Muda wa Mawakili wa Serikali kesi ya Mbowe kulipwa perdiem na Serikali umeisha (maximum miezi 6), Je, wanalipwa kwa sheria Gani?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nimesoma utaratibu wa malipo ya serikali Kwa Mtumishi anayefanya kazi nje kituo chake cha kazi, utaratibu unaeleza kwamba Mwisho wa malipo ni miezi sita baada ya muda huo utafutwe mfumo mwingine wa kuwalipa ila siyo perdiem.

Mawakili wa Serikali wanatoka Mikoani na hivyo huko Dsm siyo kituo Chao Cha kazi. Je, watalipwa Kwa sheria Gani baada ya muda wa kisheria kupita?

Kwa upande wa Mhe. Jaji, Bado siku kadhaa atimize miezi sita. Akifika ukomo atakubali kufanya kazi Kwa kujitolea?

Zaman miaka ya 1990+ ulikuwa uwezi kulipwa perdiem zaidi ya muda wa kisheria, mataifa mengi Duniani pia kuepusha mtu kufanya kazi ya miezi miwili akaifanya mwaka utumia utaratibu wa uhamiasho kupunguza gharama. Kwetu Tanzania tunaliona tatizo la Mawakili na Jaji kutumia muda mrefu zaidi kuendelea na kesi ambayo wanajua kabisa Haina facts Kwa lengo la kulipwa daily?

Watanzania tukitaka kujifunza na kuelewa tusome, bila kusoma uwezo WETU wa kutoa hoja utaishia kuwa Duni. Mfano mzuri ni hii issue ya mfumo wa malipo ya serikali, naamini hata wanaofanya kazi huko hazima awajui hapa Kwenye above 6mnths Kuna audit query, pia hata walipwaji nao sidhani kana wanajua
 
Miezi sita unasimamisha ghorofa. Wakikosa mbinu za kutafuna kodi zetu ni lzm wawabambike watu Ili wasife njaa
 
Back
Top Bottom