Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,852
- 140,944
Namnukuu Mdhibiti
Halmashauri ya Temeke ililipa jumla ya shilingi bilioni 2.38 kwa wakandarasi kwa ajili ya gharama za bima wakati wa kutekeleza miradi ya Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam. Hata hivyo, nilibaini kuwa gharama ya bima kwa wakandarasi wote ni shilingi milioni 376.55 tu, hivyo kusababisha malipo ya ziada kwa shilingi bilioni 2.02 kinyume na Kanuni tajwa hapo juu. CAG anasema ni maoni yangu kwamba, malipo ya ziada ya shilingi bilioni 2.02 kwa ajili ya bima yameongeza gharama za utekelezaji wa mradi na kuisababishia hasara Halmashauri.
My Take
Bora nchi iuzwe tugawane kila mtu ajue cha kufanya. Hii sio haki kabisa