CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

IMG_20220308_142040.jpg
IMG_20220308_134505.jpg
JamiiForums1847923686.jpg
IMG_20220308_134437.jpg
 
'Tukubaliane na Ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni kama Republican na Democrats Vya Marekani, ni Vyama Vikubwa'...

Kubalianeni tu hapo Ufipa...! Lakini sie WaTz tunaiona CDM kama vyama Vingine tu vya Upinzani CUF,CHAUMMA,NRA na ACT wazalendo...!
Halafu Marekani ndio 'SI unit' Yenu....! Marekani kitu gani Bwana!
 
My first impression;

Udhaifu wangu mkubwa kwa mtoto wa kike ni "shape" ya guu lake la mfano wa chupa ya bia, na pia maumbile mazuri ya chura aliyembeba. Ama kwa hakika CDM ina hazina kubwa ya watoto wazuri wa aina hii.

Tujenge chama, tukuze mahusiano mema. Kwa hakika wanawake Watanzania mnaweza.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
My first impression;
Udhaifu wangu mkubwa kwa mtoto wa kike ni "shape" ya guu lake la mfano wa chupa ya bia, na pia maumbile mazuri ya chura aliyembeba. Ama kwa hakika CDM ina hazina kubwa ya watoto wazuri wa aina hii.

Tujenge chama, tukuze mahusiano mema. Kwa hakika wanawake Watanzania mnaweza.
CCM Wana Gaudensia Kabaka na Hadija kopa
 
BAVICHA wanastahili pongezi nyingi sana.

Leo habari iliyobamba ni hiyo, hata hivyo nimejitahidi kufuatilia kama CUF, NCCR Mageuzi, TLP, UDP na ACT Wazalendo wanawake wao waliadhimisha sherehe hiyo bila mafanikio.

Uongozi imara wa CDM ndiyo siri kuu ya mafanikio yao
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
ningumu kukuelewa. Tunawapongezenii
 
Back
Top Bottom