya yake na hivyo asingeweza kuhimili kuizunguka nchi nzima, na ndio maana pia, tangu apewe Umakamo Mwenyekiti Zanzibar, wa Chama, hakuwai kufanya ziara Zanzibar, Sasa sijui itakuwaje Tanzania nzima.

Sasa Jaribio la Babu likifaulu, litafanya mipango ya hujuma kushindikana ya kuhakikisha Othman anapitishwa kuwa Mgombea wa ACT 2025, basi Zuberi anaamini na ndio ukweli kwamba, Babu Duni atakuwa chaguo jepesi mbele ya Mwinyi, ukizingatia uwezo wake mdogo wa kuutetea ushindi wake na hili pia ni kwasababu Babu Duni mwenyewe amekuwa akisema anataka tu kumalizia uzee wake, kwahiyo hata nafasi ya umakamo itamtosha.

Kwahiyo:

1. Zuberi ni programu ya Utawala wa ccm katika kudhibiti Zanzibar ishindwe kujitawala na kufikia hadhi yake ya mamlaka kamili Kama ilivyo ndoto ya Wazanzibar wengi na Babu ni wakala wake asie wa hiari katika kufanikisha Hilo.

2. Mradi wa Zuberi kujiingizia mapato, hususani ukizingatia kwamba, anajiandaa kugombea Urais so anajua atakuwa geresha tu, lkn anajua atapata viti maalum vingi ili aweke ma-baby zake na Ndugu zake Kama alivyofanya Jaribio Hilo kwenye Uchaguzi wa 2020, ambao siku za usoni nitawataja wote.

Kwa Upande wa Serikali ya CCM.

1. Wamepata mtu maarufu mwenye sura ya Upinzani Kama ngao Yao ya kuhalalisha matendo ya ukiukwaji mkubwa wa Demokrasia na Haki za binadamu dhidi ya wadau wetu wakubwa wa maendeleo kutoka nje, hususani mataifa ya magharibi. Kwamba kuunga mkono kwake na kutoikosoa Serikali, kunaleta taswira kwamba mambo yako sawa Tanzania na hivyo wapinzani Makini wengine wanavyolalamika wanakuwa wanapoteza uhalisia na kukosa nguvu kubwa ya sapoti kutoka nje.

2. Wamepata Chama na viongozi ambao wamewezesha wao ccm kuingia katikati ya Zanzibar na kuidhibiti. Hoja kubwa ya Zanzibar kuwa sehemu ya Tanzania ndio msingi wa Serikali ya ccm na huu ndio mradi wake mkubwa usionwaga damu

Wamefanikiwa kuingia katikati ya base muhimu ya Upinzani ili kuigawa na kuitumia ili kudhibiti Zanzibar. Huku tukidhani tuko kwenye Chama na viongozi Makini, lkn mwelekeo wao unakuwa wa kuidhohofisha ndoto ya Wazanzibar ya mamlaka kamili Kama kwa uchache nilivyo eleza hapo juu.

UONGO WA ZUBERI.

1. Hakuna pahala ambapo Maalim Seif alimtaja Othman Masoud kuwa Mrithi wake kwa nafasi yoyote ile, hakuna, isipokuwa Maalim Seif aliwataja hao niliowataja hapo juu, Tena hadharani, kwenye Mahojiano na Clouds Tv. Zuberi aliwadanganya watu kwamba, Maalim aliongea nae kwamba Othman ndie Mrithi wake Maalim aliemtaka.

2. Zuberi alikuwa alisema alikuwa akiwasiliana na Maalim alipokuwa hospitali, Muhimbili - Uongo. Muhimbili hakuna mtu aliekuwa akiongea nae, hata Mkewe Maalim, wote walikuwa wakiishia nje na kwasababu hakuwa na uwezo wa kufanya mawasiliano alipopelekwa Muhimbili.

3. Mashaka makubwa zaidi ni pale alipokuwa wa kwanza na harakahara kumtangaza Maalim amefariki Dunia....hili la siku nyingine ambalo litahusisha mateso ya Ahmed Mazrui.

MSIMAMO WA MAALIM KWA OTHMAN.

1. Ukweli wa mambo ni kwamba, Maalim alimpa majaribio mawili Kama mtego Othman bila kujua. Moja, Maalim Seif alimtaka Othman kuwa Mgombea mwenza wa Urais kwa Membe lkn Othman alikataa kwa kigezo kwamba anafanya kazi na mashirika ya Kimataifa, na Maalim akamkubalia.

2. Ulipokuja Uchaguzi mdogo wa pandani (Nyumbani kwao), Maalim alimtaka Tena Othman kugombea Ubunge Jimbo Hilo, lkn bado Othman alikataa kwa kigezo kilekile. Hakujua kwamba alitaka kumuandaa kwa kutazama uelekeo wake na hivyo kupoteza kabisa Imani kwa Maalim, mbali ya kwamba Othman amekuwa mtu wa system na Sasa ndio wakati wake....hili la siku nyingine pia...

3. Lilipokuja suala la umakamo wa kwanza wa Urais Zanzibar, Zuberi alitaka kufanya Jaribio baya zaidi, la kumpitisha Omari shabani, na alipoanza mission yake hiyo, alikutana na uzito mkubwa sana, ndipo akamgeukia Othman kwa ushauri wa watu wa system kwasababu ni mwenzao na kwasababu Othman aliona maslahi makubwa kwenye nafsi hiyo, akasahau kwamba anafanya kazi na mashirika ya Kimataifa🤣🤣🤣.

4. Ilipofika mchakato wa Uchaguzi wa Mwenyekiti, Mzee na Mhasisi wa Chama, Ndugu machano, alimwita Othman (kabala ya Hamad kutangaza Nia)na kumtaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa, lkn Othman alikataa na kudai kwamba yeye bado mgeni na kwenye Chama Hiki wako wakongwe na wenyeji wa siasa, Mzee machano akamkubalia.

5. Zuberi baada ya kuona Hamad Masoud anakwenda kushinda Uchaguzi kwa kura, kwa kuona joto kali na upepo unavuma kwa Hamad, akamtuma Ado, kumshawishi na kumshurutisha Othman kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Taifa (kwasababu nafasi ya Mwenyekiti ilikuwa imesha tangazwa na wakongwe wawili (Hamad na Babu), ili kuweka agenda ya upemba na uunguja Kama kikwazo kwa Hamad Masoud.

Othman akarejea kwa Mzee machano kuomba sapoti, Mzee machano akamkatalia.. akamwambia kwanini mwanzo ulikataa..?...huyu Othman hajawai kuwa na msimamo, Ila linapokuja suala la maslahi binafsi makubwa ndio unamuona. Maana aliambiwa kwamba Kama Masoud Hamad atakuwa Mwenyekiti ndoto Yao ya Othman kuwa Makamo wa kwanza katika kipindi kijacho haipo. Othman wa mchongo🤣🤣🤣

A. Ndambo
 
KWANINI ZITTO AMETUMIA MTUTU KUMBEBA BABU DUNI.

1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia kumrithi Kama siku hatukuwepo - Babu Duni alikuwa muungwana na kuwataja wafuatao...Hamad Masoud Hamad, Babu Duni, Mansoor Humid, Ismail Jussa na Mazrui Ahmed. Na kimsingi Hawa Ndio Maalim Seif aliwai kuwataja huko nyuma na si mwingine.

Baadae Zitto alivyoketi na kikao chake chenye sura yake mwenyewe, akatokea na Jina la Othaman Masoud, kwamba ndie Chaguo la Maalim (uwongo) na kusababisha ghadhabu kubwa miongoni kwa wale wazee na haswa kwa wazanzibar wengi ndani ya Chama ambao Hilo halikuwa matarajio Yao kitendo ambacho kilitaka kusababisha Chama kupasuka.

Ndipo Zitto akaona atumie fursa hii ya Uenyekiti kulipa fadhila kwa Babu Duni kutokana na ulaghai mkubwa alioyafanya wakati wa uteuzi wa Othaman Masoud. Ijapokuwa alimpatia masharti Babu Duni kwamba, ikifika 2024, Babu ajiuzuru ili yeye aichukue nafasi ya Uenyekiti wa Chama Taifa.

2. Nafasi ya Mwenyekiti Taifa.
Zitto ambae Kikatiba, anakosa sifa za kugombea nafasi ya Kiongozi wa Chama kwa zaidi ya miaka 10, ambayo inatimia 2024, kwenye Uchaguzi rasmi wa Chama. Anatafuta nafasi kubwa kwenye Chama ambayo anaweza kuitumia kukidhibiti Chama kwa maslahi yake.

Kwa msiofahamu ni kwamba, Katiba ya ACT imempa nguvu Mwenyekiti wa Chama kuliko viongozi wengine wote. Na hivyo Zitto anahofia maslahi yake na ya walionyuma yake (Dola) kupoteza ushawishi wake ndani ya Chama kuelekea 2025 ili kuweza kuitumia ACT kuendelea kuidhibiti Zanzibar kwa kutoruhusu Zanzibar kuwa chini ya Chama Cha Upinzani. Na hivyo mtu sahihi kwake ambae alidhani anaweza kumuondoa kiurahisi ni Babu Duni na kulingana na makubaliano Yao nilioyataja hapo juu.

3. Zuberi, Othman na Mwinyi wameingia makubaliano ya Uchaguzi wa 2025, kwamba suala la Urais pamoja na uwepo wa Uchaguzi, lkn mwinyi abakie kuwa Rais wa Zanzibar, yaani hata Kama ACT itashinda, basi Mwinyi ndio Rais na majimbo ya Pemba yataachiwa kwa ACT na kwa Unguja itategemea nguvu ya Kila Chama.

Katika kufanikisha haya, ni pamoja na kuhakikisha Mgombea wa Urais kwa upande wa ACT anakuwa Othaman (mchongo), na ili kurahisisha Hilo, Hamad Masoud hakupaswa kuwa Mwenyekiti kwasababu upepo ungeweza kubadilika na watu wakamtaka Hamad Masoud, kwahiyo kitendo Hicho kinaweza kufelisha mpango huo wa kuhujumu mpango wa kushika Dola la Zanzibar. Hii maana yake ni kwamba, lazima Mgombea wa ACT kwenye Uchaguzi 2025 kwa Zanzibar awe Othman (mchongo).

4. Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa muktadha wa nafasi hii ya sasa, kwamba anatokea Zanzibar, Ina maana kubwa. Mtu huyo kwa utamaduni na Hali ya siasa ya ndani ya Chama ni kwamba, Mtu huyo anaweza kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar hususani anapokuwa miongoni mwa wale watano (5), Sasa ingetokea Hamad Masoud ndie Mwenyekiti, na mipango ya Zitto ikafeli ya kumpitisha Othman kuwa Mgombea, maana yake ni kwamba uwezekano wa kuhujumu matokeo au kukubali kushindwa kulingana na makubaliano ya Zuberi na Mwinyi, pia ingekuwa ngumu zaidi, na ikumbukwe kwamba, Hamad Masoud ndie anaeshikilia rekodi kubwa ya kuanika hadharani mipango karibu yote mikubwa ya ccm vipindi karibu vyote vya Uchaguzi na hususani kuhusu daftari la wapiga kura.

Lkn ni kwasababu Hata Kama Babu Duni akifanikiwa kushika nafasi ya Mwenyekiti alionayo sasa, na akashinikiza kuwa Mgombea wa Urais na akafanikiwa, hawezi kuwa Mgombea mwenye ushawishi miongoni mwa Wazanzibari hususani kwa wapiga kura wengi ambao ni Vijana, ukilinganisha na Mwinyi mbali ya uwezo wake wa kufanya kampeni kubwa kulingana na afya yake ambayo inafichwafichwa tu. Na hili linapata nguvu kwasababu, moja ya sababu ya Babu Duni kutokuwa Mgombea mwenza wa Urais 2020, ni kutokana na kuzorota kwa afya yake na hivyo asingeweza kuhimili kuizunguka nchi nzima, na ndio maana pia, tangu apewe Umakamo Mwenyekiti Zanzibar, wa Chama, hakuwai kufanya ziara Zanzibar, Sasa sijui itakuwaje Tanzania nzima.

Sasa Jaribio la Babu likifaulu, litafanya mipango ya hujuma kushindikana ya kuhakikisha Othman anapitishwa kuwa Mgombea wa ACT 2025, basi Zuberi anaamini na ndio ukweli kwamba, Babu Duni atakuwa chaguo jepesi mbele ya Mwinyi, ukizingatia uwezo wake mdogo wa kuutetea ushindi wake na hili pia ni kwasababu Babu Duni mwenyewe amekuwa akisema anataka tu kumalizia uzee wake, kwahiyo hata nafasi ya umakamo itamtosha.

