Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
"Siko Jela kwa Kuwa nampigania Mke Wangu, niko Jela kwa kuwa napigania maslahi ya Nchi napigania maslahi ya wanyonge"
2. "Humu ndani 90% ni watoto wa wanyonge hawana makosa wengine wamekosa tu msaada wa kisheria"
3. "Ingekuwa napigania maslahi yangu, Mimi ni Mbunge ni mjumbe wa Kamati kuu, what am I fighting for? Napigania haki ya Kidemokrasia, haki ya Uhuru wa maoni"
4. "Wambieni Watu wa Arusha, sisi kuwa na Halmashauri haimanishi Ndio mwisho wa Mapambano. The struggle towards free expression, free democracy haki kwa wote should continue"
Ni baadhi ya Maneno aliyoniambia Jana Mhe. Sana Mungu ampe Maisha marefu "Godbless J. Lema" Gerezani Kisongo..
Broo yuko very strong na Anawasalimia sana.