Tumuamini Kamanda Mambosasa kifo cha Lwajabe?

Dec 4, 2018
15
28
Wakati mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa, polisi wetu walifanya kazi nzuri sana kumtafuta ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watekaji.

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Lazaro Mambosasa alikuwa msitari wa mbele kutujulisha kila hatua waliyofikia. Tukaambiwa jinsi walivyofuatilia mpaka nyumba alikopelekwa Mo, mpaka gari lililomtelekeza pale gymkhana tukaonyeshwa. Tukaambiwa hata juhudi zilizofanywa na watekaji hao kujaribu kuliteketeza gari ili kupoteza ushahidi, japo walishindwa. Tukaona mwishoni Mo akiwa na akina kamanda Mambosasa.

Kwa jinsi sakata lile lilivyokwenda ingawa tulikuwa na mashaka mashaka tulilazimika kumwamini kamanda Mambosasa na hata IGP Sirro.

Kumbe yale mashaka ya intelijensia ya akina Mambosasa hayakuishia kwetu tu yalikwenda mpaka kwa mkuu wa nchi. Akawaonya kwamba wasidhani Watanzania ni wajinga. Kweli hatukuwa wajinga katika hilo ila tulilazimika kuwaamini polisi wetu.

Sasa yule yule aliyeonywa kutodhani Watanzania ni wajinga, amekuja tena na taarifa nyeti ya kifo cha Lwajabe. Amejitahidi kueleza kitaalam lakini tunaweza kumuuliza swali moja tu kwamba kama Lwajabe aliamua kujinyonga, KWANINI AACHE MITI YOTE kuanzia nyumbani kwake Kinyerezi hadi Kongowe mpaka aende Mkuranga? Sikatai mtu kujinyonga, ila maelezo ya polisi wetu yasije mwishoni mkuu akajitokeza tena na kusema wasidhani Watanzania ni wajinga.
 
Inahitajika uwe mwehu kumuamini Mambosasa .

- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Watanzania si wajinga, tunafahamu ukweli wa tukio hili, polis wanajatahidi kuuficha ukweli lakini tunafahamu kuwa wamemnyonga na kabla ya ushetani huo kuna mambo mabaya wamemfanyi. Ukweli utajulikana soon
 
Nimekumbuka mbali sana hii issue watu waluvyopoteana,kuna yule alikuwa Kimara aliutangazia uma kwamba kapailtikana,huku wengine wakisema bado basi full taflani
 
Wengine wana haki ya kuishi wengine hapana itategemea na mzimu mla nyama
 
Mbuzi wataendelea kuliwa na simba hadi watakapogoma kuliwa.Simba keshaonja nyama ya mtu ngumu kuacha.
 
Wakati mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa, polisi wetu walifanya kazi nzuri sana kumtafuta ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watekaji.

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Lazaro Mambosasa alikuwa msitari wa mbele kutujulisha kila hatua waliyofikia. Tukaambiwa jinsi walivyofuatilia mpaka nyumba alikopelekwa Mo, mpaka gari lililomtelekeza pale gymkhana tukaonyeshwa. Tukaambiwa hata juhudi zilizofanywa na watekaji hao kujaribu kuliteketeza gari ili kupoteza ushahidi, japo walishindwa. Tukaona mwishoni Mo akiwa na akina kamanda Mambosasa.

Kwa jinsi sakata lile lilivyokwenda ingawa tulikuwa na mashaka mashaka tulilazimika kumwamini kamanda Mambosasa na hata IGP Sirro.

Kumbe yale mashaka ya intelijensia ya akina Mambosasa hayakuishia kwetu tu yalikwenda mpaka kwa mkuu wa nchi. Akawaonya kwamba wasidhani Watanzania ni wajinga. Kweli hatukuwa wajinga katika hilo ila tulilazimika kuwaamini polisi wetu.

Sasa yule yule aliyeonywa kutodhani Watanzania ni wajinga, amekuja tena na taarifa nyeti ya kifo cha Lwajabe. Amejitahidi kueleza kitaalam lakini tunaweza kumuuliza swali moja tu kwamba kama Lwajabe aliamua kujinyonga, KWANINI AACHE MITI YOTE kuanzia nyumbani kwake Kinyerezi hadi Kongowe mpaka aende Mkuranga? Sikatai mtu kujinyonga, ila maelezo ya polisi wetu yasije mwishoni mkuu akajitokeza tena na kusema wasidhani Watanzania ni wajinga.
Na jingine, MTU akikamatwa na watu wengine wakamuwekea kamba shingoni kisha wakamnyonga, hawezi kunya na kukojoa kama aliyejinyonga? Utaalamu gani wa kijinga huo.
 
Hoja ya kujiua wapi sio strong... shemeji yangu aligombana na kaka Iringa mjini kwa hasira akapanda basi na kwenda kujiua vijijini.

Tafuteni mtaalam wa kujenga hoja ili kati ya zile 12 apate japo 3 strong za kuonesha homicide.

Moja ya hoja mnasema kwann familia haijaitwa kabla ya kuutoa mwili polini alipojiua. Sidhani kama ni utaratibu wakikuta mwili waite ndugu.

Tafuteni mtaalam wa sheria ana forensic ama private investigator aje na hoja nzito.

maoni yangu... sorry kama nita sound offensive
 
Muhalifu yeyeto hata awe smart kiasi gani lazima ataacha shaka.Kupitia shaka ndipo uchunguzi uanzia. Hizo story za Shemeji yako kupanda basi kwenda kujinyonga ni dhaifu za kutaka kuhalalisha Hoja.Soma kuhusu saikolojia ya kujinyonga labda tu anapoenda kujinyonga kuwe na makazi yake.Case study ni nadra sana wazo La kujinyonga ukalitekeleze zaidi ya kilometers moja.maana
 
kwanza iyo sheria ulotutajia ni ya Awamu ya ngapi hii ni Awamu ya tano bwana sheria zetu tunazo wenyewe tu vile tunavyoona inafaa kama unabisha fanya kitu kwa kutegemea kulindwa na sheria ya mwaka 77 Au 84 .Kama ww ulimshangaa babu yko kwa maduka ya ukoo basi mjukuu wako atakuja kushangaa mtu kuwekwa ndani bila kesi maalum hadi ipangwe agaiwe kesi gani itakua saiz yake kumtia adabu na kumziba mdomo. Nawaza tu jamani sijasema mie hyo msije nidukua[/QUOTE]
 
Muhalifu yeyeto hata awe smart kiasi gani lazima ataacha shaka.Kupitia shaka ndipo uchunguzi uanzia. Hizo story za Shemeji yako kupanda basi kwenda kujinyonga ni dhaifu za kutaka kuhalalisha Hoja.Soma kuhusu saikolojia ya kujinyonga labda tu anapoenda kujinyonga kuwe na makazi yake.Case study ni nadra sana wazo La kujinyonga ukalitekeleze zaidi ya kilometers moja.maana
Unapopambana na ukweli uliotoka kwa shemeji yangu unakuwa mjinga kidogo...
Sina ninachohalalisha kwakuwa sijahusika kumuua mtu..
Tatu nimetoa ushauri hata kama wa kijinga.. shiriki kutoa ushauri kuliko kutafuta umaarufu kwa mgongo wa hoja yangu..
Hakuna duniani anayejua psychology ya anayejinyonga na hata kama kuna mwalimu alikufundisha awe aliwahi kujinyonga akafa akaelezea feelings za moment before kujinyonga.
Suala la kujinyonga ni la mtu binafsi na muumba wake ama emotions zake. Ukinihakikishia profile ama tabia za mtu anayejinyonga ama kama umefundishwa ujinga kama huo basi umelishwa matango yenye vipele..
Utapata umaarufu kwa namna nyingine kuliko ku attack maoni yangu niliyoyatoa kwa upendo
Otherwise uta remain stupid for the rest of your life
 
Hoja ya kujiua wapi sio strong... shemeji yangu aligombana na kaka Iringa mjini kwa hasira akapanda basi na kwenda kujiua vijijini.

Tafuteni mtaalam wa kujenga hoja ili kati ya zile 12 apate japo 3 strong za kuonesha homicide.

Moja ya hoja mnasema kwann familia haijaitwa kabla ya kuutoa mwili polini alipojiua. Sidhani kama ni utaratibu wakikuta mwili waite ndugu.

Tafuteni mtaalam wa sheria ana forensic ama private investigator aje na hoja nzito.

maoni yangu... sorry kama nita sound offensive
Huyo shemeji yako baada ya kufa alikuambia kuwa amekufa kwasababu uliyoisema?Acha ujinga wewe, shukuru nchi hii watu hawamilik silaha kama marekani vinginevyo ungeona cha moto usifikir aliekufa ni kuku.
 
Unapopambana na ukweli uliotoka kwa shemeji yangu unakuwa mjinga kidogo...
Sina ninachohalalisha kwakuwa sijahusika kumuua mtu..
Tatu nimetoa ushauri hata kama wa kijinga.. shiriki kutoa ushauri kuliko kutafuta umaarufu kwa mgongo wa hoja yangu..
Hakuna duniani anayejua psychology ya anayejinyonga na hata kama kuna mwalimu alikufundisha awe aliwahi kujinyonga akafa akaelezea feelings za moment before kujinyonga.
Suala la kujinyonga ni la mtu binafsi na muumba wake ama emotions zake. Ukinihakikishia profile ama tabia za mtu anayejinyonga ama kama umefundishwa ujinga kama huo basi umelishwa matango yenye vipele..
Utapata umaarufu kwa namna nyingine kuliko ku attack maoni yangu niliyoyatoa kwa upendo
Otherwise uta remain stupid for the rest of your life
Nan apate umaarufu kwa hoja yako ya kijinga unaujua umaarufu au unausikia basis kama kunamtu anakuwa maalufu kwa hoja za kishenz kama yako huyo mtoa umaarufu atakua punga kama yalivyo mapunga yaliyojazana Lumumba kuimba mapambio ya kusifu.
 
Unapopambana na ukweli uliotoka kwa shemeji yangu unakuwa mjinga kidogo...
Sina ninachohalalisha kwakuwa sijahusika kumuua mtu..
Tatu nimetoa ushauri hata kama wa kijinga.. shiriki kutoa ushauri kuliko kutafuta umaarufu kwa mgongo wa hoja yangu..
Hakuna duniani anayejua psychology ya anayejinyonga na hata kama kuna mwalimu alikufundisha awe aliwahi kujinyonga akafa akaelezea feelings za moment before kujinyonga.
Suala la kujinyonga ni la mtu binafsi na muumba wake ama emotions zake. Ukinihakikishia profile ama tabia za mtu anayejinyonga ama kama umefundishwa ujinga kama huo basi umelishwa matango yenye vipele..
Utapata umaarufu kwa namna nyingine kuliko ku attack maoni yangu niliyoyatoa kwa upendo
Otherwise uta remain stupid for the rest of your life

Tunazungumzia circumstances ya mfanano wa tukio La kujinyonga.Ujui chochote kuhusu crime and criminalogy zaidi ya hadithi za kudandia.Elimu ni pana usijifunge kwenye box
 
Huyo shemeji yako baada ya kufa alikuambia kuwa amekufa kwasababu uliyoisema?Acha ujinga wewe, shukuru nchi hii watu hawamilik silaha kama marekani vinginevyo ungeona cha moto usifikir aliekufa ni kuku.

Shida wamejipa kazi ya Muumba wengine wafe wengine waishi.Unamuua mwanadamu mwenzio sababu ya tumbo tu,wakati kila mmoja ni mfu mtarajiwa.
 
Wakati mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa, polisi wetu walifanya kazi nzuri sana kumtafuta ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watekaji.

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Lazaro Mambosasa alikuwa msitari wa mbele kutujulisha kila hatua waliyofikia. Tukaambiwa jinsi walivyofuatilia mpaka nyumba alikopelekwa Mo, mpaka gari lililomtelekeza pale gymkhana tukaonyeshwa. Tukaambiwa hata juhudi zilizofanywa na watekaji hao kujaribu kuliteketeza gari ili kupoteza ushahidi, japo walishindwa. Tukaona mwishoni Mo akiwa na akina kamanda Mambosasa.

Kwa jinsi sakata lile lilivyokwenda ingawa tulikuwa na mashaka mashaka tulilazimika kumwamini kamanda Mambosasa na hata IGP Sirro.

Kumbe yale mashaka ya intelijensia ya akina Mambosasa hayakuishia kwetu tu yalikwenda mpaka kwa mkuu wa nchi. Akawaonya kwamba wasidhani Watanzania ni wajinga. Kweli hatukuwa wajinga katika hilo ila tulilazimika kuwaamini polisi wetu.

Sasa yule yule aliyeonywa kutodhani Watanzania ni wajinga, amekuja tena na taarifa nyeti ya kifo cha Lwajabe. Amejitahidi kueleza kitaalam lakini tunaweza kumuuliza swali moja tu kwamba kama Lwajabe aliamua kujinyonga, KWANINI AACHE MITI YOTE kuanzia nyumbani kwake Kinyerezi hadi Kongowe mpaka aende Mkuranga? Sikatai mtu kujinyonga, ila maelezo ya polisi wetu yasije mwishoni mkuu akajitokeza tena na kusema wasidhani Watanzania ni wajinga.
Kuyaamini yale maelezo ni sawa na kuamini kwamba kuna sehemu ya dunia ambapo mbingu iko chini na ardhi iko juu
 
Back
Top Bottom