CCM awamu ya 5 ilikuwa na mambo jamani

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
CCM AWAMU ya 5 ilikuwa na MAMBO jamani
Mambo yenyewe ni kama
WATEULE wa MWENDAZAKE walikuwa WABABE SANA akina MAKONDA POLEPOLE HERI JAMES MNYETI SABAYA na wengine POLISI walikuwa BEGA kwa BEGA na CCM Kuhakikisha CHADEMA hawakutani kufanya Mikutano ya ndani au ya hadhara na Wakikutana ni Basi ni Safari ya kwenda SEGEREA

Kuwafungulia KESI za Uongo Viongozi na Wanachama wa CHADEMA

Kapigwa Risasi TUNDU LISSU mpaka leo FAILI halijafunguliwa.

Kauawa AKWILINA Chadema wakapewa KESI Kisa WALIANDAMANA

MBOWE kafunguliwa Kesi ya Ugaidi kwa Kudai KATIBA MPYA

MAHAKAMA za NCHI NZIMA zilikuwa na kazi Moja kubwa ya kusikiliza KESI za Chadema kuwanyima Dhamana kuwafunga na kuwapiga Faini

TUME ya UCHAGUZI ilikuwa na Kazi ya kutangaza Matokeo ya Chaguzi ambayo CCM inayataka kama vile Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 Wenyeviti wote wa Mitaa ni wa CCM na Uchaguzi Mkuu 2020 WABUNGE na MADIWANI wa CCM ndio Waliotangazwa mpaka BUNGE likakosa KAMBI ya UPINZANI.

TUME ya UCHAGUZI ikaamua kuwapitisha Wabunge Fake 19 kama CCM ilivyotaka ili BUNGE lionekane lina WAPINZANI yaani ukiiangalia na hii CCM ya SAMIA ni VYAMA Viwili TOFAUTI.

Tumeshuhudia CCM SAMIA ikijipanga Upya kabisa KAINGIA Bw. CHONGOLO, Kaingia Mzee KINANA Kapumzishwa BASHIRU na MZEE MANGULA Ngoja nayo Tuisubiri japo ndio Wale Wale KANZU ndio Mpya ila SHEHE ni Yule Yule.

Pumzika kwa AMANI Mwendazake Watanzania hatutakusahau kwa HAYO MATUKIO

JamiiForums421364283.jpg
 
Back
Top Bottom