Hakuna mahali Mwalimu Nyerere alikataa Makabila makubwa kuongoza nchi, 2030 CHADEMA tuleteeni Freeman Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,793
141,687
Kulikuwa na uvumi kwamba eti muasisi wa taifa hili Mwalimu Nyerere alitahadharisha kuwa makabila makubwa kama Wahehe, Wanyakyusa, Wasukuma, Wahaya na Wachaga hawafai kutoa Rais wa JMT kwani watatugawa.

Ule ulikuwa ni uzushi tu wa kisiasa ndio maana 1995 Augustino Lyatonga Mrema alipanda ulingoni na almanusura achukue dola mbele ya Julius.

Chadema tuleteeni Freeman Aikael Mbowe 2030.

Jumaa Kareem.

Leo ni Njia ya Msalaba
 
Mkuu Freeman Mbowe hawezi kutangazwa Rais wa nchi hii kwa Katiba hii, hiki kitu hakipo na kama unabisha mpigie simu EL atakueleza wazi wazi kabisa.
 
Usikariri bwashee.

Huko Ukraine leo ni siku ya 23 na sasa Putin anasaidiwa na Wahindi.

Mambo yamebafilika sana meku!
 
Kulikuwa na uvumi kwamba eti muasisi wa taifa hili Mwalimu Nyerere alitahadharisha kuwa makabila makubwa kama Sisi Wahehe, Wanyakyusa, Wasukuma, Wahaya na Wachaga hawafai kutoa Rais wa JMT kwani watatugawa.

Kwani hujui kama Freeman aligombea 2005 na akashindwa vibaya?
 
Usikariri bwashee.

Huko Ukraine leo ni siku ya 23 na sasa Putin anasaidiwa na Wahindi.

Mambo yamebafilika sana meku!
Siasa na fitna za Tanzania ndugu yangu ni za ajabu mno duniani kote tunatisha - yupo Putin akasome.
 
'…Shekheeee…mie na Bwana Lowassa atiii tuligombea tukijua tutashinda halafu watatuibia na kweli ikawa hivyo atiiii…'

-Juma Duni Haji akihojiwa hivi karibuni na Blog moja hivi…niliikuta Youtube nikaishia kuchekaaa tu
Mkuu Freeman Mbowe hawezi kutangazwa Rais wa nchi hii kwa Katiba hii, hiki kitu hakipo na kama unabisha mpigie simu EL atakueleza wazi wazi kabisa.
 
Kulikuwa na uvumi kwamba eti muasisi wa taifa hili Mwalimu Nyerere alitahadharisha kuwa makabila makubwa kama Sisi Wahehe, Wanyakyusa, Wasukuma, Wahaya na Wachaga hawafai kutoa Rais wa JMT kwani watatugawa.

Ule ulikuwa ni uzushi tu wa kisiasa ndio maana 1995 Augustino Lyatonga Mrema alipanda ulingoni na almanusura achukue dola mbele ya Julius.

Chadema tuleteeni Freeman Aikael Mbowe 2030.

Jumaa Kareem.

Leo ni Njia ya Msalaba
Kwa hiyo katoka gerezani kuja kuwa Rais wa nchi!! Atakua Mandela huyu hahahha
 
Mpigaji, gaidi na mtumia fulsa awe rais wa nchi hii minadhani kugomea atagombea kwasababu ya mahaba yaliyopo huko Chadema lakini kumpa nchi huyoo jamaaa Kha!
Ndo wanavyolishana matango pori! Nakwambia hakuna watu waliokuwa na chuki na Magufuli kama hao wana CHADEMA hususani watu wa kanda ya kaskazini! Leo wanapiga dene mtu wao awe Rais! Haitatokea kwenye kizazi hiki mpaka tuliopo wote tufe!
 
Kwahiyo waliokuwa na chuki na Magufuli siyo viongozi huko CCM na serikalini?

UVCCM wakikusoma watakucheka sana!
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Similar Discussions

Back
Top Bottom