Binafsi nilipinga dhana ya kuwarubuni Wapinzani na kuwaingiza CCM kwa ahadi ya vyeo. Hii ya Rais Samia ya kuongea nao na kushirikiana naikubali 100%

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,760
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
 
Samia ni mzaliwa wa Pwani, Tanzania ustaarabu ulianzia Pwani, kwa hiyo hawezi kuwa mtu wa kufanya mambo ya hovyo kama Humphrey Polepole na kundi lao la wakati huo
 
UONGO
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
 
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
Magufuli alikuwa shetani kwenye mwili wa binadamu. Muache aendelee kuoza jehenamu
 
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!

Kama uliona ccm walishinda kihalali uchafuzi wa 2020 na wa SM, ulipinga vipi kununua wapinzani kwa shuruti? Weka post uliyowahi kupinga ule ukhanithi. Au unaanza kujikosha baada ya kuona enzi za siasa za kishenzi zinafutika?
 
Hii approach hata Kikwete aliitumia, ni pressure tu kutoka kwa donners.

Nobody knows tomorrow!
 
Kama uliona ccm walishinda kihalali uchafuzi wa 2020 na wa SM, ulipinga vipi kununua wapinzani kwa shuruti? Weka post uliyowahi kupinga ule ukhanithi. Au unaanza kujikosha baada ya kuona enzi za siasa za kishenzi zinafutika?
Uchaguzi mkuu ulikuwa huru.

Tundu Lisu hakulalamikia uchaguzi alilalamikia matokeo yaliyotangazwa.

Ni kama yeye mwenyewe alivyomfanyia Nyalandu kwenye kura za maoni.
 
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
Magufuli ni bonge ya great failure. Mambo yake yalikuwa varuvaru
 
Moyo wa Bwana yuuule umejaa chuki,roho mbaya,mbaguzi,utekaji na kupiga risasi wapinzani wake hovyo hovyo.Huko aliko kakataliwa hadi na Shetani.
Mzilankende Mnyago Kazi Anayo Huku Duniani
 
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
Kufanya kazi na serikali na kuiletea maendeleo nchi siyo lazima uwe mwanaccm au uamie uko.

Ni vizuri sana kwa wapinzani kufanya kazi na serikali wakiwa uko waliko,hii itaipaisha sana nchi kimaendeleo
 
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema

Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%

Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
Polepole na wenzie waliegemea 100% katika siasa za propaganda..Amani ya kweli ipo katika maridhiano na sio propaganda...Mama anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom