CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

mzyond

Member
May 31, 2021
5
18
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita,

Sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.

Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.

Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.

CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
 
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.

Rais wa JMT anachanguliwa na raia wa kawaida au na Deep state?
 
Okau kwani Tume ya uchaguzi itakuwa ile ya Kenya BBI?
 
Bakubaliana na wewe kuwa Hayati aliharibu zaidi kiasi kwamba Hata CCM hawajiamini tena. Wanaamini kwa nguvu ya polisi na vyombo vileee.

Nje ya hapo hawana uwezi tena.

Siku polisi wakilegeza tu chaliii
 
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.
Mkuu mzyond , kiukweli, kuota ndoto za matumaini hewa ya mchana kweupe, rukhsa.
Endelea kuota!.
Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.
Usikute hao wasiomkubali Mama Samia, ni wale ambao, hawajiandikishagi kupiga kura, na wakijiandikisha ili tuu kupata kitambulisho, huwa hawapigi kura!.
CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Chadema ipi hiyo unayoizungumzia ya kuiondoa CCM?.
Ni Chadema ipi?
Ni Chadema hii HAPA!.
Au Chadema hii HAPA!
Au Chadema hii HAPA!.
Kiukweli kabisa, kwa Chadema hii, CCM itatawala milele!.
P
 
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.

Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.

Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.

CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Ninakubaliana nawe, na sikubaliani nawe.

Ninakubaliana nawe, kwamba hapajawahi kuwepo na fursa nzuri na ya kipekee kama iliyopo sasa kwa wapinzani, hasa hasa CHADEMA, na pengine washirika wao watakaoshirikiana nao huko mbeleni, kukiondoa chama hiki cha CCM madarakani.
Kazi hii wakiishindwa safari hii, wajihesabu kwamba siasa hawawezi.

Ninakukatalia sababu ulizozielezea kuwa ndizo zitakazosababisha wapinzani wachukue madaraka. Kwanza sababu zenyewe hukuzielezea vizuri zieleweke.

Uwepo wa Magufuli na sasa Samia kwenye madaraka, ni matokeo yale yale yaliyojitokeza ndani ya chama hicho. Maana yake ni kwamba, sasa hivi chama kinajiendea tu hakina dira yoyote na wala uwezo wa kuwapata viongozi watakaosimamia dira ya chama.

hama cha CCM sasa hivi kipokipo tu, kama kwa mazoea. Watu wanang'ang'ania kuwa humo ndani ya chama kwa sababu ndiko wanakopatia maslahi yao.

Ngoja nikuachie mfano, usije ukanilaumu kwa kuelezea mambo kijumla jumla tu: Chukulia serikali ya hicho chama ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Magufuli. Tuchukulie kwamba serikali iliyoundwa 2015 iliwekwa madarakani na wananchi baada ya uchaguzi mkuu.
Magufuli akafanya kazi na Samia ndani ya serikali hiyo kwa miaka mitano katika ngwe yao ya kwanza, hadi ikaisha. Uchaguzi mwingine ulipowadia hapo 2020,, sina hakika kama wananchi kweli ndio walioiweka serikali hiyo iendelee na mhura wa pili..., lakini si neno, serikali ikaundwa chini ya Magufuli iendelee na kazi, na Samia akiwa palepale ubavuni kwa Magufuli akiimba mazuri yote ya serikali yao.

Mungu si Athumani, kamwondoa Magufuli; Samia akashika kiti na katangaza "Kazi (na ) Iendelee..., (kazi gani)? Sasa wananchi wanashuhudia hadithi tamu za kuwalaza usingizi, lakini hawajui baada ya usingizi huo watakuwa wapi!

Na kama bado hunielewi, basi ninakueleza kuwa CCM kama chama hakipo tena. Kuna CCM ya watu binafsi. Mahitaji ya watu hawa ndiyo yanayoendesha jina la CCM.

Nisikuchoshe na gazeti refu.
 
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.

Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.

Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.

CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Unaota mkuu.

Haya maneno kila siku husemwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom