Rais Samia, makandarasi tunakupa Big Up!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,584
2,000
Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa.

Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5.
Baada ya hapo sijui lilitokea sintafahamu lipi, maana tukapigwa tanchi tusielewe.

Mara hakuna kumpa kazi mzawa ati anaiba sana.
Mara afwazali kumpa kazi fundi Maiko, kwa Force Account.
Wizi uliotokea katika miradi ya umma wote tunafahamu!

Makandarasi wengi, tena wadogo wadogo wakakosa kazi, wengi wakarudisha leseni za kazi na kuua kampuni zao.
Mimi leseni nilisha irudisha kwa wenyewe, ila sasa napata matumaini kurudi ulingoni.

Huku nyuma waliosalia waanza kuwindwa na TRA pamoja na na wanasiasa.
Waziri Jafo, sijui alitumwa?, alimnanga mkandarasi mpaka akazimia.

hqdefault.jpg
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,190
2,000
naona construction industry imeanza kurudi kwa kasi....morogoro road na bagamoyo road wau wameanza kuweka vitu kama zamani...maeneo ya goba na bunju naona kumeanza kuwa busy sasa kama zamani...
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,643
2,000
Middle class lini tutajielewa?hii inayofanya yote ni serikali ya ccm sio President Samia!fedha inatolewa na serikali SIO President Samia!wake up and smell the roses
 
NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
2,010
2,000
Middle class lini tutajielewa?hii inayofanya yote ni serikali ya ccm sio President Samia!fedha inatolewa na serikali SIO President Samia!wake up and smell the roses
Ni kweli, siku hizi inatolewa na serikali ila kipindi kile tu ndo ilikuwa inatolewa na jpm
 
mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,193
2,000
naona construction industry imeanza kurudi kwa kasi....morogoro road na bagamoyo road wau wameanza kuweka vitu kama zamani...maeneo ya goba na bunju naona kumeanza kuwa busy sasa kama zamani...
hakika ujenzi umerud kwa kasi sana now..........
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,584
2,000
Mjenge sasa na siyo kuwa kero kwa wananchi kwa miradi kutokamilika au kukamilika chini ya kiwango cha chini.
Mkuu swala la kushindwa mkandarasi mara nyingi siyo la kwake binafsi.
Mara nyingi huwa hakuna usimamizi kabisa katika mradi.
Mtu anapewa fedha halafu hasimamiwi kule site, matoke yake anaila!
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,584
2,000
naona construction industry imeanza kurudi kwa kasi....morogoro road na bagamoyo road wau wameanza kuweka vitu kama zamani...maeneo ya goba na bunju naona kumeanza kuwa busy sasa kama zamani...
Hiyo ni confidence kwa serikali Awamu ya 6.
Mara zote, construction industry ndio pointer ya uchumi kukua au kufa.
Ujenzi ukishamiri basi ina maana uchumi unaanza kukua.
Ujenzi ukisimama maana yake uchumi unakufa.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,892
2,000
Huwa mnalalamika hampewi pesa za kukamilisha miradi kwa wakati halafu mwishowe mnaishia kutumbuliwa kwa kusemwa mpaka mnazimia, sasa kwa haya mapambio yenu tusisikie mbele ya safari mnaanza malalamiko yenu ya kutopewa pesa za kukamilisha miradi kwa wakati.
 
Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,436
2,000
Huwa mnalalamika hampewi pesa za kukamilisha miradi kwa wakati halafu mwishowe mnaishia kutumbuliwa kwa kusemwa mpaka mnazimia, sasa kwa haya mapambio yenu tusisikie mbele ya safari mnaanza malalamiko yenu ya kutopewa pesa za kukamilisha miradi kwa wakati.
Kwa malaymen, huwa wanafikiri mradi fedha zipo basi automatically umepata nyumba!
Hayo ni mawazo mfu!
Mkandarasi, pamoja na fedha, lazima afanye kazi katika usimamizi kimkataba.
Mfano mkandarasi kapata mkataba wa kuchimba kisima mita 10, kafika mita tano anakumbana na jiwe na kazi inasimama.
Hapo lazima apate maelekezo ya msimamizi wa mradi nini kifanyike, pesa ya ziada, na mashine tofauti za kufanya kazi ma muda wa ziada kufikia malengo.
Hicho ndio kituambacho watu wengi hawahjui kuwa mkandarasi hawezi amua hayo yote , kujiongeza pesa na muda wa mradi.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,190
2,000
Hiyo ni confidence kwa serikali Awamu ya 6.
Mara zote, construction industry ndio pointer ya uchumi kukua au kufa.
Ujenzi ukishamiri basi ina maana uchumi unaanza kukua.
Ujenzi ukisimama maana yake uchumi unakufa.

uko sahihi, construction industry ilishrink kabisa na ilikuwa inaonekana kabisa kwa macho huhitaji tochi kuona...

kwa kipindi kifupi naona inaanza kuboom kwa ujenzi sehemu mbalimbali hasa Dar kuanza kwa kasi mfano ujenzi wa petrol stations, viwanja poli naona vinaanza kusafishwa na watu kuanza maujenzi, ujio wa NHC tena naona uko kwa kasi... hii maana yake construction workers and companies vitakuwa busy vijana watapata ajira, mitaji na multiplification effect itakuwa kubwa kila mahala.... ujenzi wa mafremu ya biashara umeanza tena kukumbua kwa kasi...

ni wakati sasa kwa serikali kuishinikiza hawa big foreigner contractors waanze kusub kazi kwa locals pamoja na kukodi mitambo... hapa ni kukeep records ya wamiliki wa mitambo na aina ya mitambo na kudiscourage makampuni ya kigeni yasije na mitambo baadala yake wakodi hapa, Serikali iwabane pia local contractors kwenye ajira za locals namna ya kulipa na hiring process isiwe ya undugunization..
 
Chikusela

Senior Member
Sep 17, 2021
129
250
Bodi c ipo, C.R.B Kama cjakosea, wafanyiwe tathmin Kwanza 7bu fani inahusika 1kwa1 na maisha ya watu..mf. majengo ndo tunayatumia kujifcha, barabara/madaraja yanatumika kusafrisha n.k
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,584
2,000
Bodi c ipo, C.R.B Kama cjakosea, wafanyiwe tathmin Kwanza 7bu fani inahusika 1kwa1 na maisha ya watu..mf. majengo ndo tunayatumia kujifcha, barabara/madaraja yanatumika kusafrisha n.k
Mwaka jana CRB walishasema makandarasi zaidi ya 2,000 walibwaga manyanga, nami nilikuwemo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom