Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Damu Ya Nani,ndugu Jamaa,rafiki Au Mzazi Wa Nani?Maana Kuna Wanasiasa Ambao Hawawezi Kuongea Maneno Kumi Bila Kusema Damu Itamwagika!!Naomba Tu Ufafanuzi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri. Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu...
3 Reactions
2 Replies
647 Views
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha...
1 Reactions
68 Replies
4K Views
Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu...
22 Reactions
84 Replies
6K Views
Nimesikiliza kipande kifupi cha Narration ya Filamu Tanzania the Royal Tour amesikika Mwongozaji wa Filamu hiyo kuwa Magufuli alifariki kutokana na matatizo ya Moyo lakini walio wengi wanaamini...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Dr Akandunduma anasema ni vema Baraza la mawaziri likaja na mkakati thabiti wa kuwa na reserve ya mafuta kwa ajili ya nyakati tata kama tunazopitia sasa. Akandunduma anasema kutegemea hifadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Bila kuwa na katiba itayodhibiti wizi na utoroshaji wa mali za umma. Tunakwenda kuumia. Maana hii miaka mitatu mpaka uchaguzi mkuu ufanyike tutaibiwa sana. Mandamano yaitishwe nchi nzima bila...
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Fuatilia kupitia link hii:
11 Reactions
61 Replies
5K Views
Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu. Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM? Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani. Kumbe jela ni...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu vinchi vyetu vimekuwa vikidumaa kutokana na michezo ya kijinga inayofanywa na wazungu. Ikitokea wakajitokeza marais wasio wanyenyekevu kwao basi watahakikisha wanamuondoa kwa namna...
58 Reactions
251 Replies
24K Views
Mauzauza oyeee! Kuna waliocheka, kuna waliomcheka, kuna walioona kichekesho japo hakikuwa kichekesho. Yamerudiarudia sana maneno ya Makongoro kwenye kichwa changu, japo ni mtu anayependa utani...
20 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge wa jimbo la mvumi bwana Livingstone Lusinde ameomba mwongozo wa spika ili alielezee bunge kama ni sawa bunge kuendelea na vikao huku waziri wa fedha Dkt. Nchemba haonekani na hajulikani alipo?
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Tume ya katiba mstaafu mzee Warioba amesema Mwalimu Nyerere ( mwenye Heri) hakupenda kushauriwa vitu vya kumpendeza yeye ( uchawa) Warioba amesema Nyerere alipenda ushauri halisi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe...
3 Reactions
146 Replies
16K Views
Kuna nchi inajiita "super power", lakini imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine. Ndani ya miezi miwili ni stori tu. Vita imegeuka kuwa propaganda na porojo za kwenye mitandao ya kijamii...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba ile kampeni ya kisasa ya kuchangia Chadema inayoitwa Join The Chain , ama Shilingi yetu nguvu yetu , sasa inasambaa nchi nzima na tayari imeingia na kupokelewa Mjini...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Iwepo tume huru kabisa. Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini. Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM. Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom