jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Tanzania ina sera ya kutofungamana na yoyote kati ya Magharibi au Mashariki.
Hili linaeleweka miaka yote.
Kitendo cha Umoja wa Ulaya kutaka Afrika na Tanzania watoe tamko dhidi ya Urusi ni kuingilia Uhuru wetu.
Tunatambua kuwa tunapata msaada mkubwa kutoka "west" lakini hii isiwe sababu ya kutulazamishia kuwasupport kwenye vita ya UKRAINE.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!