Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WADAU wa siasa wametoa maoni kuhusu uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuridhia pendekezo la kikosi kazi cha kuratibu demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Miongoni mwa mambo hayo ni matokeo ya...
1 Reactions
2 Replies
791 Views
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi. Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10...
70 Reactions
118 Replies
9K Views
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania -...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake. Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza. Wote Ni mashahidi katika awamu ya...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Ninatambua kwamba ni wajibu wa mfanyabiashara yoyote kulipa kodi ili kuchangia pato la Taifa na hatimaye kuwezesha maendeleo, na ninaunga mkono jambo hilo. Lakini Kodi inapaswa kulipwa kutokana...
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au...
1 Reactions
0 Replies
700 Views
Mhe. Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza nianze kukupongeza kwa nafasi uliyonayo ambayo ni nafasi kubwa kiutawala wa mwanadamu katika Taifa letu. Pili, nikupongeze...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa niaba ya Wananchi wako wa Chalinze mimi mtumishi wao Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze, ninakukaribisha Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan Jimboni kwetu kwa ajili ya uzinduzi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya mipango na ahadi nyingi za kumaliza changamoto ya Uhaba wa maji jijini Dar na Pwani toka Uhuru kushindikana sasa mh.Rais SSH ameamua kufanya kwa vitendo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT...
7 Reactions
179 Replies
14K Views
Sote hivi karibuni tumeshuhudia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi, kwa kupitia Kamati yake iliyoiunda, akiwakilisha maoni ya taasisi anayoiongoza, kuhusiana na katiba mpya. Nasema ni maoni...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Hayati Mkapa na Magufuli waliamini katika kutumia nguvu kukabiliana na wapinzani wa kweli kwa wakati husika ndio utaona Mkapa hakuwahi kukaa na CUF bali aliwatwanga wakakimbilia Shimoni Mombasa...
23 Reactions
81 Replies
6K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba wa jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumuua...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni. Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Hii ni taarifa ambayo hutakiwi kuikosa kwa sasa , na hasa kutokana na Matarajio ya wananchi wengi na mwamko mkubwa sana walionao kuhusiana na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ...
5 Reactions
16 Replies
728 Views
Viwanda vya nini!?? Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini.. Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!?? Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha...
5 Reactions
136 Replies
26K Views
Siku sio nyingi zijazo, Bunge la katiba litakutana mjini Dodoma kufanyia kazi rasimu ya pili ya Katiba. Iwapo “kila kitu kitaenda sawa”, Katiba hii itakuwa ni ya kwanza itokanayo na umma/wananchi...
34 Reactions
113 Replies
15K Views
Back
Top Bottom