Je, kila kinachofanyika "kinalenga kufuta Legacy" ya Magufuli?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,486
86,003
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.

Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".

Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.

Wacha niishie hapa kwanza
 
Acha waseme mwishowe watalala.

Kwa katiba hii rais ni kama Mungu. Anaweza kuamua kuwaua wapiga kelele wote (e.g akina Polepole ) na asishitakiwe popote.
 
Eti kwa kuyapinga, kuyaboresha hayo na mengine ni " kumkana" Magufuli! Tusiwe wajinga kiasi hiki ndugu zangu, Magufuli alipendwa kwakua aliudanganya umma kuwa Umaskini wetu kuna watu wanachangia tuwe hivi tulivyo! Akikwepa wajibu was serikali yake kabisa.

Wacha niishie hapa kwanza
Bafo tu unateseka na JPM pole sana!!!
usisahau kumeza panadol....
 
Hakuwa Mungu kwamba asikosee.Tatizo ni watu wake kulazimisha kila aliloliishi liwaingie wananchi mioyoni nao waliishi na kudumu.Haiwezekani!
 
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.

Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".

Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.

Eti kwa kuyapinga, kuyaboresha hayo na mengine ni " kumkana" Magufuli! Tusiwe wajinga kiasi hiki ndugu zangu, Magufuli alipendwa kwakua aliudanganya umma kuwa Umaskini wetu kuna watu wanachangia tuwe hivi tulivyo! Akikwepa wajibu was serikali yake kabisa.

Wacha niishie hapa kwanzak
Kwenye watu wengi huwezi kukomesha wizi(you can only control but not stop stealing) ila ukuta wa melerani duu watu wanachimba chini chini nakufika huko wakaibuka mbele ya huo ukuta,hahaa!
 
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.

Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".

Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.

Eti kwa kuyapinga, kuyaboresha hayo na mengine ni " kumkana" Magufuli! Tusiwe wajinga kiasi hiki ndugu zangu, Magufuli alipendwa kwakua aliudanganya umma kuwa Umaskini wetu kuna watu wanachangia tuwe hivi tulivyo! Akikwepa wajibu was serikali yake kabisa.

Wacha niishie hapa kwanza
Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.
 
Tulishakubaliana(waTZ) kuwa jamaa alishaisusa na kutuachia dunia tuliobaki.

Tuchape kazi tuachane na yawaliokwisha kuisusa dunia, tuendelee na ya walio hai bado.
Bila kuutumia mfano huo uliokuwa mbaya hawa waliopo hawawezi kujipambanua katika utendaji ulio wa kweli,haki,wenye maono ya mbele.Wataacha uongouongo na kufanya yaliyo kweli.
 
Acha waseme mwishowe watalala.

Kwa katiba hii rais ni kama Mungu. Anaweza kuamua kuwaua wapiga kelele wote (e.g akina Polepole ) na asishitakiwe popote.
Ndiyo maana kina Mwanry walidiliki hata kumfananisha na masiah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom