Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,915
143,469
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.

Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi.

Nani atatufaa?

Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?

Maendeleo hayana vyama.
 
Kama katiba inaruhusu tuendelee na huyu huyu aliyopo
20220120_223355.jpg
 
Ingekuta hii kasikazn yangu wana exposure wangeomba na ss hyo nafsi ili tupate political mailage ya mwanasias mashuhuri kuwepo katk muhimili huo ila kwa sas HV sioni mmbunge wa maan wa kuoomba nafsi hyo na kukubaliwa utashangaa itabaki hapo hapo ddm au pwni
 
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.

Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.

Nani atatufaa?

Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?

Maendeleo hayana vyama.
Kwani Hangaya hajachagua bado! Maana katiba hii inamfeva yy alitakalo ndilo
 
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.

Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.

Nani atatufaa?

Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?

Maendeleo hayana vyama.
Hiyo hata wakimpa Msukuma ni sawasawa....!!
 
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.

Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.

Nani atatufaa?

Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?

Maendeleo hayana vyama.
Ndugai
 
Back
Top Bottom