Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijaelewa kabisa! Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani. Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na...
35 Reactions
376 Replies
20K Views
Nimemuona shehe wa mkoa wa Dar es salaam alhad Salum akiwa na KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe Ikulu ya Dodoma kama wawakilishi wa vyama vya siasa. Ndio najiuliza mbona viongozi wa vyama vya siasa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Salaam Wakuu Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili). Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea...
24 Reactions
164 Replies
11K Views
wana jamvi naomba hoja za msingi na zenye takwimu na si za kishabiki kwanini ccm wao hawataki mfumo wa serikali 3? maana nasikia maneno maneno yasiyo ya kitafiti juu ya uwepo wa serikali 2 wanazo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Kitwanga amelieleza gazeti la Majira leo tarehe 5 Julai kuwa wauza unga ndio walio muondoa katika nafasi yake ya uwaziri na taarifa zilizotolewa na...
8 Reactions
84 Replies
11K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Uvccm kesho kumjadili makonda je watamtosa mwenzao? Kama Lowassa alivotoswa kweny richmond?
2 Reactions
93 Replies
12K Views
Licha ya awali kuwa na msimamo tofauti, vyama vya Chadema na NCCR-Mageuzi vilivyoweka msimamo wa kutokushiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) vimetengua msimamo huo sasa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Spika wa bunge la JMT mh Dr Ackson Tulia ndio muhubiri wa leo hapa KKKT Kimara maarufu kama kwa mchungaji Matsai. Dr. Tulia anahubiri kuhusu Upendo na anatoa mfano wa wanasiasa kwa kusema...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Zamani tulizoea kupata mrejesho wa habari mbali mbali wandishi wa habari walipenda kutafuta wahusika wanaotuhumiwa kwa jambo lolote lile ili kutoka ufafanuzi, Ajabu Siku hizi wandishi wetu kwenye...
10 Reactions
67 Replies
6K Views
Tangu rais alipopiga marufuku vyama vya upinzani CCM imekua ikifanya mikutano kinyume na katiba kwa kigezo cha kijimilikisha nchi! Chini ya mfumo wa vyama vingi zipo sheria zinazoelekeza jinsi...
6 Reactions
8 Replies
809 Views
Wasalaam. Nimesikitishwa na maamuzi ya kamati kuu ya ccm kutaka jeshi la police lichunguzwe kwa sababu eti wananchi wamepoteza imani nalo. Najiuliza hivi kweli serikali ya ccm haijui matatizo ya...
3 Reactions
11 Replies
990 Views
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ... Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa...
15 Reactions
81 Replies
4K Views
Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi. Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kama una hasira za karibu pita kimya Tafadhali. Kwa ufupi FAW : Mwenyekiti wa Chadema zaidi ya miaka 20 FAW: Mbunge wa kuchaguliwa kwa miaka 15 FAW: Kiongozi wa Upinzani bungeni kwa miaka 10...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Ameonyesha uongozi kwa vitendo.. Ni mtendaji. Ni mbunifu sana. Hasubiri maagizo ya wakubwa au kusukumwa muda wote anawaza ni namna gani anaibadilisha Kinondoni. Sio mtu wa visingizio ni mtoa...
8 Reactions
66 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…