Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania kupitia Bohari kuu ya Dawa (Msd), imesaini mkataba wa makubaliano ya kusambaza dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa...
10 Reactions
67 Replies
13K Views
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu...
25 Reactions
163 Replies
13K Views
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama. Msikilize mama hapa 👇...
34 Reactions
260 Replies
20K Views
WAKATI WA KAMPENI NILILIONA BANGO HILI "MALOFA KATIKA UBORA WETU". å Kadri siku zinavyokwenda naanza kuondoa lawama hizi kwa rais mstaafu kama muasisi Wa kauli hii, naamini kua aliwatamka vile...
8 Reactions
56 Replies
8K Views
Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa. Wamedai...
14 Reactions
51 Replies
6K Views
Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Mikoa kama Kagera, Kigoma, Mara, Arusha, Moshi, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara nk iongozwe kijeshi na itangazwe kuwa ni mikoa ya kijeshi, Mikoa hiyo kama kutakuwa na ulinzi wa kutosha wenye uadilifu...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wana bodi, Kiukweli kabisa, baadhi ya maamuzi ya taasisi za umma za serikali ya Magufuli ni shaghalabaghala!, yanaonyesha hakuna coordination kati ya serikali na taasisi zake, haiwezekani...
100 Reactions
251 Replies
35K Views
Januari Makamba ameandika barua kwenda kwa Ngeleja kumuuliza juu ya ahadi zake hewa za kumaliza tatizo la umeme! Source: Gazeti mtanzania leo! Download attachment ya barua HAPA
1 Reactions
310 Replies
29K Views
Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa...
11 Reactions
79 Replies
7K Views
Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa...
1 Reactions
8 Replies
955 Views
Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi...
4 Reactions
11 Replies
848 Views
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA MAELEZO YA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU CP. SALUM RASHID HAMDUNI WAKATI WA KUKABIDHI TAARIFA YA UTENDAJI KAZI YA MWAKA 2020/2021 KWA MHE. SAMIA SULUHU...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei...
1 Reactions
8 Replies
989 Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza amewataka viongozi na wafuasi wa Chadema wanaodai simu zao zinashikiliwa na polisi kwa zaidi ya miezi 5 sasa wafike ofisini kwake aweze kuwasaidia. Akiongea na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…