Mchungaji Msigwa na Sugu walisaidia sana kubana mafisadi kwenye majimbo ya Iringa na Mbeya. Sasa hawapo shamba la bibi limerejea

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Maendeleo hayana vyama.

Kiukweli kabisa Mchungaji Msigwa na Meya Kimbe walijitahidi sana kuyabana majizi pale manispaa ya Iringa ndio maana hata stendi ku ya Igumniro ilifanikiwa kujengwa chini ya Chadema.

Na hata Mbeya Sugu alikuwa haogopi fisadi yoyote, ukijipendekeza tu anakulipua

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuibeba tena silaha ya " Tumbua Tumbua"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Wapinzani wametuchelewesha sana. Kuna mbwa za Magufuli zilikuwa zinabweka haya maneno bila aibu kabisa.
 
Maendeleo hayana vyama.

Kiukweli kabisa Mchungaji Msigwa na Meya Kimbe walijitahidi sana kuyabana majizi pale manispaa ya Iringa ndio maana hata stendi ku ya Igumniro ilifanikiwa kujengwa chini ya Chadema.

Na hata Mbeya Sugu alikuwa haogopi fisadi yoyote, ukijipendekeza tu anakulipua

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuibeba tena silaha ya " Tumbua Tumbua"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Ni kweli kabisa hivi sasa watendaji wa serikali wamekuwa huru kufisidi fedha za umma bila woga! Na bado mengi yataibuka lakini kwa kulindana viongozi wa CCM na serikali yake watayazima kimya kimya!
 
Maendeleo hayana vyama.

Kiukweli kabisa Mchungaji Msigwa na Meya Kimbe walijitahidi sana kuyabana majizi pale manispaa ya Iringa ndio maana hata stendi ku ya Igumniro ilifanikiwa kujengwa chini ya Chadema.

Na hata Mbeya Sugu alikuwa haogopi fisadi yoyote, ukijipendekeza tu anakulipua

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuibeba tena silaha ya " Tumbua Tumbua"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Bwashee Buchosa nayo imetajwa naskia yule mtunzi wa kitabu cha rais anampenda mke wangu hana uwezo wa kuliongoza jimbo
 
Back
Top Bottom