Kwahiyo:

1. Zuberi ni programu ya Utawala wa ccm katika kudhibiti Zanzibar ishindwe kujitawala na kufikia hadhi yake ya mamlaka kamili Kama ilivyo ndoto ya Wazanzibar wengi na Babu ni wakala wake asie wa hiari katika kufanikisha Hilo.

2. Mradi wa Zuberi kujiingizia mapato, hususani ukizingatia kwamba, anajiandaa kugombea Urais so anajua atakuwa geresha tu, lkn anajua atapata viti maalum vingi ili aweke ma-baby zake na Ndugu zake Kama alivyofanya Jaribio Hilo kwenye Uchaguzi wa 2020, ambao siku za usoni nitawataja wote.

Kwa Upande wa Serikali ya CCM.

1. Wamepata mtu maarufu mwenye sura ya Upinzani Kama ngao Yao ya kuhalalisha matendo ya ukiukwaji mkubwa wa Demokrasia na Haki za binadamu dhidi ya wadau wetu wakubwa wa maendeleo kutoka nje, hususani mataifa ya magharibi. Kwamba kuunga mkono kwake na kutoikosoa Serikali, kunaleta taswira kwamba mambo yako sawa Tanzania na hivyo wapinzani Makini wengine wanavyolalamika wanakuwa wanapoteza uhalisia na kukosa nguvu kubwa ya sapoti kutoka nje.

2. Wamepata Chama na viongozi ambao wamewezesha wao ccm kuingia katikati ya Zanzibar na kuidhibiti. Hoja kubwa ya Zanzibar kuwa sehemu ya Tanzania ndio msingi wa Serikali ya ccm na huu ndio mradi wake mkubwa usionwaga damu

Wamefanikiwa kuingia katikati ya base muhimu ya Upinzani ili kuigawa na kuitumia ili kudhibiti Zanzibar. Huku tukidhani tuko kwenye Chama na viongozi Makini, lkn mwelekeo wao unakuwa wa kuidhohofisha ndoto ya Wazanzibar ya mamlaka kamili Kama kwa uchache nilivyo eleza hapo juu.

UONGO WA ZUBERI.

1. Hakuna pahala ambapo Maalim Seif alimtaja Othman Masoud kuwa Mrithi wake kwa nafasi yoyote ile, hakuna, isipokuwa Maalim Seif aliwataja hao niliowataja hapo juu, Tena hadharani, kwenye Mahojiano na Clouds Tv. Zuberi aliwadanganya watu kwamba, Maalim aliongea nae kwamba Othman ndie Mrithi wake Maalim aliemtaka.

2. Zuberi alikuwa alisema alikuwa akiwasiliana na Maalim alipokuwa hospitali, Muhimbili - Uongo. Muhimbili hakuna mtu aliekuwa akiongea nae, hata Mkewe Maalim, wote walikuwa wakiishia nje na kwasababu hakuwa na uwezo wa kufanya mawasiliano alipopelekwa Muhimbili.

3. Mashaka makubwa zaidi ni pale alipokuwa wa kwanza na harakahara kumtangaza Maalim amefariki Dunia....hili la siku nyingine ambalo litahusisha mateso ya Ahmed Mazrui.

MSIMAMO WA MAALIM KWA OTHMAN.

1. Ukweli wa mambo ni kwamba, Maalim alimpa majaribio mawili Kama mtego Othman bila kujua. Moja, Maalim Seif alimtaka Othman kuwa Mgombea mwenza wa Urais kwa Membe lkn Othman alikataa kwa kigezo kwamba anafanya kazi na mashirika ya Kimataifa, na Maalim akamkubalia.

2. Ulipokuja Uchaguzi mdogo wa pandani (Nyumbani kwao), Maalim alimtaka Tena Othman kugombea Ubunge Jimbo Hilo, lkn bado Othman alikataa kwa kigezo kilekile. Hakujua kwamba alitaka kumuandaa kwa kutazama uelekeo wake na hivyo kupoteza kabisa Imani kwa Maalim, mbali ya kwamba Othman amekuwa mtu wa system na Sasa ndio wakati wake....hili la siku nyingine pia...

