Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zilizotufikia hivi punde, zimeeleza kuwa, askari polisi SABA wameuawa na majambazi huko Mkuranga, Mkoani Pwani. Habari hizo zinasema kuwa, askari hao wameuawa kwa kupigwa risasi na...
59 Reactions
1K Replies
191K Views
Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini? Inawezekana tunaona...
4 Reactions
88 Replies
11K Views
Mgombea udiwani wa Kata ya Gulwe kwa tiketi ya Chadema na wenzake wanne , Walikamatwa 13/9/2020 kwa amri ya WAKUBWA na kubambikiwa kesi ya uongo ya unyang'anyi wa kutumia silaha , Wakaswekwa...
19 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakati Dennis Urio anatoa ushahidi alidai kuwa baada ya kutoa taarifa kwa DCI alidai DCI na Kingai walimwambia atafute hao watu, Urio akatafuta watu bila kuwaambia kuwa kuna moja mbili tatu yeye...
15 Reactions
31 Replies
3K Views
Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2%...
16 Reactions
259 Replies
14K Views
KAMPUNI YA TBL YAKUBALI KUFATA MAELEKEZO YA SERIKALI Dodoma, Tanzania. Serikali imewahakikishia wakulima wa shayiri kupata soko la uhakika kwa kuiuzia moja kwa moja Kampuni ya Bia Tanazania...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
SAUT wamehairisha masomo ili kwenda kumpokea Rais ambae anakwenda mkoan Mara kwenye sherehe za miaka 45 ya CCM. Hii nimeona ni Jambo kidogo la ajabu, kwa kuwa Rais anapita tu mwanza kwenda mara...
7 Reactions
79 Replies
5K Views
- Avikabidhi kwa kila Halmashauri kwaajili ya kutumika hospitalini. - Asema msaada huo Ni Matokeo ya jitiada za Rais Samia Suluhu Hassan kudumisha mahusiano ya Kidiplomasia. - Kontena nyingine 6...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Just the other day, we learnt that a minister in the current government actually owns a gemstone mine. This gives us the impression that we probably have a cabinet full of ministers who are...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna vituo kadhaa vya afya manispaa ya Ilala makusanyo ya mapato amabyo wagonjwa wanachangia huduma hayana udhibiti wa kutosha wa kutosha Kiasi kwamba mapato yanaliwa na watendaji wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nimetizama tv huko Liberia ni sawa na Tanzania idara ya afya imekuwa ikidharauliwa kimaslai ndio maana wagonjwa wengi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma bora za kiafya na imesababisha sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kuchunguza kwa miezi sita, Idara ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kutokana na kuwapo malalamiko kutoka kwa wananchi, ikiwamo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwepo na muingiliano wa kamajukumu au mgawanyo mbaya wa makukumu kati ya Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii etal na OR TAMISEMI juu ya kusimamia utoaji wa huduma za Afya katika ngazi za Mikoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Miezi michache iliyopita NHIF kwa kushirikiana na Maxcom walianzisha mradi wa majaribio ya utunzaji wa kumbukumbu za hospitali (HMIS) na hospitali chache zilichaguliwa kwa majaribio. Mfumo huu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni manispaa ya Tabora imepokea Daktari mkuu wa manispaa Dr Yombo baada ya alie kuwapo awali Dr Rashidi Mfaume kuhamishiwa katika mkoa wa Shinyanga. Mara baada ya kufika na kuripoti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninaandika haya kwa uchungu kwa sababu imekuwa ni kawaida sana Manispaa ya Kigoma kuona mambo mengi yakifanyika bila kufuata miongozo iliyowekwa na serikali tukufu ya mh Rais. Imekuwa ni kawaida...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Naomba kuuliza kwa wataalamu wa Utendaji wa Kijeshi na Sera kwa upande wa Polisi, kwanini hakuna cheo cha Makamu wa Kamishna Jenerali wa Polisi na kituo chake cha kazi asimamie Tanzania Visiwani (...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Halmashauri ya Mji wa Masasi Mkoani Mtwara, imepiga marufuku watumishi idara ya afya kuwaita Vongozi wao kwa kutumia neno Boss. Wametakiwa kutumia neno Mkuu, Kiongozi , Madam/Sir kama...
10 Reactions
47 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…