Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa Kitanzania au ni ufanisi gani ambao hawa Wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa Kitanzania hawapo?
Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko UK la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.
Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.
Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.