3. Lilipokuja suala la umakamo wa kwanza wa Urais Zanzibar, Zuberi alitaka kufanya Jaribio baya zaidi, la kumpitisha Omari shabani, na alipoanza mission yake hiyo, alikutana na uzito mkubwa sana, ndipo akamgeukia Othman kwa ushauri wa watu wa system kwasababu ni mwenzao na kwasababu Othman aliona maslahi makubwa kwenye nafsi hiyo, akasahau kwamba anafanya kazi na mashirika ya Kimataifa🤣🤣🤣.

4. Ilipofika mchakato wa Uchaguzi wa Mwenyekiti, Mzee na Mhasisi wa Chama, Ndugu machano, alimwita Othman (kabala ya Hamad kutangaza Nia)na kumtaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa, lkn Othman alikataa na kudai kwamba yeye bado mgeni na kwenye Chama Hiki wako wakongwe na wenyeji wa siasa, Mzee machano akamkubalia.

5. Zuberi baada ya kuona Hamad Masoud anakwenda kushinda Uchaguzi kwa kura, kwa kuona joto kali na upepo unavuma kwa Hamad, akamtuma Ado, kumshawishi na kumshurutisha Othman kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Taifa (kwasababu nafasi ya Mwenyekiti ilikuwa imesha tangazwa na wakongwe wawili (Hamad na Babu), ili kuweka agenda ya upemba na uunguja Kama kikwazo kwa Hamad Masoud. Othman akarejea kwa Mzee machano kuomba sapoti, Mzee machano akamkatalia.. akamwambia kwanini mwanzo ulikataa..?...huyu Othman hajawai kuwa na msimamo, Ila linapokuja suala la maslahi binafsi makubwa ndio unamuona. Maana aliambiwa kwamba Kama Masoud Hamad atakuwa Mwenyekiti ndoto Yao ya Othman kuwa Makamo wa kwanza katika kipindi kijacho haipo. Othman wa mchongo🤣🤣🤣

A. Ndambo
Hizi ni hasira za Hamad Massoud kuukosa uwenyekiti ACT wazalendo, na hatuwataki watu wenye sura hii kitambo na hawa kina Hamad Massoud ndio waliokuwa kwenye mishipa ya damu ya chama cha Wananchi CUF na ndumila kuwili ambao wakimpelekesha Maalim seif sana, sasa wanaleta hizi porojo kutaka kuisambaratisha ACT., nadhani porojo hizi zipuuzwe

Huyu Hamad alipoukwaa Uwaziri wa mchongo wa mawasiliano na Uchukuzi kule Zanzibar ikatokezea Meli ya Mv Spice kuzama akalazimishwa kujiuzulu alikuwa hataki, lakini muda huo mfupi alipokuwa waziri aliwaingiza jamaazake kibao serikali ni mbinafsi sana bora walivyompiga na chini

Bab Duni mtu poa wacha twende naye, ata uchaguzi ukija wazanzibar wakipata vile viti vyao walivyovizoea sio mbaya sana kuliko ile katafunua ya 2020
 
Mkuu ulipotelea wapi
 
Mimi nilishangaa ACT wanaacha wakongwe wote, wanampa mgeni kwenye chama. Hilo Ni kosa kubwa kwa baadae.
 
ACT wazalendo ni skin tight ya kuficha aibu za CCM.
View attachment 2106433

BE1B7915-06DA-4201-B810-434C8959F325.jpeg
 
Nyinyi watanganyika mna mambo kweli😂😂😂😂. Badala ya kushughulika na mambo yenu mnashughulika na Zanzibar. Ngoja mama awanyooshe mpaka mkae sawa kwasababu akili zenu ziko tepetepe😂😂😂😂😂.
 
Zitto ni AYATOLAH THE Ist wa ACT WAZALENDO.

Akitoka kwenye Nafasi ataingia AYATOLAH WA II Wa ACT wazalendo.

Ambaye anaweza kuwa MBARARA MAHARAGANDE.

Kwahiyo atakuwa AYATOLAH MBARARA MAHARAGANDE WA II 🤣🤣😂😂😁😁
Anaweza pia kuingia AYATOLAH WA III ADO SHAIBU 😂🤣
KUWA AYATOLAH WA 3 WA ACT WAZALENDO....😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom