Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika Ndugai alimshukia Zitto akaambiwa: Naweza kukunyima kabisa fursa ya kuongea bungeni, hakuna kuuliza swali, hakuna kuchangia chochote na huwezi kunifanya chochote wala kunipeleka popote...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Asalamalakum, Nchi yetu imebarikiwa kuwa na resources nyingi sana ikiwemo dhahabu, gas, ardhi, strategic location na amani, hivi ni vitu muhimu sana kwa watu wanaotaka kujiendeleza kiuchumi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Ili kumaliza kelele ni nani anaweza kutoa Maelezo kwa ufasaha kuhusu siasa zetu, Tumetoka wapi na tupo wapi na tunaelekea wapi ni vyema ukawekwa Mdahalo kwa lugha ya Kiingereza live tushuhudie...
16 Reactions
66 Replies
6K Views
Katika maraisi wote hata wote waliopita baada ya hayati mwalimu nyerere raisi Magufuli ndie rais atayekumbukwa kwa mambo mengi mazuri aliyoyafanya na ambayo yatabaki kumbukumbu na kusomwa katika...
20 Reactions
108 Replies
10K Views
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo. Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa...
4 Reactions
70 Replies
5K Views
Mtandao wa DarMpya Media umeripoti makala fupi inayoonyesha hali ya Hatari ya kutoweka kwa hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kutokana na kuingiliana kwa kasi kubwa baina ya binaadamu, mifugo...
10 Reactions
129 Replies
10K Views
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli? Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
18 Reactions
176 Replies
14K Views
Watawala wengi wanadhani Watanzania kwa vile wengi ni Kunguru basi hawawezi hata kupima uonevu au haki ilipo au kuchanganua na kuona mambo kwa upana. Ila niwaambie Watawala,Watanzania wengi ni...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma. Bwana ametoa, Bwana ametwaa! === Dkt. Cyril Agustino Chami...
11 Reactions
71 Replies
21K Views
Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Moja ya vitu ambavyo hushangaza kwa sisi watu ambao tupo kwenye ulimwengu wa 3 ni namna tunavyofanya maamuzi. Ukweli usiopingika ni kuwa tunahitaji wanasiasa watuongoze na ndio mfumo upo hivyo na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Aliyekuwa Kaimu Kamishna wa wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Abdalah Zombe Katika maelezo yake Zombe alisema kuwa anamshangaa Mbunge wa Arusha mjini, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya...
13 Reactions
459 Replies
51K Views
Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote. Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na...
1 Reactions
0 Replies
560 Views
Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala...
10 Reactions
90 Replies
8K Views
Ukiyatazama yaliyofanyika wakati wa Samia, ukiacha doa kubwa la kesi ya inayoaminika ni ya kumbambikia Mbowe na makomandoo, kuna nafasi nzuri zaidi ya kuijenga Tanzania ya haki na demokrasia...
3 Reactions
12 Replies
908 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka...
21 Reactions
118 Replies
12K Views
Maagizo ya waziri wa Nishati Mh. January ni kwamba kutokana na Wananchi kutopewa habari juu ya mikakati pamoja na kukatika umeme basi kitengo husika kimefeli hivyo kitengo hicho kibomolewe na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom