Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.
Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi.
Na nyingine ni pale AICC kwenye...
JOHN Magufuli hayupo duniani. Ila nguvu yake bado inaishi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Magufuli alitengeneza wabunge wake. Wanaitwa “loyal to a fault" – “watiifu wasioambiwa...
Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana.
Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo.
Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi...
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba...
Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza.
Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti...
Nilitegemea mkazo na msisitizo uwe bwawa la Mwl Nyerere likamilike kwa wakati ili umeme ushuke bei na bidhaa zishuke bei. Hii ingekuwa ni nafuu ya maisha kwa watanzania wa hali ya chini.
Lakini...
Nimekutana na hoja katika mtandao wa Twitter nimeona vyema kushare hapa nanyi wanabodi. Kumbe muda mwingine hawa mashangazi wa Twitter ni weupe kichwani wanaleta ujuaji tu. Tazama hapa...
Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi.
Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa...
Habari wakuu,
Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande...
Akizungumzia hukumu hiyo iliyotolewa Oktoba 9, mwaka huu, Dk. Abbasi amesema ameulizwa kuhusu hukumu hiyo, na hivyo amelazimika kutoa ufafanuzi.
“Msingi wa kesi zote mdaiwa siyo serikali wala...
LIVE / MUBASHARA :
25 April 2022
District of Columbia
A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania
the Wilson Center Africa Program for A...
Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13...
Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi
Amesema Fedha za...
Spika wa Bunge Job Ndugai, leo Aprili 14 atazungumza na waandishi wa habari jambo muhimu kuhusu bunge.
Mazungumzo hayo yatafanyika katika ofisi ndogo ya bunge jijini Dar es salaam majira ya saa...
Kuna kila dalili kwamba wabunge wa viti maalumu wa Chadema wote 19 wataondolewa bungeni kwa sababu waliingia kinyume na matakwa ya katiba ya JMT
Tundu Lissu aliongea, Spika Tulia aliongea na sasa...
Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma?
Tumeshuhudia...
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.
Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.
Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa...
Hakika sasa ni wazi dhuluma ya uchaguzi haitawaacha salama. Kumbe pamoja na malalamiko ya kupora kura za wananchi hata wazabuni wenu wa matangazo, machapisho, vipeperushi, T shirts na vitenge na...
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa...
Charles Kichere (CAG)
Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022.
Baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.