Vyombo vya Dola mmelitoboa Jahazi, itisheni boti za uokozi tusizame

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,956
Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia, watenganishe na chama chako na kuwapandisha na kuwapa madaraka Kwa kuzingatia utendaji wao na siyo vimemo.

Walitumika si Kwa kupenda Bali walimtumikia aliyewateua Kwa lengo Lile lile la kiapo Chao. Wamekosa wasamehe ila usisite kukaa nao.

Kwenu wenye Dola ,Jahazi mmelitoboa wenyewe, mmeacha taasisi zenu mmekimbilia taasisi za wengine, mnakubali kunyang'anyana madaraka ya juu bila kutambua mnajijengea uasama. Mkumbusheni anayeteua kwamba anawanyanyasa kisaikologia.

Someni kisa hiki;
Ntatoa mfano ambao utaonyesha ni kipindi Gani jahazi lilitoboka; Wakati wa utawala wa Mhe. Kikwetu uliwasilishwa mswada Bungeni wakufanya mabadiliko sheria flani ya mambo ya usalama. Moja ya kipengele kilichopelekwa kwa mabadiliko ilikuwa Muundo wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya, mikoa na Taifa. Katika mabadiliko Yale Mwanasheria Mkuu wa serikali aliweka kifungu kinachosema KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA ZA MIKOA, WILAYA NA TAIFA zitakuwa na wajumbe ishirini na mbili (22) kutoka wajumbe au taasisi za awali Tano.

Zaidi ya taasisi kumi na Tano zilizopendekezwa kuwa sehemu ya kamati za ulinzi na usalama zilikuwa taasisi za kiraia. Mimi kwa tafsiri nyepesi niliona wazi kwamba wapo watu wamekabidhiwa taasisi na wao wangependa kuitwa maafisa usalama au may be wangejiona proud kuunda kamati ya ulinzi na usalama.

Katika mjadala ule na hapa ndipo hoja yangu ilipo; hakuna mwakilishi wa wananchi ndani ya Bunge aliweza kung'amua mtego ule hatari Kwa usalama wa Nchi. Wabunge wote walichukulia mabadiliko Yale positive na kuyaunga mkono Tena wakipongeza. Nakumbuka kwenye mjadala ule alisimama Mzee mmoja kutoka chama Cha mapinduzi (sitamtaja) lakini alifanya kazi kubwa sana na yakutumia akili.

Alitoa mwanga ufuatao " Kwa muundo wa nchi Yetu na Kwa muundo wa vyombo vya ulinzi na usalama hakuna tija ya kuunda kamati ya watu 22, huo nimkutano na siyo kamati. Hakuna maamuzi ya kamati yanayoweza kuzaa matunda Kwa utitiri wa taasisi kama serikali inavyopendekeza; huo ni mkutano ambao endapo sheria itapita Mhe. Rais atoweza kusimamia kamati kubwa hivyo na kupata maslahi ya kiusalama na maamuzi yanayotaki. Napendekeza vibaki vyombo vitano na wengine ikionekana Kuna Jambo mahusuai wataingia kama waalikwa."

Huyu Mbunge alitotokea kwenye vyombo vya dola, ni zao la Mwalimu Nyerere na alikiishi kiapo kwamba raia anaweza kuwa askari lakini askari awezi kuwa raia. Maana yake Hadi Yale mabadiliko yanafika Bungeni vyombo vya dola vilikuwa wapi? Vilikuwa busy kula bata; kwa sasa tungesema vipo busy kupambana na upinzani nakusaka uteuzi.

Katafteni answarsd za Bunge mtapata mjadala mzima na mtajifunza ni lini mlianza kusahau core function zenu mkabeba agebda za watu wengine.

Baada ya kuuliza yale maswali bunge zima lilikaa Kimya na kutafakari ndipo wakabaini hoja ile ya wajumbe ishirini na mbili Haina utafiti wa Na kiusalama bali Jambo Lile nyeti lilisukumwa na utashi wa kikundi Cha watu.

Nimetoa mfano huu kuonyesha namna ambavyo Jahazi letu Limekuwa likitoboka siku Hadi siku. Kutoboka kwa Jahazi letu kunatokana na kupungua Kwa kiasi kikubwa kwa watu wenye wivu wakiulinzi dhidi ya Polisi, Usalama,Jeshi,Magereza na Uahamiaji. Wivu dhidi ya taasisi hizi umepungua zaidi kwa viongozi waandamizi kuliko hata ya viongozi na watendaji wa chini. Hii imepelekea vyombo hivi kuyumba na kuwa sehemu ya siasa za Nchi na hivyo kuondokana na focus Yao Katika kuzilinda taasisi hizi ambazo zipo na zitaendelea kuwepo Leo na kesho kwa usalama WETU

IGP amesema wazi kwamba unaweza ukamchukia Siro ila usilichukie Jeshi la Polisi. Yupo SAHIHI . Lakini alipaswa kujiuliza ni lini amewahi kuelekeza wivu wake kwa Jeshi la polisi akilitaka lijitenge na siasa na kufanya kazi Kwa kuzingatia sheria? Moja ya jambo linalomfanya achukuwe kama kweli chuki zipo ni Kwa sababu upo wakati aliachana na Jeshi akasimamia maslahi binafsi ya watawqla flani na msimamo wake ukapelekea watu hao waumizwe na kupoteza rasilimali zao kinyume na Haki.

Leo wale aliowapa kisogo yamkini ndio wapo nyuma ya kinachoendelea Sasa. Aliwahi kuwatuhumu makamanda kwamba wanataka nafasi yake, je hao makamanda wamewahi kuacha hizo harakati zao? Alishirikiana na watawala wengi awamu ya Tano ambao walikuwa wanasiasa; je baada ya wanasias hao kuondolewa huku jeshi lake likiwa kimya pamoja na jinai zao anategemea yeye na jeshi watapendwa? Ni ukweli ulio wazi kwamba jahazi limetoboka tunahitaji manuari ya uokozi kuifanya kazi iliyopo Mbele Yetu.

Hiki anachopitia Siro ni mwendelezo; pale raia walipojipendekeza wawe wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama bila wao kuhoji na kuzima mchakato ule ndipo Jahazi lililopoanza kutoboka. Kwamba sheria Yao inapelekwa Bungeni kufanyiwa mabadiliko hakuna anayeweza kusema mkitaka kurekebisha sheria tunayosimamia tuletee kwanza. Kama wanaweza wasione Tundu kama Ili maana yake upofu wao ni mkubwa kiasi kwamba Lile jukumu la kuapdate miongozo na sheria zao wasisumbiliwe na wanasiasa wameliacha wakisubiri wagongwe na kitu kizito kichwani. Dola rejesheni wivu alioacha Mwalimu Nyerere mliokoe Taifa.

Upofu mwingine mkubwa waliopokea ni huu wa kuteuliwa kuwa RC,DC ,DED na Das, nk Hapa napo pamezalisha tundu kwenye Jahazi. Jenerals kutoka pande zote wamepigwa uteuzi na hakuna aliyesema chochote, baadhi ya nafasi ni ndogo kulingana na nafasi zao ndani ya Jeshi la Polisi na majeshi mengine. Kutoka Mkuu wa chombo Hadi Mkuu wa mkoa ni kind of demotion. Ulikuwa unapokelewa na RC Leo wewe ndiyo mpokeaji wa viongozi wa vyombo kitaifa. Wanasiasa wamejichomeka Sana kwenye vyombo.

Panueni wivu wenu, wakatazeni baadhi ya mambo. Tusiende kama roboti, Bora mseme ukweli na wakati mwingine mjijengee kuzikataa nafasi za kisiasa kulinda heshima ya Jeshi.

Kaombeni sheria zenu zibadilishwe ( kwanza ninyi ampaswi kuomba mnapaswa kudraft mkapeleka Kwa AG for minor correction then zikatinga Bungeni) ziseme wazi afisa wa ngazi hii atoteuliwa kushika wadhifa huu. Hii ndiyo njia ya wivu na itakayowafanya wanasiasa kuwa na break wakati wanataka kuwasambaratisha. Mnapelkwa huku mnaridiswa mpo tu. Pls mtumie Mama ni msikivu na anaonyesha wazi Kila jambo linaloambatana na hoja nzuri linapita na linasaidia taasisi. Badala mtunishiane misuli nendeni kwake na reforms zenu, tumieni vijana watengeneze reform plan mkaiweke mezani iwaepushe na fedhea za kupandishwa na kushushwa Jambo linalowapotezea hadhi.

Vyombo mnapaswa kuheshimiwa siyo kudharaulika. JWTZ wanajaribu japo napo naona teuzi zinakuwa nyingi means wanasiasa wanaanza kuwabeep. Mwanajeshi akiingia uraiani akakutana na OC na vikao vingi mtambuka anabadilika na kutamani naye awe mfanyabiashara na mkulima na hapo ndipo uzaliwa tabia ya nipe nikupe ambayo jeshini Haina baraka. Let us work together to rescue situation; no General shall be apponted to any political post hata akistaafu. RC ni nafasi ya kisiasa hasa pale unapobaini ni mjumbe wa kamati ya siasa ya chama..... You guys mtanyanyasika msiporudi kwenye basics.

Mwisho niseme, msipoungana kama wanavyojitutumua wanasiasa kutafuta sijui tume ya uchaguzi na katiba mkabaki kusema ndiyo afande bila kufanyia mapitio sheria zenu siku si nyingi mtaanza kulogana kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa na kiutumishi Kwa kuwa mazingira ya vyombo vyenu yanashindwa kujenga trust.

Jesngeni taasisi ambazo zinakuruhusu kumcha Mungu; taasisi zenu Kwa Sasa zimejikita kumwabudu mwanadamu na kupindisha Haki hivyo Kila anayetaka kumtukuza Mungu awezi kufanya hivyo ndani ya vyombo vyetu vya dola. Mmejiweka kwenye kundi la watu wakumsaidia mwanadamu Kuishi kifahari huku ninyi mkiishi maisha Duni na yaliyojaa dhambi zakuelekezwa.

Nimeumia Sana kuona wanasiasa wanawasilisha ripoti ya aina ya siasa wanayotaka huku vyombo nyeti na watumishi wa Umma for 6yrs mkiwa hamjaja na any tangible thing kuboresha ustawi wenu lakini kuziwekea ulinzi kazi zenu zikiwemo nyadhifa zenu. Amkeni
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
9,175
15,254
Si kama vyombo vya dola havijui miongozo ya kazi zao bali tundu hili lilitengenezwa na mfumo ili kujilinda dhidi ya mabadiriko nyuma ya mgongo wa usalama wa taifa kwanza na wanasiasa wakaitumia hiyo loop hole kwakujilinda kwa kuwateua askari kwenye nyadhifa mbalimbali za kisiasa na kupelekea hali ya "WALIOKUWEMO KWENYE MFUMO WAMO DAIMA WATAKUWEMO MPAKA WATOTO NA WAJUKUU NA VITUKUU VYAO.

Viongozi wenye mlengo wa kidikteta wengi hutumia loop hole hii waziwazi na mifano tunayo.

Mama ana nia njema na nchi, ni msikivu nia ya mabadiriko anayo ila amezungukwa na watu waliojengwa na mfumo na kuabudu huo mfumo kwa maslahi yao na familia/koo zao.
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,007
4,833

Tathmini nzuri ya kina na iliyosheheni ushahidi.
 
Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
2,952
6,643

usiwatetee hawa mabadiliko ni muhimu! waliokuwa wananufaika ni mpaka wafanye ukatili kwanza ndio wanapewa hela!

Ikawa mazoea! mtoto wa nyoka ni nyoka! hawezi kuacha tabia hizi! mfano walioua mtwara!

Ni hao hao wasiojulikana na watu wamewatambua kwa sura na majina sasa hapo unataka wasamehewe kitu gani?
 
masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,184
12,028

Mkuu uko deep, jongera sana.
Mabadiliko muhimu.
 
my take

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
267
613
Walikubuli kutumika kinyume na maadili yao. Wanasema kama hujui matokeo na mwisho wa jambo unalotaka kufanya ni bora usilifanye.

Siro alikuwa na heshima kabla ya kuteuliwa IGP lakini leo hiyo heshima hana maana alikubali kufanya ujinga na leo anaonekana ni mjinga zaidi.

"If you start anything for wrong reason, you will quit for wrong reason"
 
Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
13,349
18,074
Walikubuli kutumika kinyume na maadili yao. Wanasema kama hujui matokeo na mwisho wa jambo unalotaka kufanya ni bora usilifanye. Siro alikuwa na heshima kabla ya kuteuliwa IGP lakini leo hiyo heshima hana maana alikubali kufanya ujinga na leo anaonekana ni mjinga zaidi.
"If you start anything for wrong reason, you will quit for wrong reason"
Aliona cheo ni bora kuliko heshima.
 
25 Reactions
Reply
Top Bottom