Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na...
Heri ya kidogo cha halali kuliko kuwa na kikubwa cha dhuluma.
Wana cdm Makambako wanakamilisha ujenzi wa ofisi ya cdm wilaya ikiwa ni mali yao halali isiyo ya kupora nguvu za watanzania.
Kwa...
Kama wote tumewai kushuhudia wizi unao fanywa na watumishi wa umma wanao kusanya fedha za halimashauri mtaungana na Mimi uwa iki ni kichaka kikubwa Sanaa fedha nyingi za Watanzania wanyonge...
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.
Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa...
Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa...
Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na...
Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa.
Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana. Makonda kaondokewa na Godfather.
Makonda anatajwatajwa na...
Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake"...
Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare.
Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu.
Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru...
Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa.
Taarifa za hivi punde ni...
Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji...
Hospitali ya Taifa Muhimbili leo imepata bahati ya kutembelewa na Akina mama wenye ushawishi zaidi nchini Tanzania , wanaoitwa Bawacha , ambao walifika Mahsusi kwa ajili ya kumjulia hali mbunge wa...
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi...
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya...
Wanaukumbi.
CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili...
Mhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila...
Wakati kuna walemavu Asilimia chache sana wanaobahatika kupata Elimu hapa nchini. na wengi wa walemavu hawaendi Shule kabisa hii ni kutokana na Maisha yao kuwa Duni au mazingira ya Elimu kuwa Tatizo.
Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe.
Aidha naibu waziri...
Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.