Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawasalimu kwa jina la JMT. Wezi wa Fedha za umma kaeni mkao wa tahadhari. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba,Serikali imesema inaandaa mswaada wa sheria kwa ajili ya...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Historia ya uchumi wetu ni ndefu na isiyo na muendelezo mahususi.Tulitoka uchumi wa soko huria wakati wa uhuru tukaingia ujamaa mwaka 1967, tukarudi kwenye soko huria mwaka 1986 serikali ikiwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa...
57 Reactions
348 Replies
25K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii kuweka mkazo katika kushughulikia changamoto za Watu wenye Ulemavu. Amesema maafisa hao wanashughulikia masuala ya mirathi na migogoro...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndiyo, Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za...
65 Reactions
87 Replies
10K Views
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa leo akiwa anaongea na waandishi wa habari, amesema serikali ilipoamua kununua ndege mpya watanzania wengi wamefaidika ikiwemo kuongeza ajira za...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu. Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu...
65 Reactions
281 Replies
40K Views
Nimeleta uzi huuu baada ya ile hotuba ya Rais Samia Alipokuwa akipokea Riport ya CAG na TAKUKURU..na Taarifa ya Tarehe 1/4/2022 iliyotolewa kwa wafanyakazi Wa TICS kuvunja rekodi kwa mwezi huu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu hakuna kitu Cha kuheshimu kama Muda na technolojia ndugu zangu. Zaidi ya hapo, Sina mengi zaidi ya kukutaka wewe msomaji wa Uzi huu kuwa heshima dhidi ya watu wanao kuzunguka na hata...
33 Reactions
127 Replies
9K Views
UKWELI KUHUSU AUDIO INAYOSEMEKANA KUWA NI YA KINANA NA NAPE HUU HAPA Nimesikiliza audio zote mbili zinazoendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kuwa ni za mazungumzo kati ya...
63 Reactions
94 Replies
17K Views
Inatoka Mwananyamala A hadi Victoria kupitia Hospital - Magengeni. Ni barabara ya mwisho chini ya Rais Magufuli na alimuonya kabisa mkuu wa mkoa wa wakati ule Aboubakar Kunenge ahakikishe...
3 Reactions
2 Replies
609 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam ningependa niseme ukweli kwamba toka nchi yetu ilipopata uhuru mpaka leo hii CCM imeshafanya mambo mazuri na makubwa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakaazi wa Chato wakihojiwa na BBC mwaka mmoja tangu aondoke Magufuli wametoa hisia zao tangu aondoke mpendwa wao mzawa wa Chato ikiwemo sekta ya biashara na maendeleo. Wakazi hao wamelalamikia...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa...
41 Reactions
286 Replies
30K Views
Kwenye suala la mafuta kuna mambo mawili, bei na upatikanaji. . Kwa miezi 16 mwenendo wa bei za mafuta zimepanda, bei zimepanda katika nchi zinazozalisha mafuta na nchi zinazoagiza mafuta. . Nchi...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
GreatThinkers, Limenigusa ndio maana nami nimejitosa kusema yangu. Tunatia aibu sana kubaki tunalumbana na jirani wakati yupo kwake, kwani sie hatuwezi kujenga viwanja vyetu. Mwanza...
23 Reactions
193 Replies
38K Views
Basi aliondokea Mfalme Simba mtawala wa tano Umofia aliekuwa Hodari kweli kweli. Basi katika mkoa wa kijani aliweka fedha nyingi akajenga meli kubwa, nayo ilikuwa kwa Lengo la kuabili abilia na...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache. CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom