Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Mradi wa JNPP ulianza tarehe 26 July 2019 na ulitarajiwa kukamilika na kuanza kuzalisha umeme mwezi June 2022. Sasa kama ni kweli kwamba hadi kufika February 2021 mradi ulikuwa nyuma siku 477...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Hawa wahandisi wa mradi wa JNHPP wanamdanganya sana huyu waziri January Makamba kwa sababu yeye mambo ya sayansi ni mashikolo mageni. Eti tani 26 ni uzito mkubwa sana unaohitaji a special immobile...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika. Chukulia tu kwa awamu tatu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati tarehe 05/02/2022 CCM itasherehekea miaka 45 tangu kuasisiwa pia kitawashukuru wanachama wa Chadema waliouona mwanga na kuamua kujiunga na chama tawala. Takwimu zinaonyesha kuwa wanachama...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kumekuwepo upigaji mkubwa wa pesa za mikopo ya 10% kwenye halmashauri mbalimbali nchini. Pesa hizo zinazelenga kutolewa kwa makundi maalumu kama ya vijana,wanawake na walemavu. Kashfa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
24 Reactions
363 Replies
65K Views
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa...
7 Reactions
83 Replies
7K Views
Wadau wote tunajua TBC ni televisheni ya serikali Watanzania wote kodi zao pamoja na kodi za Mbowe na wenzake zinatumiwa na TBC. TBC imekuwa inatangaza kesi mbalimbali lakini toka mahakama ya...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman Mbowe leo ataongea na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kabla ya kuelekea Central Polisi. Mkutano huo utaanza saa tano. ==============...
66 Reactions
338 Replies
43K Views
Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni imeridhia ombi la mawakili wa Mwandishi wa Habari, Said Kubenea la kuondoa maombi ya kuwashtaki Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Ofisi ya Mkurugenzi...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakati Tunasoma, Hata kwenye Maisha Tunasisitiza Sana Kujifunza kupitia Wenzetu Waliofanikiwa Wanafanya nini? Au waliowahi kupatwa na Matatizo ilikuaje? Hii inaenda kwenye Serikali Yangu ya...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Serikali yetu imekuwa ikihubiri katika huduma bora za afya katika hospitali zake na haswa Uwepo wa huduma bure wa makundi maalumu ya wazee kuanzia miaka sitini (60) na kuendelea, na watoto umri...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa kutokana na kutowajali watumishi kwa kipindi chote cha miaka mitano..ilifikia wakati Ni kawa nakufulu kabisaa kwamba kwanini mungu aliruhusu niyapitie haya. Bodi ya mikopo walipokuja...
1 Reactions
8 Replies
824 Views
Vijana wawili(wa kiume na wa kike) wa uvccm wamepewa zawadi na Mh.Rais Mama Samia kwa kuonesha uzalendo baada ya kutembea kutoka Dar hadi Musoma kwa miguu ili kuhudhuria sherehe za miaka 45 ya...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Habari Wakuu, Leo 10/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Shahidi Tumaini Swila jana Februari 9, 2022 aliomba ahirisho...
20 Reactions
191 Replies
20K Views
  • Closed
Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit. EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na...
31 Reactions
164 Replies
13K Views
Heri ya kidogo cha halali kuliko kuwa na kikubwa cha dhuluma. Wana cdm Makambako wanakamilisha ujenzi wa ofisi ya cdm wilaya ikiwa ni mali yao halali isiyo ya kupora nguvu za watanzania. Kwa...
19 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom