Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,030
50,932
Kwema!

Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi;

Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya wanamikumi wote.
Kwa mujibu wa muongoza Watalii akaniambia, Nyati wamechoshwa na Ubabe wa Simba, chui na Fisi. Achilia mbali kero wazipatazo kutoka Kwa mbwa mwitu.

Nyati na Pundamilia wamechoshwa na kile walichokiita manyanyaso ya kimfumo unaotokana na Simba, Chui na Fisi.

Sasa Taikon nikajiuliza iweje Nyati na Pundamilia wawaombe kina Simba,chui na fisi ilhali ni makundi mawili tofauti?

Nikamuuliza Muongoza watalii; Kwani kina simba, chui na Fisi wao wanasemaje baada ya kusikia malalamiko ya Wenzao?

Nikajibiwa; Simba alisema kuwa, Kwanza hao wanaolalamika hawaumizwi Sana ukilinganisha na Swala na Digidigi, waliotakiwa kulalamika ni Swala na Digidigi; sio wao.
Ni nadra Sana Kwa Ndugu zetu Nyati na Pundamilia kupata madhara kutoka kwetu, na hii ikitokea ni pale tunapomiss ladha tofauti ipatikanayo kutoka kwao.

Fisi akaongeza, mbona wakina Tembo hawalalamikii hiyo Katiba mpya, mbona wao hawapigi kelele. Ni Kwa sababu wanafuata mambo Yao. Na ndio maana tunawaheshimu hatuwabughuzi hapa mbugani, isipokuwa vile vitoto Tembo vijeuri vinavyojipendekeza kuwatetea kina swala. Hivyo tunavibughuzi wakati mwingine kuvigeuza vitoweo kabisa.

Taikon nikataka kujua Swala na Digidigi wao wanamaoni gani! Hapa nikashangazwa kidogo.

Swala na Digidigi nikajuzwa kuwa wao hawana shida na Katiba mpya, wao wanachohitaji ni kuishi tuu Kwa Amani na kuliwa kiungwana.
Wao kuliwa sio ishu kubwa, naomba kuwanukuu; "Sisi tunazaliana Sana. Kwa mwaka sio ajabu tukazaliana hata mara tatu mara nne Kwa kilamoja wetu. Hatuna shida na ndugu zetu kina simba, chui na Sisi kutugeuza misosi Yao.

Ingawaje tunaumia lakini tumeshazoea. Tunachohitaji watuachia mamlaka ya kuteua wenyewe atakayeliwa kila wajapo, na sio kujichagulia swala au Digidigi wapendavyo. Unajua wakati mwingine Simba wanakula swala na Digidigi wenye mimba, embu fikiri, wengine wanakula swala au Digidigi wenye watoto na kusababisha watoto hao kuteseka.

Kama watatusikiliza tutawatumikia Daima"

Kiongozi wa Swala alimaliza.

"Sisi Tule wapi ndugu Taikon, Tule Matembele? Tule Nyasi au mboga za maboga? Embu tazama muundo wa Meno yetu, umeona! Tutakulaje Matembele na Meno ya namna hii? Eeenh! Sisi tumeumbwa Kula nyama na kutawala mbuga hizi. Hao wanaodai Katiba mpya ni wapuuzi tuu"
Simba dume alisema akiwa ananitazama Kwa macho ya ukibisha na wewe nakutafuna.

Taikon nikaona huu sasa sio utalii huku ni kutishiana maisha. Yale Meno ya Simba yalikuwa makali yenye hamu ya Kula damu mbichi muda wowote.

Nikatoka huko. Sasa je, tunawasaidiaje Swala na Digidigi ikiwa wao hawahitaji msaada? Ndivyo Muongoza watalii ananiaga Kwa kuniuliza swali.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
Wao kuliwa sio ishu kubwa, naomba kuwanukuu;
"Sisi tunazaliana Sana. Kwa mwaka sio ajabu tukazaliana hata mara tatu mara nne Kwa kilamoja wetu. Hatuna shida na ndugu zetu kina simba, chui na Sisi kutugeuza misosi Yao.
Ingawaje tunaumia lakini tumeshazoea.
Tunachohitaji watuachia mamlaka ya kuteua wenyewe atakayeliwa kila wajapo, na sio kujichagulia swala au Digidigi wapendavyo. Unajua wakati mwingine Simba wanakula swala na Digidigi wenye mimba, embu fikiri, wengine wanakula swala au Digidigi wenye watoto na kusababisha watoto hao kuteseka.

Nikatoka huko.

Sasa je, tunawasaidiaje Swala na Digidigi ikiwa wao hawahitaji msaada?
Ndivyo Muongoza watalii ananiaga Kwa kuniuliza swali.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
NGULI wa fasihi katika ubora wako
 
Subiria waje vihiyo wa buku7 Kama wataweza kutafsiri kitu hapa. Maana wao wanawategemea Kingai na Mahita division five kuwaongoza kufanya siasa.Wao wanasema maana ya neno
Terrorism ni Mambo ya Utalii.
 
Kwema!

Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi;

Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya wanamikumi wote.
Kwa mujibu wa muongoza Watalii akaniambia, Nyati wamechoshwa na Ubabe wa Simba, chui na Fisi. Achilia mbali kero wazipatazo kutoka Kwa mbwa mwitu.

Nyati na Pundamilia wamechoshwa na kile walichokiita manyanyaso ya kimfumo unaotokana na Simba, Chui na Fisi.

Sasa Taikon nikajiuliza iweje Nyati na Pundamilia wawaombe kina Simba,chui na fisi ilhali ni makundi mawili tofauti?

Nikamuuliza Muongoza watalii; Kwani kina simba, chui na Fisi wao wanasemaje baada ya kusikia malalamiko ya Wenzao?

Nikajibiwa; Simba alisema kuwa, Kwanza hao wanaolalamika hawaumizwi Sana ukilinganisha na Swala na Digidigi, waliotakiwa kulalamika ni Swala na Digidigi; sio wao.
Ni nadra Sana Kwa Ndugu zetu Nyati na Pundamilia kupata madhara kutoka kwetu, na hii ikitokea ni pale tunapomiss ladha tofauti ipatikanayo kutoka kwao.

Fisi akaongeza, mbona wakina Tembo hawalalamikii hiyo Katiba mpya, mbona wao hawapigi kelele. Ni Kwa sababu wanafuata mambo Yao. Na ndio maana tunawaheshimu hatuwabughuzi hapa mbugani, isipokuwa vile vitoto Tembo vijeuri vinavyojipendekeza kuwatetea kina swala. Hivyo tunavibughuzi wakati mwingine kuvigeuza vitoweo kabisa.

Taikon nikataka kujua Swala na Digidigi wao wanamaoni gani! Hapa nikashangazwa kidogo.

Swala na Digidigi nikajuzwa kuwa wao hawana shida na Katiba mpya, wao wanachohitaji ni kuishi tuu Kwa Amani na kuliwa kiungwana.
Wao kuliwa sio ishu kubwa, naomba kuwanukuu; "Sisi tunazaliana Sana. Kwa mwaka sio ajabu tukazaliana hata mara tatu mara nne Kwa kilamoja wetu. Hatuna shida na ndugu zetu kina simba, chui na Sisi kutugeuza misosi Yao.

Ingawaje tunaumia lakini tumeshazoea. Tunachohitaji watuachia mamlaka ya kuteua wenyewe atakayeliwa kila wajapo, na sio kujichagulia swala au Digidigi wapendavyo. Unajua wakati mwingine Simba wanakula swala na Digidigi wenye mimba, embu fikiri, wengine wanakula swala au Digidigi wenye watoto na kusababisha watoto hao kuteseka.

Kama watatusikiliza tutawatumikia Daima"

Kiongozi wa Swala alimaliza.

"Sisi Tule wapi ndugu Taikon, Tule Matembele? Tule Nyasi au mboga za maboga? Embu tazama muundo wa Meno yetu, umeona! Tutakulaje Matembele na Meno ya namna hii? Eeenh! Sisi tumeumbwa Kula nyama na kutawala mbuga hizi. Hao wanaodai Katiba mpya ni wapuuzi tuu"
Simba dume alisema akiwa ananitazama Kwa macho ya ukibisha na wewe nakutafuna.

Taikon nikaona huu sasa sio utalii huku ni kutishiana maisha. Yale Meno ya Simba yalikuwa makali yenye hamu ya Kula damu mbichi muda wowote.

Nikatoka huko. Sasa je, tunawasaidiaje Swala na Digidigi ikiwa wao hawahitaji msaada? Ndivyo Muongoza watalii ananiaga Kwa kuniuliza swali.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Hakika wewe ni tycoon wa Fasihi.
 
Hakika waugwana wote hata walio ndani ya chama CCM wanatamani taifa letu liwe na mifumo thabiti kuachana na hisia na mtazamo wa Mwenyekiti.
 
Wapiga kelele wengi ni kizazi cha kisasa kinachokuzwa kwenye ZOO maarufu kama JITU FULANI (JF)...
 
Watu wamegundua kuwa hata wakisimama mstari wa mbele huachwa peke Yao.

Nani ajitoe kafara Kwa watu wapuuzi?

Soma hapa
 
Simba dume yupo sahihi kwa asilimia

Katiba mpya itawaondoa Simba na Chui ktk system kbsa ambapo itakuwa against nature

Swala na digidigi wapo sahihi kwa kulijua hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamegundua kuwa hata wakisimama mstari wa mbele huachwa peke Yao.

Nani ajitoe kafara Kwa watu wapuuzi?

Soma hapa
Bi chui akihojiwa na BIBISI alisema wanaodai katiba ni wa mtandaoni.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom