Wengi wetu huamini Kikwete ni master wa siasa uchwara jambo ambalo si kweli!
Kwanini;
Unamfahamu mwamba mmoja anaitwa Uhuru Kenyatta?
Uhuru mwaka huu ndiye atadhihirisha umwamba wake wa siasa...
Natoa tu tahadhari kwa Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba kwamba asisahau kupandisha mishahara
Vinginevyo patatokea mdororo wa uchumi utakaokuwa wa kihistoria.
Hii inflation inatisha na jana...
Waswahili walisema kuwa lisemwalo lipo na kama halipo basi jua linakuja.
Mh Lema alitabiri yatakayo tokea juu ya Makonda pale mkoani Kilimanjaro na leo hii tunayaona.
Tazameni hii video alafu...
Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei...
Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel
Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
Rostam Aziz na Kampuni...
Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina...
Nimewasikia watu wakisema yafuatayo kuhusu Zanzibar:
1. Zanzibar inapaswa kupata uhuru kamili kutoka kwenye utawala wa Tanganyika.
2. Tanganyika ipate Katiba yake.
Ninachojiuliza ni kuwa Zanzibar...
Kwanza niseme bunge la sasa laweza vunja rekodi ya utoro, viti asilimia kubwa vipo empty.
Lakini Mkoa wa Arusha umekuwa ukituma watu wenye tija kwa nchi Bungeni, leo hii hakuna Mbunge hata mmoja...
Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni
Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na...
1995 kuelekea uchaguzi mkuu mgombea urais kupitia Nccr Augustino Lyatonga Mrema alifanya operesheni iliyojulikana kama Vijana Msilale Bado Mapambano.
Mrema alikuwa anazunguka kwa miguu kwenye...
Mwalimu Chacha Marwa , ni miongoni mwa Wabunge wa Chadema walionunuliwa na ccm na kuleta visingizio vya uongo kwamba wanaunga mkono Juhudi za serikali ya awamu ya 5 , iliyojaa Udikteta na Uvunjifu...
Kuna uwezekano mkubwa wa Rais Samia kuonana ana kwa ana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden kwenye ziara yake hii.
Ifahamike mambo ya ugaidi wa kubambikiziana tumeshaachana...
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti...
USHAURI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA
Kwanza nichukie nafasi hii adhimu kukupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuhakikisha unaleta maendeleo ya haraka kwa taifa...
Kwa mara nyingine tena Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kimepata hati safi kutokana na ripoti ya CAG , hata baada ya Viongozi wake kuhojiwa na TAKUKURU kwa Maelekezo ya CCM kupitia...
Tangu nchi ipate Uhuru Haakuna Ilani ya Uchanguzi ya chama cha siasa isiyokuwa na agenda kusabambasa maji, zahanati, pembejeo, masoko, ajira kwa wananchi, lakini baada ya uchaguzi kumalizika na...
Huuni unyama wa kutisha haifai kufumbiwa macho haiwezekani anae shutumiwa ni mbunge na mbunge hiyo Yuko bungeni anakula posho Ili hali ana tuhumiwa yeye na mkuu wa wilaya ya Ikungi kufanya unyama...
Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,
Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla
We...
Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.