Rais Samia ni Angela Merkel wa Afrika

Rais Samia ni Angela Merkel wa Afrika

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Ni takribani miezi mitano inashuhudia nchi ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hasani Kuna Mengi watu wasioyafahamu juu yake na ukweli ulio wazi juu ya kiongozi huyu mashuhuri wa Tanzania. Rais Samia Suluhu anaingia katika daftari la historia Dunia na Tanzania kama Rais wa Kwanza Mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miongoni mwa Viongozi waliowahi kushika nafasi ya Juu kiuongozi Duniani.

Amani na Ushirikiano kwa Mara kadhaa Rais Samia amekuwa akisisitiza ushirikiano wa pande zote katika ujenzi wa Taifa, Rais Samia amegusia mashirikiano kati ya Chama tawala na Pinzani katika kujenga nchi. Ni muumini mzuri wa amani jambo ambalo anaamini bila amani hatutaweza kujenga mshikamano na Umoja wa kitaifa.

Ni Mzalendo wa kweli ambaye anaamini uzalendo si ule wa kujipendelea au ubinafsi ila anaimani uzalendo wenye mashirikiano ya pamoja kama Taifa. Ndiyo maana mara zote amekuwa mstari wa mbele katika kujenga Uzalendo, Amani na mshikamano wa pande zote kuanzia hapa nyumbani Tanzania na nchi Jirani.

Wasifu wake wa ndani na Mkuu kwa Rais Samia Suluhu Hasani hana papara katika maamuzi ni mwenyekutilia mkazo maamuzi yake yale ambayo ni thabiti na manufaa kwa Taifa. Rais Samia kwa muda wa siku 300 alizoketi madarakani Dunia imeshuhudia akiwa thabiti katika migogoro tete ambayo ilionekana Kama sehemu ya kutaka kuvuruga utaratibu wa ndani ya nchi na ndani ya mipaka yetu. Akiwa kama Amri jeshi mkuu Na Mwanadiplomasia namba moja Rais Samia amefanikiwa kurejesha Mahusiano yaliyokuwa tete na nchi jirani pamoja Na kukuza ustawi wa Taifa.

Mtatuzi wa migogoro ya ndani tangu ameeingia madarakani Rais Samia tayari amekwisha ondoa kelele za chini kwa chini zilizokuwa zikiwakabili Wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchi. lakini ndani ya miezi hii michache Rais Samia ameshatoa Tshs 509BL,Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi. Na kutatua migogoro ya ndani. Rais samia ameondoa mgogoro kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu Rais Samia amefuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo wanufaika watakatwa 9% ( single digits) FY2021/22 kutoka 15% ya FY2020/21,Kwa lugha nyepesi take home za wanufaika zimepaa kwa 6%.

Rais Samia ni mchapakazi tayari hadi leo hii hakuna Mradi wowote wa kimkakati uliosimamia Mhe Rais Samia miradi yote ya kimkakati anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote zinakarabatiwa.

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Chini ya Rais Samia zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupewa mkopo bila kujali alikosomea.

Utendaji wa Rais Samia hautofautiani na ule wa Waziri Mkuu wa Ujerumani Bi. Angela Markell hadi sasa Rais Samia ametenda kwa makubwa tofauti na wengi waliyotegemea kutoka kwake kushusha Tozo za miamala simu ni jambo lilikowakosha watanzania wengi na kubwa zaidi kuingia mstari wa mbele kama balozi namba moja wa kutangaza Utalii nchini kupitia kipindi cha “The Royal Tour” katika ziara hii Tanzania itafaidika na maeneo yake ya Utalii kwani Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama Marekani, Ulaya, Asia na Afrika hivyo Tanzania itapata Watalii wengi kutoka maeneo hayo. Kukuza uwekezaji na kutangaza vivutio vya nchi, kusaidia atambulisha Utamaduni na Mila za Makabila yaliyopo Tanzania.

Hongera Rais Samia Chapa kazi na Kazi Iendelee....!!!
 
Ni takribani siku 300 inashuhudia nchi ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hasani Kuna Mengi watu wasioyafahamu juu yake na ukweli ulio wazi juu ya kiongozi huyu mashuhuri wa Tanzania. Rais Samia Suluhu anaingia katika daftari la historia Dunia na Tanzania kama Rais wa Kwanza Mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miongoni mwa Viongozi waliowahi kushika nafasi ya Juu kiuongozi Duniani.

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Chini ya Rais Samia zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupewa mkopo bila kujali alikosomea....

Acha fikra za kitumwa. Kwanini Angela Merkel asiwe Samia Suluhu Hassan wa Ulaya?
 
Takribani siku 300?

Nimeishia kusoma hapo nikaona kuendelea kusoma ulichoandika ni kuongeza ujinga kichwani.
 
Hivi siku 300 zimetimia??

Miezi 10 hiyo
 
Raisi Samia ni bora mara 100 zaidi ya viongozi wote wa upinzani. Wakati wapinzani wanapambana mama apeleke hela katika vikao vya katiba ili wapate mamilioni ya kwenda kula bata Dubai na Africa kusini kupitia vikao hivyo. Mama amejikita kutumia kodi za watanzania na tozo kujenga shule kwa ajili ya elimu ya watoto wetu, hospital kwa ajili ya afya zetu, barabara kwa ajili ya kuwarahisishia waenda kazini, mikoani na wakulima kuwahi kufika mijini kuuza mazao yao. Pia mama anapambania mambo mengine ya msingi kwa wananchi wake kama vile kurahisisha upatikanaji wa maji na umeme.
 
Bi kidude ni dikteta wa kwanza wakike Afrika, usimlinganishe na mama mstaarab na mwana demokrasia mwenye akili timamu
 
Ni takribani siku 300 inashuhudia nchi ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hasani Kuna Mengi watu wasioyafahamu juu yake na ukweli ulio wazi juu ya kiongozi huyu mashuhuri wa Tanzania. Rais Samia Suluhu anaingia katika daftari la historia Dunia na Tanzania kama Rais wa Kwanza Mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miongoni mwa Viongozi waliowahi kushika nafasi ya Juu kiuongozi Duniani.

Amani na Ushirikiano kwa Mara kadhaa Rais Samia amekuwa akisisitiza ushirikiano wa pande zote katika ujenzi wa Taifa, Rais Samia amegusia mashirikiano kati ya Chama tawala na Pinzani katika kujenga nchi. Ni muumini mzuri wa amani jambo ambalo anaamini bila amani hatutaweza kujenga mshikamano na Umoja wa kitaifa.

Ni Mzalendo wa kweli ambaye anaamini uzalendo si ule wa kujipendelea au ubinafsi ila anaimani uzalendo wenye mashirikiano ya pamoja kama Taifa. Ndiyo maana mara zote amekuwa mstari wa mbele katika kujenga Uzalendo, Amani na mshikamano wa pande zote kuanzia hapa nyumbani Tanzania na nchi Jirani.

Wasifu wake wa ndani na Mkuu kwa Rais Samia Suluhu Hasani hana papara katika maamuzi ni mwenyekutilia mkazo maamuzi yake yale ambayo ni thabiti na manufaa kwa Taifa. Rais Samia kwa muda wa siku 300 alizoketi madarakani Dunia imeshuhudia akiwa thabiti katika migogoro tete ambayo ilionekana Kama sehemu ya kutaka kuvuruga utaratibu wa ndani ya nchi na ndani ya mipaka yetu. Akiwa kama Amri jeshi mkuu Na Mwanadiplomasia namba moja Rais Samia amefanikiwa kurejesha Mahusiano yaliyokuwa tete na nchi jirani pamoja Na kukuza ustawi wa Taifa.

Mtatuzi wa migogoro ya ndani tangu ameeingia madarakani Rais Samia tayari amekwisha ondoa kelele za chini kwa chini zilizokuwa zikiwakabili Wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchi. lakini ndani ya miezi hii michache Rais Samia ameshatoa Tshs 509BL,Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi. Na kutatua migogoro ya ndani. Rais samia ameondoa mgogoro kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu Rais Samia amefuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo wanufaika watakatwa 9% ( single digits) FY2021/22 kutoka 15% ya FY2020/21,Kwa lugha nyepesi take home za wanufaika zimepaa kwa 6%.

Rais Samia ni mchapakazi tayari hadi leo hii hakuna Mradi wowote wa kimkakati uliosimamia Mhe Rais Samia miradi yote ya kimkakati anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote zinakarabatiwa.

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Chini ya Rais Samia zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupewa mkopo bila kujali alikosomea....

Utendaji wa Rais Samia hautofautiani na ule wa Waziri Mkuu wa Ujerumani Bi. Angela Markell hadi sasa Rais Samia ametenda kwa makubwa tofauti na wengi waliyotegemea kutoka kwake kushusha Tozo za miamala simu ni jambo lilikowakosha watanzania wengi na kubwa zaidi kuingia mstari wa mbele kama balozi namba moja wa kutangaza Utalii nchini kupitia kipindi cha “The Royal Tour” katika ziara hii Tanzania itafaidika na maeneo yake ya Utalii kwani Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama Marekani, Ulaya, Asia na Afrika hivyo Tanzania itapata Watalii wengi kutoka maeneo hayo. Kukuza uwekezaji na kutangaza vivutio vya nchi, kusaidia atambulisha Utamaduni na Mila za Makabila yaliyopo Tanzania.

Hongera Rais Samia Chapa kazi na Kazi Iendelee....!!!
Ficha ujinga wako
 
Unategemea kupata "mapessa" mangapi kwa kazi hafifu kama hii?
 
Ni takribani siku 300 inashuhudia nchi ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hasani Kuna Mengi watu wasioyafahamu juu yake na ukweli ulio wazi juu ya kiongozi huyu mashuhuri wa Tanzania. Rais Samia Suluhu anaingia katika daftari la historia Dunia na Tanzania kama Rais wa Kwanza Mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miongoni mwa Viongozi waliowahi kushika nafasi ya Juu kiuongozi Duniani.

Amani na Ushirikiano kwa Mara kadhaa Rais Samia amekuwa akisisitiza ushirikiano wa pande zote katika ujenzi wa Taifa, Rais Samia amegusia mashirikiano kati ya Chama tawala na Pinzani katika kujenga nchi. Ni muumini mzuri wa amani jambo ambalo anaamini bila amani hatutaweza kujenga mshikamano na Umoja wa kitaifa.

Ni Mzalendo wa kweli ambaye anaamini uzalendo si ule wa kujipendelea au ubinafsi ila anaimani uzalendo wenye mashirikiano ya pamoja kama Taifa. Ndiyo maana mara zote amekuwa mstari wa mbele katika kujenga Uzalendo, Amani na mshikamano wa pande zote kuanzia hapa nyumbani Tanzania na nchi Jirani.

Wasifu wake wa ndani na Mkuu kwa Rais Samia Suluhu Hasani hana papara katika maamuzi ni mwenyekutilia mkazo maamuzi yake yale ambayo ni thabiti na manufaa kwa Taifa. Rais Samia kwa muda wa siku 300 alizoketi madarakani Dunia imeshuhudia akiwa thabiti katika migogoro tete ambayo ilionekana Kama sehemu ya kutaka kuvuruga utaratibu wa ndani ya nchi na ndani ya mipaka yetu. Akiwa kama Amri jeshi mkuu Na Mwanadiplomasia namba moja Rais Samia amefanikiwa kurejesha Mahusiano yaliyokuwa tete na nchi jirani pamoja Na kukuza ustawi wa Taifa.

Mtatuzi wa migogoro ya ndani tangu ameeingia madarakani Rais Samia tayari amekwisha ondoa kelele za chini kwa chini zilizokuwa zikiwakabili Wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchi. lakini ndani ya miezi hii michache Rais Samia ameshatoa Tshs 509BL,Yaani 449BL za madaraja|vyeo na 60BL za malimbikizo ya mishahara na tayari Pesa hizi zimeleta vicheko kwa wafanyakazi. Na kutatua migogoro ya ndani. Rais samia ameondoa mgogoro kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu Rais Samia amefuta kabisa ile 6% ya ada ya thamani ya mkopo ( Value Retention Fee-VRF ) kwenye mikopo wanufaika watakatwa 9% ( single digits) FY2021/22 kutoka 15% ya FY2020/21,Kwa lugha nyepesi take home za wanufaika zimepaa kwa 6%.

Rais Samia ni mchapakazi tayari hadi leo hii hakuna Mradi wowote wa kimkakati uliosimamia Mhe Rais Samia miradi yote ya kimkakati anaiendeleza sawasawa ikiwemo SGR US$ 4.64BL au Tsh 10.2trl,SG US$ 2.9BL au Tshs 6.5trl,ndege Mpya,barabara zote ujenzi unaendelea, madaraja yote,meli zote zinakarabatiwa.

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Chini ya Rais Samia zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 na kufanya kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupewa mkopo bila kujali alikosomea.

Utendaji wa Rais Samia hautofautiani na ule wa Waziri Mkuu wa Ujerumani Bi. Angela Markell hadi sasa Rais Samia ametenda kwa makubwa tofauti na wengi waliyotegemea kutoka kwake kushusha Tozo za miamala simu ni jambo lilikowakosha watanzania wengi na kubwa zaidi kuingia mstari wa mbele kama balozi namba moja wa kutangaza Utalii nchini kupitia kipindi cha “The Royal Tour” katika ziara hii Tanzania itafaidika na maeneo yake ya Utalii kwani Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama Marekani, Ulaya, Asia na Afrika hivyo Tanzania itapata Watalii wengi kutoka maeneo hayo. Kukuza uwekezaji na kutangaza vivutio vya nchi, kusaidia atambulisha Utamaduni na Mila za Makabila yaliyopo Tanzania.

Hongera Rais Samia Chapa kazi na Kazi Iendelee....!!!
Nachojua hapo Angela ni akili kubwa, huyo mwingine alidondokewa na papai chini ya mpera.
 
Rais Angel Machel

1.Amewahi kutalikiwa

2.hakuwahi kupata Mtoto

3.Anatokea iliyokuwa East German eneo linalodharauliwa sana na watu wa West wanaojiona wasomi

4.Anatokea dhehebu la Pentecost dhehebu linalodhauliwa sana dheheb kubwa zaid nchi humo la Catholic

5.Aliwahi kutuhumiwa kuwa ni Kimada wa Kansela wa zaman Gehard Schelder

6.Aliingia ikionekana ni kiongozi dhaifu sana na Majabali ya kisiasa ya nchi hiyo yakamuona kama kiongozi wa awamu moja lakin baadae akaja kuwa wa Miaka 16

Kwa ufupi wa hayo niliyoainisha yapo anayofafana na Bi Samia na mengine hafanani
 
Naona kama mapambia yamezidi sana baada ya kutangazwa makusanyo ya tozo na safari yake ya utalii, kuna wanaonufaika na hayo?
 
Back
Top Bottom