Yuko wapi Omar Ramadhani Mapuri?

Yuko wapi Omar Ramadhani Mapuri?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
Omar Ramadhani Mapuri ni mwanasiasa ambaye alikuwa ni balozi wa Tanzania nchini China kabla ya balozi wa sasa Philip Marmo. Napenda kujua yuko wapi hivi sasa mwanasiasa huyu?
 
Anauza mkaa mwanakwerekwe Zanzibar
 
Mara ya mwisho nilimwona nchini China anakula dogg na snack bila wasiwasi.
 
001fd04cea510fef9fdc02.jpg
 
Muda wa utumishi serikalini umeshaisha sasa yupo Masaki kwenye zile nyumba alizonunua kipindi cha Magufuli
 
Aaah umenikumbusha jinsi alivyochemshaga wakati wanajeshi walipowapiga raia hapo Ukonga, aliropoka ikam-cost JK akamtema uwaziri ndo akampa ubalozi kumficha, loh!
 
Hiyo ndio ahsante yao ya nyumba aliyowapa Mkapa; wote wakina Mudhihili wanauguzia maumivu yao ya kisiasa kwenye hizo nyumba za dezo!!
 
Omar Ramadhani Mapuri ni mwanasiasa ambaye alikuwa ni balozi wa Tanzania nchini China kabla ya balozi wa sasa Philip Marmo. Napenda kujua yuko wapi hivi sasa mwanasiasa huyu?
Nafikiri saa hizi atakuwa amejiunga na kundi la taarabu la JAHAZI. Akiwa mambo ya ndani alikuwa na maneno machafu sana
 
Alikuwa mropokaji ile mbaya kipindi kile akiwa Vuvuzela wa CCM na Waziri wa mambo ya ndani.

Madaraka ya Ukatibu mwenezi wa CCM na Waziri wa Mambo ya Ndani kwa wakati mmoja yalimlevya sana Omary Ramadhano Mapuri, CCM walimtumia katika kuwadhibiti Wapinzani lakini mwisho wa siku wakamtupa ubalozini China na sasa amerudi bongo, kachoka ile mbaya anaungaunga maisha akisubiri siku zake za kuishi Duniani kumalizika achape zake lapa.

Poor Mapuri!!!!
 
Aaah umenikumbusha jinsi alivyochemshaga wakati wanajeshi walipowapiga raia hapo Ukonga, aliropoka ikam-cost JK akamtema uwaziri ndo akampa ubalozi kumficha, loh!
No mkuu, hiyo issue ilikuwa kipindi cha Mkapa, wakati huo Mapuri akiwa na vyeo vikubwa viwili kwa mpigo yaani Katibu mwenezi, Itikadi wa CCM(Cheo alichonacho Nape kwa sasa) na Waziri wa Mambo ya ndani.

Huyu jamaa alikuwa na visa binafsi vya kisiasa na Kikwete(Hakuwa mwanamtandao katika kambi ya Kikwete) na mara kadhaa alionekana ni kikwazo katika mbio za urais za Kikwete, hivyo soon Kikwete alipokuwa rais tu alimpiga chini na kisha 'kumtupia jela' Ubalozi wa China ili akajifie kisiasa!!
 
Nashukuru kwa kuweka sawa hapo kwa red mkuu
 
Mwigulu, Shonza na Mwampamba wanapojipendekeza saaana CCM, wakumbuke yaliyompata Mapuri (kwa Kimalila ni mtu asiyesikia!).
 
Muda wa utumishi serikalini umeshaisha sasa yupo Masaki kwenye zile nyumba alizonunua kipindi cha Magufuli
Aisee ulianza kumsema huyu jamaa kitambo sana. Ngoja aje akute hii thread yako. Ndio utamwambia ni nyumba gani alinunua
 
Alikuwa mropokaji ile mbaya kipindi kile akiwa Vuvuzela wa CCM na Waziri wa mambo ya ndani.

Madaraka ya Ukatibu mwenezi wa CCM na Waziri wa mambo ya ndani kwa wakati mmoja yalimlevya sana na kujiona mungu mtu, CCM walimtumia kama Kondom katika kuwadhibiti wapinzani lakini mwisho wa siku wakamtupa ubalozini China na sasa amerudi bongo, kachoka ile mbaya anaungaunga maisha akisubiri siku zake za kuishi Duniani kumalizika achape zake lapa.

Poor Mapuri!!!!
Siku zake ndo zishafika tayari!!!!!
 
Alikuwa Katibu mwenezi wa chama na waziri wa nchi kwa wakati mmoja??
No mkuu, hiyo issue ilikuwa kipindi cha Mkapa, wakati huo Mapuri akiwa na vyeo vikubwa viwili kwa mpigo yaani Katibu mwenezi, Itikadi wa CCM(Cheo alichonacho Nape kwa sasa) na Waziri wa Mambo ya ndani.

Huyu jamaa alikuwa na visa binafsi vya kisiasa na Kikwete(Hakuwa mwanamtandao katika kambi ya Kikwete) na mara kadhaa alionekana ni kikwazo katika mbio za urais za Kikwete, hivyo soon Kikwete alipokuwa rais tu alimpiga chini na kisha 'kumtupia jela' Ubalozi wa China ili akajifie kisiasa!!
 
Omar Ramadhani Mapuri ni mwanasiasa ambaye alikuwa ni balozi wa Tanzania nchini China kabla ya balozi wa sasa Philip Marmo. Napenda kujua yuko wapi hivi sasa mwanasiasa huyu?
Kwa taarifa zinazo trend leo Yuko chobingo anapiga puli, amediskwalifai kupata nanilihi 72 zenye macho kama kikombe
 
Back
Top Bottom