TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM
Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme.
Source: TANESCO
===
Shirika la umeme nchini TANESCO na Mgodi wa dhahabu wa Geita GGM wamesaini mkataba wa kuuziana umeme.
Takribani miaka 20 mgodi wa GGM unatumia mafuta katika kuendesha shughuli zake jambo ambalo ni gharama ukilinganisha na utumiaji wa umeme.
Aidha mradi huo unaotarajiwa kukamilika disemba 22 utasaidia mapato ya bilioni 7 kwa TANESCO yatakayolipwa na Mgodi wa GGM.
Chanzo: Star TV