Five African countries for investors to watch in 2022
Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI...
Najua umemaliza ziara Yako Mkoani Manyara,na Sasa upo Chato Kwa kaka yako.
Nachukua fursa hii kukipa taarifa jinsi ziara yako ilivyowatesa wananchi.
Nazungumzia namna Barabara zilivyofunga...
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa kote duniani .
Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa ataongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Nje ya Jiji la Dar...
Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF.
Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa.
Madai ya Katiba Mpya ni nani...
1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila...
Kwa miaka mingi, nikishirikiana na taasisi kubwa Duniani zinazoangalia na kutoa mafunzo kihusu Ufanisi Kazini, nimekuwa nikizunguka mabara mbalimbali, na hasa kwa makampuni makubwa ya kimataifa...
Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za...
Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia!
Tutasubiri sana!
Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND)...
Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa.
Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi...
Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala...
Nimemsikiliza Mgombea Urais kupitia Chadema. Kiujumla anapaswa kuongea zaidi kuliko wagombea wa vyama vingine.
Kwa kuwa hakuweponchini kwa muda mrefu tofauti na wale wengine, inaweza kuwa sababu...
Sitaki kuzungumzia maovu ya kisiasa aliyoyafanya kwa Taifa huyu mtu, maana hata ukurasa huu hautatosha, nataka nizungumzie tu maovu aliyowafanyia kanisa Katoliki na Makanisa Mengine, halafu leo...
Habarini wakuu,
Najiuliza hizi gharama za kusafirisha watumishi wote mkoa wa Geita kwenda chato tarehe 17/3/2022 ni za serikali au kuna mfadhili? Kama kuna mfadhili ana maslahi gani na hili...
Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.
Nirudi kwenye...
Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa.
Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo...
Hakika Nadhani umefika wakati sahihi kwa Serikali Kuacha kufanya Biashara ya kuvusha Wananchi pale Ferry kwa kutumia Pantoni zake.
Nasema hivi kutokana na TEMESA KUSHINDWA kuwahudumia Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.