Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,177
- 3,780
Kama ilivyokawaida, ´elite system ‘ wapo katika harakati za kuhakikisha mabaki yote yaliyoachwa na aliyekuwa Rais wa JMT, Ndugu John Pombe Joseph Magufuli (JJPM) yanaondolewa na kuharibiwa haraka.
Mkakati huo unaojulikana kama atrocement policy ulianzia ngazi za juu kuanzia katibu kiongozi, ukashuka kwa mawaziri na kuondoa mawaziri wote wasiofiti Kwenye atrocement policy.
Kwa sasa atrocement policy imehamia kwa Wakurugenzi na tunaona baadhi ya Wakurugenzi wameshaanza kurudi kwenye nafasi zao kwa mf. Mkurugenzi wa nhc.
atrocement policy inayoendelea kwa sasa ni kuhakikisha aliyekuwa CEO wa MSD, kati ya mwaka 2016 hadi 2020 anarudi katika nafasi yake. Ukirudi nyuma ukichunguza utendaji wa CEO huyo , haukuwa wa kuridhisha zaidi ya propaganda za survival of the fittest na ndani yake kulikuwa na kashfa nyingi za upotevu wa dawa, wizi wa dawa, rushwa iliyojificha, taarifa za uongo juu ya upatikanaji wa dawa , kashfa za mapenzi ofisini. Yote haya yanapatikana katika taarifa ya CAG ya mwaka 2019 na 2020, 2018 na 2019
Chapuo la kihuni la kumrudisha aliyekuwa CEO wa msd ni kiashiria jinsi gani nchi yetu inaendeshwa na watu ambao hawana weledi; inawezekana kabisa Dkt. Brigedia Mjeshi, CEO wa sasa ameshindwa kuleta matokeo, na sio rahisi kuleta matokeo ndani ya mwaka; na hii ni ukweli tupu kwamba ndani ya managers na directors wake ni informers wenye kupeleka taarifa hasi dhidi yake na kuhakikisha anavuta pumzi ya moto ndani ya kombati zake za kijeshi. Alipashwa kuwa na mfumo shirikishi ili kuwabaini
Inawezekana kabisa amefeli kwenye baadhi ya maeneo kama staffing na nepotism( jobs for the boys), je ni justification ya kutaka kumrudisha mtu aliyeshindwa pia? Mfu hawezi kumzika mfu.
Tunaambiwa ni CEO mmoja tu wa MSD alikuwa ni Mtaalam wa madawa( mfamasia) ndio angalau aliwahi kufanikiwa na kwa ufinyu wa fedha uliokuwepo alileta matokeo ambayo yanaweza kukumbukwa kwa upatikanaji wa dawa muhimu, sambamba na ujenzi wa HQ inayotumika kwa sasa.
Hao wengine wote akiwemo na Brigedia Mjeshi ( jobs for the boys ) wamepwaya, lzkini je , Brigedia Mjeshi unampima vipi kwa miezi 12? wengine wamekaa zaidi ya miaka 4 , na hakukuwa na matokeo chanya hata theluthi zaidi ya ufisadi ulikithiri, rejea taarifa za CAG.
Je serikali imewahi kuchunguza sababu za CEO wengi wa msd kushindwa? Je changamoto ni nini , hatuna sera endelevu au shida ni kuweka watu wasio sahihi na mifumo isiyokuwa shirikishi.
Napenda kuishauri serikali, kurudisha makapi ambayo yalishashindwa kazi ndani ya miaka 4 ni ukosefu wa weledi na sera endelevu za nchi na failure ya governance system ya Tanzania. tunawafamasia wa kutosha ndani ya wizara na nje wenye kuijua supply chain ya Dawa vyema, miongoni mwao washindanishwe na kumpata mmoja sahihi mwenye financial skills, management skills.
Maendeleo hayana uchama, nasema uongo ndugu zangu ?