Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
 
Kisa nini tena
 
Namuombea msamaha Andrew Chenge. Yeye ni mtanzania mwenzetu. Amelitumikia hili taifa kwa weledi akiwa waziri wa miundo mbinu pia Mwanasheria mkuu. Mungu mpe Andrew Chenge wepesi, nguvu, amani ya moyo, afya njema na maisha marefu sana.

Twende na Chenge atatuvusha.

Chenge 2025!
 
Yaani wasukuma mnataka tena madaraka?? Hapana
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
May be alikuwa na element za mabadiliko za ACT
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
Huyu naye ashukuru polisi tu , lakini hana ushawishi wowote kwa wazanzibar , kwanza hata hawamjui
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
Gavana wa Zanzibar anaupiga mwingi.
 
Habari

Amefanya kazi nchini kama Waziri wa Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Andrew Chenge,
 
Back
Top Bottom