Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu. Pili, Mnyika anajaribu kufahamu...
16 Reactions
147 Replies
16K Views
WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja...
0 Reactions
3 Replies
605 Views
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda...
2 Reactions
123 Replies
11K Views
Baadhi ya Viongozi wa Kijiji cha Kisimiri Juu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, wametishia kujihudhulu nyadhifa zao za uongozi endapo Mamlaka za juu za Serikali, zitashindwa kuingilia kati mgogoro...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wenye uelewa na hili jambo la gesi yetu huko kusini kuuzwa kwa mabeberu au wachina wanieleshwe. 1.Kuuzwa huko kwa hiyo gesi kunamaanisha kwamba hiyo gesi si mali yetu tena na sisi tumebaki kama...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa tunayoisambaza kwenu kwa sasa , kama wewe ni mkazi wa Mbagala bado hujachelewa unaweza kufika Hapo Mgeni Nani , mambo yote yapo kwenye Ukumbi unaoitwa MTI WA NJIANI . Wote...
3 Reactions
14 Replies
755 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetiliana saini na Umoja wa Ulaya (EU) msaada wa mikataba ya miradi sita yenye gharama ya bilioni 307.9 itakayofadhiliwa kupitia mpango wa ushirikiano...
6 Reactions
77 Replies
7K Views
CCM imeliongoza taifa hili kwa zaidi ya miaka 60 kuanzia enzi za Tanu na ASP hadi sasa. Ni ujinga kusema mtu anatoka upinzani kuja kuunga juhudi CCM kwa sababu CCM imekuwepo miaka nenda rudi na...
0 Reactions
4 Replies
803 Views
Wanajanvi, Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli. Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli. Alisema alikuwa mwana...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo? 1: Uchumi wa Tanzania ungekuwa wa kati daraja la juu tofauti na hali ilivyo sasa ambapo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi yake ya 8...
12 Reactions
108 Replies
7K Views
Tangu atolewe gerezani mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekuwa akikutana na watu maarufu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti. Wengi wataamini kuwa wanaenda kumpa pole kwa madhila...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
...... Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya...
10 Reactions
72 Replies
5K Views
Chama kimeshatekwa na wahuni hakuna atakae kikomboa tena kwa sasa kwani wale wazee waliokuwa na nguvu hizo wamejichokea kwa sasa na wengine tayari wameenda zao. Wahuni wakiongozwa na boys 2 men...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari jukwaani, Tutaenda kwa codes ili tusiharibu thread, Kulikuwa na viranja fulani Wa shule mbili tofauti,kiranja shule x na yule shule y. Ilitokea kiranja shule y alikuwa na mgogoro na...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakuu msichoke , sisi kazi yetu ni kuwaletea tu habari zilizopo , Huyu Mbowe aliwekwa gerezani miezi 8 , sasa kwa vile alikuwa jela na sasa ametoka , wadau wengi wa haki wanakwenda kwake...
25 Reactions
40 Replies
3K Views
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya...
1 Reactions
4 Replies
800 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani...
11 Reactions
55 Replies
5K Views
Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni' Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
==== Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha...
6 Reactions
101 Replies
7K Views
=== Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya, Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na...
10 Reactions
65 Replies
7K Views
Back
Top Bottom