Wanyonge wa Tanzania bara tumlilie nani?

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
1. Wakati Zanzibar hakuna hata soko moja lililoungua huku Tanzania bara masoko manne ya wanyonge yameshaungua na yakiungua unatangazwa ujenzi wa soko jipya ambalo wakubwa watajimilikishia vizimba na kutupangisha sisi kwa bei ya juu sana.

2.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.

3. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.

My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?

2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?

3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
 
Acheni uchochezi kuungua masoko ni majanga ya kawaida tu.
 
Mi-5 tena kwa Bi Mikopo🙄
 
Mbinu iliyobaki ili kuwaondoa watu (hasa wamachinga na wachuuzi) ni kuwachomea biashara zao, ili kusiwepo na mijadara mingi.

Ukishachomewa biashara serikali haitahusika kwakua litachukuliwa kama janga kuliko kuwaamisha kwa nguvu (migambo).
 
Inauma sana
 
CCM ndio chanzo Cha hayo yote!Ungana na upinzani kuiondoa CCM madarakani,au hata isipoondoka basi bungeni kuwe na 50/50!
Serikali iliyopita ilikosea sana kuhakikisha upinzani unakwisha bungeni,Sasa CCM wanafanya watakavyo!Kama tungekuwa na 50/50 hata hizo tozo zisingepita kirahisi hivyo!
Katiba mpya pia inahitajika!
Tatizo lenu hamsikii mpaka yawakute,siku zote tunapiga kelele juu ya mamlaka ya Rais na bado mKatuona hatuna maana kwasababu mlikuwa hamjaguswa na msiba ulikuwa Kwa jirani!Sasa msiba ni wa wote ndio mnapata akili!!!!
 
1. Wakati Zanzibar hakuna hata soko moja lililoungua huku Tanzania bara masoko manne ya wanyonge yameshaungua na yakiungua unatangazwa ujenzi wa soko jipya ambalo wakubwa watajimilikishia vizimba na kutupangisha sisi kwa bei ya juu sana.

2.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.

3. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.

My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?

2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?

3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
Mnyonge ni wewe na ukoo wenu wa sukuma gang mliokubali kuitwa wanyonge nanyi mkakubali kisa kujikomba kwa jiwe.
 
1. Wakati Zanzibar hakuna hata soko moja lililoungua huku Tanzania bara masoko manne ya wanyonge yameshaungua na yakiungua unatangazwa ujenzi wa soko jipya ambalo wakubwa watajimilikishia vizimba na kutupangisha sisi kwa bei ya juu sana.

2.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.

3. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.

My take.
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo, kwa nini wasishushe bei ya kuunga umeme ili wakate tozo pia?

2. Serikali inatoa elimu bure kwa nini umeme ishindwe?

3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
4. Serikali inakusanya kodi ya majengo kupitia Luku.
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
Wawa lilie waimba mapambio na wanaokwamisha kupatikana Kwa Kariba mupya.🤸.
 
Back
Top Bottom