Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda kinyume na maadili

Wale uliowakuza Bado wapo na naamini awakubaliani na mfumo wa sasa wa raia kupnekana mwalifu badala ya mtoa Taarifa. Leo hii ukitafuta vision na mission ya Jeshi la Polisi uione Kwa SABABU wamechanganya transformation na daily operesheni. Taasisi inatakiwa kukua ila Polisi haipnekani kukua.

Mzee Siro alipaswa kuweka strategy mezani za kutransform jeshi kutoka kufanya kazi manualy for years aje na mkakati wa kuishawishi serikali impe vitendea kazi afanye Mabadiliko. Mradi wa Lugumi wakuchukua vidole ulipofeli haikuwa Mwisho wa kuomba fedha kuboresha vitendea kazi, leo unamkamata mwalifu unaandika kwenye diary wakati ilipaswa kusajiliwa kwenye mifumo? Ukikamatwa Mtwara IGP awe na mfumo wa kujua kupitia ipad yake au laptop na asome makosa yako, huko ndipo majeshi mengine yalipo. Taarifa za kusaidia haki zinapatikana. Naamini wapo wahalifu siyo first offender lakini wakikamatwa wanafika mahakamani wanasema ndo first time kukamatwa na Mahakama inawaonea huruma kumbe Polisi walipaswa kujua tabia ya mwalifu kumsaidia hakimu kutenda haki.

IGP Siro pls try to rethink how are you going to leave legacy in Police force. Kwanini Mwema aliweza? Kumwiga Mahita na kizazi chake wakati umekuzwa na Mwema ni kumkosea mlezi wako, ukifanya Mabadiliko hata wajukuu wako watanufaika na Mabadiliko hayo, operesheni ni sehemu ndogo sana ambayo viongozi wa polisi wa wilaya na mikoa wanaweza wakamaliza Kwa SABABU ni kazi ya Kila siku. Kinachokosekana Polisi Leo ni sera, mkakati na uthubutu wa kufanya mabadiliko
 
*mar mwangosi ameuawa kipindi chake.

*mabomu ya yameripuka mikutanoni kipindi chake

tukianza kuchambua dosari zilizoambatana na utawala wake utagundua ile ilikuwa mikakati ya kupiga ulaji tu, kaendelee na kazi.
 
*mar mwangosi ameuawa kipindi chake.
*mabomu ya yameripuka mikutanoni kipindi chake

tukianza kuchambua dosari zilizoambatana na utawala wake utagundua ile ilikuwa mikakati ya kupiga ulaji tu,kaendelee na kazi.
Kwani alikuwa front kupromote tabia binafsi za askari waliokosa maadili
 
Back
Top Bottom